LISSU AWA MBOGO ‘Polisi mwachieni Mbowe’, ADC yajipanga Kiseke…

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 18

  • @EmmanuelChrispin-bo5xh
    @EmmanuelChrispin-bo5xh 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jana kunakiongozi alikua anachekelea kukamatwa kwa mbowe

  • @IssaKaminyoge
    @IssaKaminyoge 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ccm wamechoka sana mika 60 ni wizi mtu kwanini wasiweke ngoma kati kama wanapendwa

  • @MbeshiPaulo-b5o
    @MbeshiPaulo-b5o 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ccm wote mbwa kama vipi njon mnikamate wapuzi sana

  • @NgendandumweAlouise
    @NgendandumweAlouise 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Amekosea nini acheni kuongea mambo ya kitoto mbona ccm hawakamatwi wakikosea na kuenguwa wagombea wa upinzani mbona nape aliongea kama ccm wanauba kura mbona hakukamatwa niaubu kwajeshi la police linaegemea ccm na samia

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 43 นาทีที่ผ่านมา

    Tuliwaambia huyo ni chawa tuu anaza na akili zenu tuu

  • @richardjafu7404
    @richardjafu7404 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Acheni uwoga,acheni watu wafanye kampeni ili tuchague Kwa usawa. Msitumike hivyo , hata mungu hapendi!!!!

  • @HanifaUrassa
    @HanifaUrassa 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hakuna aliye juu ya sheria

  • @IssaKaminyoge
    @IssaKaminyoge 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Polis mnatupima akili zetu kumbuka mnafamilia zenu zinaishi ulaya au tazania

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sheria gani imetumika kipindi hiki cha uchaguzi nchi yenye 4r ya mama na maridhiano

  • @adiaygo8546
    @adiaygo8546 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Chizi fresh 😅😅😅

  • @VeriuseMnyakiwele
    @VeriuseMnyakiwele 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hakuna kuachiwa mpaka Sheria ifate mkondo

    • @BIGBon-d8e
      @BIGBon-d8e 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Unaijua Sheria mpuuzi wewe

    • @Yussuf-b3b
      @Yussuf-b3b 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wanaenguwa wanauwa bado hawajiamini ccm ni mashetani​@@BIGBon-d8e

  • @VeriuseMnyakiwele
    @VeriuseMnyakiwele 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Aibu yanini wakati mtu kakosea sheria

    • @MageAwe-hl5zb
      @MageAwe-hl5zb 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Unajua unachoongea? au huoni wewe mtanzania

    • @MageAwe-hl5zb
      @MageAwe-hl5zb 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Acha kejeli Iko siku

    • @donaldbenedict5761
      @donaldbenedict5761 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      CCM wanajua vyema kuwa umma wa watanzania wamesha wachoko na Mambo yao kwamfano wameshindwa kuzisimamia na kuziendeleza maliasili zetu misitu bandari wanyama vyote wamewapa wageni kwa kigezo cha uwekezaji, lkn wenye akili wanajua kuwa CCM wameshauza ngorongoro na loliondo kwa nchi ya Dubai bandari wanyama vyote wamewapa hao waarabu wa Dubai kwahiyo wanajua kama hii nchi itatawaliwa na vyama vingine ccm watashitakiwa ndio maana mnaona wako tayari kutumia nguvu kubwa ya vyombo vya dola kubaki madarakani ila nawakumbusha vyombo vya dola kuwa iko siku mtashitakiwa nyie maana rais ana kinga ya kuto shitakiwa

    • @ceciliamagalabajimmy4391
      @ceciliamagalabajimmy4391 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      CCM tu ndio hawakosei eti? Acha uji nga, wewe huuoni uonevu uliopo?