Hapo Bado hamjanigusa hichi kipande sio episode 8 mmerudia episode ya 7 kusema mbinu zimeisha katka mfumo wa mwendelezo Tatizo yaani ishu ya kugongana baba na mtoto Kwa mpenzi mmoja kisa kisababishi mliwaisha mno ndo mlipo jichanganyia ilikuwa Bado mapema Sasa mmeshindwa namna ya kuicheza mwendelezo wakati kinogesho Cha movie Cha kumaliza mchezo mmeshakimaliza hapo ni kumaliza tyu hamna kitu nawashauri endelezeni Ile ya kijana aliyeokota mtoto maisha yakabadilika hiyo ndo mlikuwa mnaenda vyema kidogo ila kazi nzuri mwanzo mwishoni mnaanza kubugi kuweni makini kama movie za nyuma Kwa mfano Ile ya kijana tajiri aliyejifanya masikini Ili apate mke Bora safi au sababu brown na Victori hawapo Nini ningesema meñgi yatosha nawapenda Sana kazi nzuri umakini uzingatiwe mazowea uharibu kazi bhn kama ivi ,,
Suzi wanikera unavomshauri mwenzio yaani akae na mzee ili iweje unamtaka uyo jarufu wew sio buree , yaaan unamforce saana lisa , muache auskze moyo wake lisa kipenzi umechagua fungu jema olewa n jarufu dear tena ikibid mueke wazi jarufi ili ukiendatambulshwa usiumbuje dear wetu🎉❤
Loveness achana na hizo Kazi za kutegemea uliwe ndo ule kaa tulia jilinde kama Binti anaejitambua ili upate MTU sahihi kwenye maisha yako jipambanie loveness 🙏🙏🙏❤️❤️❤️
Aaaaaa vip mbona sielewi jameni??? Ep tuliomariza tuliacha mtu inje na mabombe zake alafu leo sijaona mwisho wao ,hapo musha aanza kuzungua mashabiki so hongera kazi nzuri munao fanya
Kwa hiyoo lilee fumanizii halikufanikiwa au??? Ilaaa kwa akili za amina nazan alivyofika akamuona Mr D ndan basi alimtoa Jarufu kiakili hvyo fumanizi halikufanikiwa
Mmezingua donta tv mlipoishia sipo mlipoanzia lekebishen hii isijiludie tuliishia pazur tukapata shauku mnakuja kuleta manyau nyau
Umeona eeeh me niliona fumanizi linakuja kutokea na walipoanzia leo ni Muv mbili tofauti
Wamenikera nikaanza tena kutafta ya Saba maana mmh 😢sijaelewaa
@@pendochacha1326kumbe tupo wengi😅😅
Umeonae kweli hawajafuata mtiririko hivi hawajui kuwa tunafuatilia kila hatua lkn wako vizuri
Mmm
Tafsida jamani nao ni binadamu labda wamesahau
Hapo Bado hamjanigusa hichi kipande sio episode 8 mmerudia episode ya 7 kusema mbinu zimeisha katka mfumo wa mwendelezo Tatizo yaani ishu ya kugongana baba na mtoto Kwa mpenzi mmoja kisa kisababishi mliwaisha mno ndo mlipo jichanganyia ilikuwa Bado mapema Sasa mmeshindwa namna ya kuicheza mwendelezo wakati kinogesho Cha movie Cha kumaliza mchezo mmeshakimaliza hapo ni kumaliza tyu hamna kitu nawashauri endelezeni Ile ya kijana aliyeokota mtoto maisha yakabadilika hiyo ndo mlikuwa mnaenda vyema kidogo ila kazi nzuri mwanzo mwishoni mnaanza kubugi kuweni makini kama movie za nyuma Kwa mfano Ile ya kijana tajiri aliyejifanya masikini Ili apate mke Bora safi au sababu brown na Victori hawapo Nini ningesema meñgi yatosha nawapenda Sana kazi nzuri umakini uzingatiwe mazowea uharibu kazi bhn kama ivi ,,
Yani mmezinguwa sana tena zaidi wapenzi wetu maali ilipo ishiya si maali ilipo anjiya
Mnazingua sasa ndonin kutulukisha kipande sehem tulio ishia ilikuwa nzuri sana na mlitupa shauku kbc ya kuangalia
Nyiye munazinguwa mbon mumeruka semu ya 7 munafanya Nini sasa😊
kwanini hatukuona baba na mwanae wakikutana kwa nyumba ya suzi mumetuchezea kimbao yy☝️☝️☝️😂😂😂
Yani wametuvuruga pakubwa 😂😂😂😂
Wanazingua sana sai😅
Washenzi sana
Yaani wameniudhii hawajaanza walipomalizia
😂😂😂 wametubeba ufara😊
Mulipoishia sehem ya7 ni tofauti mlipoanzia sehemu ya 8
Wamevuka kipande
Wanenikwaza😢
Hawaeleweki
😂 tufanye ilikuwa ndoto hawajafumaniana kweli
Hata mimi nimeshangaa nikadhani labda nimeruka kipande kingine
Jamn donta plus, mbna mmetulusha mnaboa bwana.
Mbona kama mmeruka kipande flani hivi.
Mi pia nimeshangaaa😂😂😂😂😂
Kama pia mimi sielewi pale palipo ishiya kwakufumaniana
Haya mm naona episode haiko sawa
Mwanzo hapo ndo nlikua napasubiri sana
Baba na mwanae walikua wakutane,sasa ona wameruka
Yaan move mtucheleweshee na vipande mruke😏😏😏😏😏
Nilivyo ngojea baba na mwanae wajue ukweli na nikionacho 😢
Amina Kwan we kabila gani mbona, umesema kalegeza kama hombo😂😂😂😂
kwel mmezingua San ilitakiw muazie pal pr mlip ishi his 🎉🎉🎉
Kazi nzuri sanaa mauwa yenu wahusika 🎉🎉🎉❤❤❤❤ila mbona filamu n fupi sanaa
Jmn natamani love ness axipakwe makeup uxon awe anapaka lipstick tuu maana unamfanya anaonekana mzee wakat kitoto cha elfu mbili.....
Love jaman hizo mecap zinakuzeesha bhna
Uliza namba 7 iliishia wap na namba 8 inaanzia wap
Suzi wanikera unavomshauri mwenzio yaani akae na mzee ili iweje unamtaka uyo jarufu wew sio buree , yaaan unamforce saana lisa , muache auskze moyo wake lisa kipenzi umechagua fungu jema olewa n jarufu dear tena ikibid mueke wazi jarufi ili ukiendatambulshwa usiumbuje dear wetu🎉❤
Leo mmewahi sana ❤❤❤❤
😂😂😂😂😂😂hata kama mmetuka lkn hapo mwisho nmefurahi🎉
MMEZINGUA PALE PAJALUFU NABABA YEKE WALIPO KUTANA NDANI MMELUKA MMEKATISHA UTAMU WOTE YANI😢😢😢😢
Na leo tena sijawahi jamani mm😢😢😢😢 naombeni like bas hata 1 tu😭😭😭😭😭😭😭
Kaz nzur sana donta tv
Nikwer palikuwa kwenye fumanizi na doctor sasa mbn tofaut tena😱😱😱😱
Wa kwanza leo😊
Loveness achana na hizo Kazi za kutegemea uliwe ndo ule kaa tulia jilinde kama Binti anaejitambua ili upate MTU sahihi kwenye maisha yako jipambanie loveness 🙏🙏🙏❤️❤️❤️
Amina sikupend kwasabab yatabia zako mbovu😏au ndowivu huoo
Aky love unatupeleka Hadi kwenye bibilia
😂
Mmm pumbavu zangu nimestuka kama niko ndani yasimu waah hii yaleo moto❤❤❤❤❤muniombee niache kustuka kwa movie
Hata 😂😂😂 imenitokea Hapo mwishoni walipogongewa
Kelvin we mnaaaaa jamaan❤
Jamani tumepigwa na changa la macho kweli ila huyi shogaake Lisa cmpendi kabisaa
Aaaaaa vip mbona sielewi jameni??? Ep tuliomariza tuliacha mtu inje na mabombe zake alafu leo sijaona mwisho wao ,hapo musha aanza kuzungua mashabiki so hongera kazi nzuri munao fanya
Hya joruf hutaki kumsikiliza bwana kelvin anvyosema ndo umekufa ukaoza n yy Mrd amrgada kma kumbe😂😂❤️
Kasongo yeeee mbna hatujaona jarufu akimuona babake😂😂
Nimewahi Leo 🎉🎉🎉
Akiiiii nimechoka na hili fumanizi nusunusu🤣🤣🤣🤣ila suzi mbaya sikupendi...
Nikifatilia tena hii move niuwaweee mxiuuuuuuuuu kila muda kufumaniwa na ikija ep nyingine mnazingua me mnikome
Tumepigwa 😂 na kitu kizito hamja aanzia mlipoishia
😂😂
😅😅😅
Walisahau walipoishia😂
Yaan kama kupigwa tumepigwa haswa😂😂😂😂mim apa niko tabani,icho kibao kimenipata kwelikweli dah😂😂😂
Wamehepa hapo😅
Mbona umeruka kiasi hicho 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Jaman toeni mapema episode 8
Mmezngua kweli, jmni mbna palikuwa pananoga
Wallah leo mmezengua juzi c ilishia hivihivi
Ongezen dakika jamn mnakata patamu sana❤❤❤❤
Wa pili leo❤❤❤
Loveless Lisa Amina so rafiki mwema kwako
Twataka tujue ilikuaje baada ya baba na mwana kupatana wana mke mmoja mwaturukisha aiiii😮😊
kelv umeanz kuzingua na wew kam bab karobo daaah
Huyo aliempaka makeup loveness,mmhhh!
Donta mnazngua,!!ni kama mmechoka na kazi mnatoa kwa kujckia dk ngap sasa mmeweka!! Mwisho wa cku itashangaa inaishia katkt😏😏
😂 jamani tumeanza moja kwenye fumanizi hatujaona au ilikuwa ndoto
😂😂😂sasa mambo gan jamani,,,imefika mahali pazuri then imeisha,,
Wanarudia epsod iliwasionekane wanachelewa
Mbona kama hamjaanzia mlipoishia, Donta tv
Kumbe ata ww umeona Eeh
Acha tu 😢😢😢😢
Ata mimi nashangaa jamani kwenye mtoto WA boss kimetokea ivoivo tumeyona uwaje badala yake sijui wamefuta.
Huwa nawakubali sana wanajitajidi kufanya kazi nzuri,
Lakini wanapoanza kufanya vitu namna hii inakuwa si poa
Loveness kitakulamba😂😂😂
Kevin mutatuzingua mulipo malizia sio njo munaanzia vibaya kutoka Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Muko wa janja sana mahali mlipo hishia mumeamua kuruka kbs 😂
Mbona maali nilikua nataka kuona mmeruka 😂😂 vipi tena jamani 🎉 Kenya
Mbona kutuchanganya tena😂😂ama hamkuwa tayari kumalizia pale😅😅😅 anyway kazi nzuri sana loveness
Kaz nzur lakn kadogo😂
Sijapenda 😢😢 hamna mtiririko mwema 😢
Hhhhhhh kumekucha Sasa Huko kwa Lysaaaa😂😂😂😂😂
Mnazingua nakama hii yakulukisha itakua endelevu mtatupoteza😅
Basi kama wameruka kipande naachia apa kuangalia natoka kama ifuatavyo..staki kujua ilikuaje😂😂
Uwez kutoka😂
😂😂😂😂😂
Huenda hii n ya 9 au macho yang2😂🙌
Mouvie nzuri saana
Sasa tunaielewa vipi imeanza tofaut kabsa
Kazi nzuri❤
Mbona munapoteza utamu wa movie ,,, mulipo ishiya sipaone
Leo WA umeyaka nyaga😂😂
Wa kwanza🎉🎉
Amina nimekupenda bule❤❤
Kweli kabisa ilikuwa fumanizi
Amina nikama anamtaka jarufu
Movie inafaa kuanzia ilipoishia jameni😢
Kwa hiyoo lilee fumanizii halikufanikiwa au???
Ilaaa kwa akili za amina nazan alivyofika akamuona Mr D ndan basi alimtoa Jarufu kiakili hvyo fumanizi halikufanikiwa
Haya hatari mwenye lango😮
Mbona ilipoishia kile kipande kingine. Ilikuaje na aliokoaje lovenes lile jahaz kuusu baba na mtoto
Bwana kelvin kuua unapanga kitu kinaendesana mukuu una...
Suzy anatoho mbaya sana
Sema mmetupiga hapo mbona mmeruka kweny fumaniz la baba na mwana😂😂
Good job 🎉🎉
Mnatuchanya bana kipande kilikua kinafata hatukioni nando palikua patamu
Tuachane na yote kuwa na rafiki kama suzi a k a amina ni hasara tupu 😂😂
Nyinyi nanyi huwa hamuanzi pale movie ilipoishia,kevin unanibwaga
Nilikua natarajia mr😅d na jarufu washikane hapo ndani ilishia😮hapo lakini mumetuzingua leo lakini lisa🎉za mwizi arubaini wewe Amina anakudanganya
Mlipoishia na mlipoanzia ni tofaut
Duuuuhh wenye marafiki kama suzy Mungu awasaidie
Ilipoishia na ilipoanzia tofauti mbona😢😢😢
Tusubirie na hii tena 😂😂😂,tuone mnaanzia wapi kwasababu,kila fumanizi hatulioni,mnatupeleka kama kondoo
Mmh mbona haijaishia hapo jaman😂
Watu mnapenda umbea kila mtu analalamika kuto kuona fumanizi😂😂😂😂😂😂😂
Hii imekosa ladha sifatilii tena mmetuona sisi zamwamwa sio 😂
Mbnaaaa inakaaaa mulirudiaaaa hiii pat nyinyiii😢😢
Wameruka pale namba Saba mwishoni alivyokuwa Mr d ,,ndani na j anakuja narafiki walisa
Mmezingua sana
Mmmmh nyie mmetumikia mambo
Alafu Amina nina mchukia sn tena sn
Tulipo ishia palikua funzo kubwa sasa nashangaa kuona ivi
Aki bona hamkuazia penye mulumalizia Aki hivo sio poa mkufika penye nipazuri mkaruka aki😢
Hivi bona mnatuchaganya mahali mliachia movie sio apa mumeazia... kelvin acheni kutuchaganya au mnatuona kama matako zenu ...
Uwiiiiiii jmn😂😂
😂😂kabsa
Nimecheka sana😂
Kuna sehem atujaiona bhn mmezingua apo mlipo ishia atujaiona imekuaje
Nilijua itaanzia pale pafumanizi lkn nope why 😂😂😂😂😂