Mwalimu Mungu akubariki sana !! Umefanywa wa faida sana katika maisha Yetu !! Umenifundisha kuomba kwa viwango vya juu mno!! Umenipa ujasiri katika kushinda majaribu,kila nikijaribiwa nakumbuka mimi ni mtawala katika jina la Yesu kristo then naona nayaweza mambo yooote katika yeye anitiaye nguvu!!!!hakika MUNGU akubariki sana!

Upo mungu unaejibu maombi
Nimepokea kwa jina la yesu kresto
Nifadhili bwana nakusii 🙏 🙏
Nimepokea kwajina la yesu
Imekua kwangu kwajina la Yesu
Yupo mungu ajibuye maombi yetuu
Ninapoomba mugu sikiya maombiyangu
Zab 97:3 moto hutangulia mbele yangu 2025