"Walipeni" Waziri Mkuu Majaliwa atoa maagizo, akagua ujenzi daraja la Kigongo Busisi Mwanza

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 27

  • @katereggatonn3467
    @katereggatonn3467 2 ปีที่แล้ว +2

    AM A UGANDAN BUT AM TEAM MAJALIWA WE LOVE U SO MUCH SIR

  • @aminachomola7156
    @aminachomola7156 2 ปีที่แล้ว +2

    Fanya kazi baba. Tunaamin haya yatapita uongozi wenu na JPM utarud palepale👍👍👍👏👏🙏🙏🙏

  • @athumaniomari2833
    @athumaniomari2833 2 ปีที่แล้ว +6

    Waziri wangu mkuu mwenyezi MUNGU yupo pamoja nawe

  • @philipokaphunga3312
    @philipokaphunga3312 2 ปีที่แล้ว +5

    Tunakupenda sana tatizo umezungukwa na asid wasije wakakuyeyushatu tunajua unaumia hakuna namna

    • @hamisijuma3276
      @hamisijuma3276 2 ปีที่แล้ว

      Itaisha vipi na Royal ndyiko kweny chat

    • @hildantandu5909
      @hildantandu5909 2 ปีที่แล้ว

      Tunasubiri rais acheze sinema nyingine

  • @shukurukihwelo3084
    @shukurukihwelo3084 2 ปีที่แล้ว +1

    Safii sana msaidie mama

  • @barikinyingi5771
    @barikinyingi5771 2 ปีที่แล้ว

    Hadi rahaaa.

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 2 ปีที่แล้ว +3

    Nchi hii inahitaji viongozi kama majaliwa.

  • @timboxlee919
    @timboxlee919 2 ปีที่แล้ว +2

    Jpm angemkataa huyo mama,waziri mkuu ndiye ungekuwa Rais wetu

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale 2 ปีที่แล้ว

      Una umri gani? Tuanzie hapo kwanza!

  • @jackhans7708
    @jackhans7708 2 ปีที่แล้ว +3

    Majaliwa wewe chapakazi👏

  • @saumsaum1916
    @saumsaum1916 2 ปีที่แล้ว +4

    Ingekuwa magu yuko hai lingeisha mda. Ufwatiliaji hamna

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale 2 ปีที่แล้ว

      Lisingeisha. Makubaliano ni miaka sita. Imefika? Ujenzi ulianza 2019.

  • @abedomar5183
    @abedomar5183 2 ปีที่แล้ว +2

    RIP Magufuli,ulisema tutakukumbuka kwa mengi now ndo tunaona baba this country we have long way to go.!!

  • @domnia6980
    @domnia6980 2 ปีที่แล้ว +1

    Majaliwa wew ndiwe Magufuli alie hai.kuwa mkali hivyo kazi ziende haraka.

  • @smukelomkhize9775
    @smukelomkhize9775 2 ปีที่แล้ว +2

    Majaliwa sasahivi Hana mshikaji WA kweli ,kabudi ,lukuvi wamehamishwa position zao zimechukuliwa na watu wengine Wadwanzi

  • @madirishasimon9692
    @madirishasimon9692 2 ปีที่แล้ว +1

    Nikizaa mtoto namwita majaliwa

  • @ooafrica3626
    @ooafrica3626 2 ปีที่แล้ว +1

    Wanajifanyaga wako busy wakiona viongoz

  • @abdallahhussein1918
    @abdallahhussein1918 2 ปีที่แล้ว

    Mohammed builder ameshindwa kukamilisha soko na stendi kwa wakati afadhali mchina

  • @bajagihaji8923
    @bajagihaji8923 2 ปีที่แล้ว

    inatia hasira nikisikia wizi wa vifaa vya miundo mbinu bongo ipo shughuli

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 2 ปีที่แล้ว +1

    Wasukuma tuna shida wizi wa kijinga namna hii hautusaidii unakwamisha miradi mingi ya maendeleo mkoani Mwanza.

  • @fredysiwale5413
    @fredysiwale5413 2 ปีที่แล้ว

    Mh kuwafokea pekee hakutoshi watumbue na uwasweke rupango maana hao ndio wslikua wanachekelea kifo cha jembe mwenzio hivi hapo wanakuombea mabaya yakupate ili watupige bira hurma.

  • @ngulirashid6740
    @ngulirashid6740 2 ปีที่แล้ว

    Ww,ndio,tunakuagaria,baba,tunakupenda,mwanza,

  • @josephndali9584
    @josephndali9584 2 ปีที่แล้ว

    Tuokoe Baba ww ndio umebaki unaangaliwa wengine wako bzy na Filama