MUSLAMU KWENDA KANISANI KUOMBEWA SIO HARAMU MANENO YA SHALIFU FIRDAUS

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 64

  • @allyathumani1195
    @allyathumani1195 2 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu kweli anamatatizo makubwa namachawa wake wanaomsifia wote hovyo jinga sana

  • @AminaKaifa
    @AminaKaifa หลายเดือนก่อน

    Yaan m huyu huwa ananikera sana kwa kwel 😢😢😢😢hiv tangu lin kanisan wakaomba kwa jina la Allah hebu peleka kiswahil chako,we fanya 2 ukajiunge na kina mamposa we uislam huuwez acha kuhalalisha haram tapel w

  • @ZsbAlbarwani
    @ZsbAlbarwani หลายเดือนก่อน

    Mganga wa kienyeji kachanganikiwa,Subhanallah

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂Dini ya kiislamu imevamiwa kwakweli.

  • @JamesYunusa-y4c
    @JamesYunusa-y4c หลายเดือนก่อน +1

    Huyu Mwanaharam Kumanina zake kuanzia leo nmemdharau kabsaa hovyo sana
    Nahisi atakuwa anatumwa na watu kuharibu Dini mbwaaa

  • @MlewaIsavile
    @MlewaIsavile หลายเดือนก่อน

    Yaaaa😂😢

  • @TwahayusufuMaziku
    @TwahayusufuMaziku หลายเดือนก่อน

    Mtoto anakibri hatari ila hajawaona waliopita kablayake halafu hata haelewi anachosema mungu amuongoze

  • @Rukaka_jr
    @Rukaka_jr 2 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu ni free Mason, hakuna shekh hili jamaa ndo maana tunasema humu hakuna kitu hili ni wimbi na ni dishi, asa unategemea kanisani anaabudiwa nani kama sio yesu na kwa jina la mwana na roho mtakatifu? Hii ni virus 😂😂😂😂

  • @livinuskamugisha5296
    @livinuskamugisha5296 2 หลายเดือนก่อน +1

    Aminaaaaaaaaaaaa😅😅😅😅

  • @MusaRamadhani-wj2dw
    @MusaRamadhani-wj2dw หลายเดือนก่อน

    Kwani huyo mtoto anashidagani ama kweli mungu hachezewi Sasa ujinga wake unaonekana waziwazi anaumbuka mjinga sana

  • @SultanSuleiman-qf7cx
    @SultanSuleiman-qf7cx หลายเดือนก่อน

    Mimi nolikuwa naja kwako nkijua ni msomi una karama dua pia lkn kumbe hata dini huna kando na elimu nashka na wislamu wako...ww n mganga tapeli tu wakuzika vitu kuvificha maporini kisha ufukue na kufichua kimpango

  • @maulidimpili698
    @maulidimpili698 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu hajawah kwenda kanisani alienda Kwenye sinagogi na hekalu tu

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 หลายเดือนก่อน

      Issa ajawai kwenda kanisani Wala kanisa halijui Hila Yesu kabisa ni lake mathayo 16:17-18 nyie waislamu bakini na issa wenu asiyeweza kujenga kanisa lake pokea wewe hachana na majini mapepo wachafu wanakupoteza

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s หลายเดือนก่อน

    Ovyoooo 😏😏😏😏😏🤪🤪🤪🤪

  • @hamadsobo304
    @hamadsobo304 หลายเดือนก่อน

    Saa nyengini kusoma kunaweza kukufanya ikawa hujielewi au hukielewi usemacho.

  • @maulidimpili698
    @maulidimpili698 2 หลายเดือนก่อน +2

    Sinagogi sio kanisa kwanza lazm ujue ilo neno sinagogi limetokana lugha gan kanisa na sinagogi vitu 2 tofauti sinagogi ndio msikiti wa wayahud kanisa sio sinagogi umekosea wayahud ndio wanatumia msikiti hakuna ata kitabu cha bibilia yesu alienda kanisani

  • @IsmailJuma-zb5ni
    @IsmailJuma-zb5ni หลายเดือนก่อน

    Mukiambiwa bora tesh wa pemba kuliko sheikh wa bara munakuja juu haya sasa oneni.

  • @muddathirkassim2407
    @muddathirkassim2407 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa daaah dishi liliyumba zamanii,,,yani signal hamna kabisa huku tz hakuna wale madaktar waa kupima akali.

  • @AminaKaifa
    @AminaKaifa หลายเดือนก่อน

    Kwanza fanya ujitibu mwenyew hiyo akil yako maana haipo saw ndo utibie watu

  • @TwahayusufuMaziku
    @TwahayusufuMaziku หลายเดือนก่อน

    Mpaka Wimborne wa dula makabila anaimba

  • @TwahayusufuMaziku
    @TwahayusufuMaziku หลายเดือนก่อน

    Bakwata wanahusika sana kuharibu hii dini

  • @KatyaleOmary
    @KatyaleOmary หลายเดือนก่อน

    ww umepewa uganga rakini ujijuwi

  • @Allymbaruku991-lj1om
    @Allymbaruku991-lj1om หลายเดือนก่อน

    Huyu amevamia uislamu mjinga sana

  • @YusufuMustafa-c5m
    @YusufuMustafa-c5m หลายเดือนก่อน

    Tusomeni dini yetu waislam matapeli na wachumia tumbo ni wengi sana wanapeleka dini kwa rai zao na ukiwachunguza hawalinganii tauhiidi wali hawahamasishi kusoma dini wanazungumzia mapenzi ya dunia tu.Na sisi tumegeuka mashabiki sasa itafika wakati ijumaa tunaenda msikitini na jumapili kanisani.
    Jamani uislamu unataka elimu kwa dalili kama jambo hajafanya mtume na maswahaba hiyo sio ibada tuachane nayo hata kama tumekuta babu na bibi wanaifanya kikubwa ni dalili ya kielimu

  • @abasiramashoo5026
    @abasiramashoo5026 หลายเดือนก่อน

    Wewe subiri ufe ndio utajuwa moto

  • @Ramadhan-d3i
    @Ramadhan-d3i 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu huyu ni chiz mwanazuoni gani huyu

  • @F.j84
    @F.j84 2 หลายเดือนก่อน

    Mumeona km huyu amevaa tu vazi la kiislam.. Mungu amemfedhehesha.. Alipoaanza kuja na ujinga wa mafuta ya upako tulishajua hakua ni muilsma.. As mafuta ya upako yanatumiwa makanisani.. Sisi waislam tuna rukya na quraan. Hatutumii ushirikina wa mafuta wala hirizi wala mipete

  • @Ramadhan-d3i
    @Ramadhan-d3i 2 หลายเดือนก่อน

    Innallilahi wainnailayhi rajiuun.Mashee wamichongo ndo maana shekh kishka alisema hakuna sharif hyu ni fake sharif

  • @Mariam-ke4og
    @Mariam-ke4og หลายเดือนก่อน

    SHARIFU FEKIII WEWE UNAUDHALILISHA UISLAM WEWE SIJUI UMETOKA WAPI FREEMASONI WEWE MUONGO SANA UNAKAZI YA KUTUTIA AIBU MUONGO WEWE ULIMUOMBA RADHI NANI WACHA UNAFKI MBONA UNAKOSEA KWENYE UISLAM HUTAKI KUOMBA RADHI WAOMBE KWANZA WAISLAM RADHI KWA UNAYOYAFANYA

  • @PrinceSindayigaya
    @PrinceSindayigaya 2 หลายเดือนก่อน +1

    Acha kuchanganya mada

  • @AliBakar-f5k
    @AliBakar-f5k หลายเดือนก่อน

    DA kunamashekh wakubwa wanamtetea huyu jamaa da kweli waislam tumekwisha

  • @uthmanmaalim2680
    @uthmanmaalim2680 2 หลายเดือนก่อน

    elimu imetupwa kisha watu wanatowa fatwaa hovyoo bila ya elimu

  • @abasiramashoo5026
    @abasiramashoo5026 หลายเดือนก่อน

    Huyu kijana ni kicha anatakiwa mash wamuombe

  • @ZawadFadhir
    @ZawadFadhir หลายเดือนก่อน

    Sasa nimeanza kuwa namashaka nawewe

  • @feizalmas
    @feizalmas 2 หลายเดือนก่อน

    We mtoto acha upumbavu elimu huna nenda kasome acha upuuzi unaongea makosa na hujui

  • @muddathirkassim2407
    @muddathirkassim2407 2 หลายเดือนก่อน

    Hapa hakuna mtu ni photocopy 😂😂

  • @Mussa-zg7gt
    @Mussa-zg7gt หลายเดือนก่อน

    Huyu dogo akili yake mbovu hayukosawa wala sio sheikh. Hivi ww uwende kanisa alf useme et ukiombewa kwajina la asiekuwa Allah ni zambi kwani kanisani kunawatu gani mjinga sana ww mtt😊

  • @joesplatnumz
    @joesplatnumz 2 หลายเดือนก่อน

    Shekhe ni msanii nini 😂😂😂

  • @MuharamiBakari
    @MuharamiBakari 2 หลายเดือนก่อน

    Sharifu hayupo sawa hana akili timam.

    • @kalelaonlinetv
      @kalelaonlinetv  2 หลายเดือนก่อน

      Itakua dishi limeyumba 😂😂

  • @salimfaraj5509
    @salimfaraj5509 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu ukimtazama na kumsikiliza utaona hayupo sawa kiakili na wote wanamsapoti hawako sawa

  • @AllyHozza
    @AllyHozza 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu sharifu jamani kama sio mgonjwa basi Kuna fiuzi zimeungua kichwani tumsamehe Bure

  • @mtutulaclassic6207
    @mtutulaclassic6207 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu Elim yenyewe hana

  • @mussamnndewa1783
    @mussamnndewa1783 2 หลายเดือนก่อน +1

    Pumbavu

  • @PrinceSindayigaya
    @PrinceSindayigaya 2 หลายเดือนก่อน

    Uyu kijana ameva vazi laki iSLAM ILA SIWE TANZANIA SHIDA KWELI

  • @mussakilo4916
    @mussakilo4916 2 หลายเดือนก่อน

    Kumbe ni rafiki yako!!!!! unacho kifanya ni kumfurahisha rafiki yako ??hapo sawa ila kwa dini ya kiislam kuombewa kanisani haipo

  • @a.a.ua.a.u6816
    @a.a.ua.a.u6816 2 หลายเดือนก่อน +1

    huna unalojuw kuhus dini

  • @DelightfulMacawBird-tl5hf
    @DelightfulMacawBird-tl5hf 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu Hana ushehe

  • @karimuabdala3234
    @karimuabdala3234 หลายเดือนก่อน

    Mvueni hiyo mawani

  • @mussakilo4916
    @mussakilo4916 2 หลายเดือนก่อน

    Nilikuwa nakuamini lakini kwa kauli hii mmmmmm

  • @RobertRahab
    @RobertRahab 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu sio shekhe walah

  • @a.a.ua.a.u6816
    @a.a.ua.a.u6816 2 หลายเดือนก่อน

    mtume wetu muhmmad hakuingia kanisani wakati akiwa mtoto 7b kulikuwa namsalaba muisalm hatakiw kuingia kanisan

    • @allyhemed6380
      @allyhemed6380 หลายเดือนก่อน

      Tusimseme vibaya Kuna sehemu nimemwelewa

  • @maulidimpili698
    @maulidimpili698 2 หลายเดือนก่อน

    Wakat mwingne ni vyema kuuliza kuliko kuongea kwann mtume alishushiwa haya na kuwaambia hao makafir kuwa wao wana dini yao na sisi tunadini yetu alaf unasema unaweza kuombewa kanisani hakuna ubaya kwa muislam acha hayo mamb soma kwanza kabla ujaongea maana clip inafika mbali

  • @SultanSuleiman-qf7cx
    @SultanSuleiman-qf7cx หลายเดือนก่อน

    Tafuta pesa kwa wajinga huna elimu huna usharifu wa dini

  • @omarisadallah5695
    @omarisadallah5695 2 หลายเดือนก่อน

    Hawatakua radhi mayahud na manasara mpaka mfate mila zao

  • @KingMido-v4u
    @KingMido-v4u 2 หลายเดือนก่อน

    TZ shida iko wapi mbona mtafaruko kuhusu dini unatokea tu huko kwenu...mashehe kuwekeana bifu,mashehe kutupiana madongo sasa tena mwaingien amejitokeza ati sharrif...!! Huyu ata sura yake tu haina nuru ya uisilamu anaonekana wazi tu ni mjumbe wa shetani

  • @HarunakiongoziMohamed
    @HarunakiongoziMohamed หลายเดือนก่อน

    Wewe mjinga huna haki ya kutoa fatwa ,wewe ni nani wa wapi

  • @AliBakar-f5k
    @AliBakar-f5k หลายเดือนก่อน

    ,Leo nimeamini wewe kweli ni mgonjwa

  • @AminaKaifa
    @AminaKaifa หลายเดือนก่อน

    Kwanza w haukuwa muislam na wala hujasoma din ww

  • @MusaRamadhani-wj2dw
    @MusaRamadhani-wj2dw หลายเดือนก่อน

    Mbumbu kabisaaa

  • @MosamMchulu
    @MosamMchulu หลายเดือนก่อน

    Kungekua na jeshi lakislam kisheria wajinga kama awa wangekua wanakamatwa

  • @zully756
    @zully756 2 หลายเดือนก่อน

    Sasa subiri makombora yako