KOZI ZOTE ZA AFYA CHUO CHA MUHIMBILI (MUHAS)-MUHIMBILI UNIVERSITY OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE -DAR
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 22 ธ.ค. 2024
- KOZI ZOTE ZA AFYA CHUO CHA MUHIMBILI (MUHAS)-MUHIMBILI UNIVERSITY OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE -DAR
Chuo kipo dar es salaam
Kina kozi nyingi sana
Uhakikaa ukiangalia katika video hii..naomba subscribe na u subscribe
Pia
Coment
Like
Share
Usisahau kuulizza swali kama hujaelewa
Nami nitakujibu muda muafaka
Samahani ni vigezo gani zinazo hitajika kusoma bachelor ya utoaji dawa za usingizi hapo Muhas?
D tatu comb pcb
Dv one form four anatuma maombi ya afya?
Kama una swali zaidi nicheki 0656485159
Jib:
Mdiyo anatuma ila kukubaliwa pale mhimbili hakikisha usiwe na D ya math,bios,chem, English.....na uhakikishe usiwe na ma C mengi ...ongoza A/B na C C chache
Mbona pharmacy apo kuna PCB tu jaman
NDIYO,,,NIMEITAZAMA TCU YA 2024 PHAMACY NI PCB TU,,,niwie radhi kama nimeweka combi zingine ambazo si rasmi kusoma kozi ya famas