Na dini yetu haijabanwa kiuelewa zaidi na zaidi kwahiyo wanao nufaika kwenye hii dini, ni watu wenye kutafakari sana mafundisho yaliyomo ktk dini hii alafu wakayafanyia kazi ndo utakuta aya ambayo ww unaelewa inatumika ktk kusali, mwenzako anaefikiri sana na kufanyia kazi, anatengeneza ndege ipaayo angani kwahiyo hicho ulichonacho, ndo ulichojaaliwa kwa mujibu wa kiwango chako cha uelewa sawa baba feisali? kwahiyo wakati ww unasoma aya ili upate thawabu, mwenzako anatumia kutengeneza gari muda huo ww utapata thawabu, yy atapata thawabu pamoja na pesa zako pindi unapotaka kutumia gari alilounda mwenzako
Rasoolu llah hajapatopo kufundisha dhikri ya kukohoa na kuwika. N.b jambo zuri unaweza kulifanya ila sio lilivyoelekezwa mfano ukisoma ukhilasw 3 then ukaingia baitil khalai . ni nzur ila haijaelekezwa hvo kuda dua yake
Watu wanasema. ALLAHU ALLAHU ALLHA ALLAH DHULJALALI ALLAH. YAANI ALLAH ASIOSHINDWA NA JAMBO ALLAH. sikiliza kinachosemwa muislamu wewe. NA khadithi ulizokua hujazisoma bado kwakuwa huwezi kujua khadithi zote za Mtume sw basi kawafuate wanaokohoa wakufundishe walipojifunza watakufundisha hilo NA zaidi ya hilo miongoni MWA ulipopotezwa
Alafu km kweli ww unaelewa vizuri hukumu za dini kukohoa kumehukumiwaje kidini? napia huwezi kuona kukohoa ni makosa wakati haujakaa chini ukasoma vizuri au kuwafuata watu walozama zaidi kielimu na wakawa wanafanya mambo hayo au hawafanyi lkn wanaelimu ya uhakika kuhusu hukumu za kidini tena watoao hukumu bila kuvutia upande fulani
Mambo yaliyozushwa Ktk Zama Zetu Na Hayo Ndio Makundi Aliyoyasema Kuwa Yatakuja Makundi ktk Uislam Yote ni Ya Motoni isipokuwa Moja Tu Nalo litakalo Shikamana Na Quraan na Sunna kwa ufaham wa maswahaba.
@@rajabujuma4976 Kataa ukubali Huo ndio Uislam Rasilimali Yetu ni Quraan Na Hadith(Sunna),Na mara Nying Wanaoharib Dini ni Mafundisho ama Vitabu Vilivyotungwa na watu na Sip vitokavyo kwa Allah
Hakuna Muislaam asokubali Qur aan au Sunnah lkn kuhusu vitabu vilivyo tungwa vingi sii vya uzushi bali hayo yaliyomo ndani, niuelewa tu walivyokua wakifafanuliwa kutoka kwa Mashaykhi zao waongofu sasa kuelezea uelewa kwa kuandika ktk vitabu kuna ubaya gani? kwasababu, hata hii Qur aan na Hadith zisingeandikwa huenda hadi sasa tusinge ambulia kitu
@@rajabujuma4976 وماذا جاء بعد الحق الا الضلا لة!؟ Sasa Kama Muongozo tumeachiwa Halafu Tunaenda Kuongozwa Na Akili zetu wenyew Wew Unafkir nani Ataongoka,Tena Mtume amejitahid Kufundisha Dini Kama Alivyofunzwa Na Allah,Na Uislam Umekamilika Kiibada Na Kimfumo wa Maisha Mwanadamu Hatuhitaji Muongozo Mwingine wowote Kuuuleta Ktk dini Hii.اليوم اكملت لكم دينكم واتممت عليكم نعمتي ورضيت لكم الإسلام دين
Mm nawakulaliii sanaaa hawa jamaaa Na mm pia nimuuminii wa haya mamboo
الله الله الله
ماشاء الله
😊😊☺☺ Ust Mahamudu Hassan Mpondo namuona hivii. 😄
Allahu allahu Allah Allah Karim
Allah akbar wisiram raha
❤I love all khaadiria
Kwanzaaa ni ibadaa pekeee amboyoo haina mchanganiko wa wake Na wanaume hiii iajumuisha wanaume watupuu pekeyao
Masha Aallah 🕋
Mashallah !
Chakula ya roho Alhamdulillah
Mashaaallah khalifa bojo
Namkumbuka shekhe kama namuona amakweri alikuwa mwema
Jazaakumullaahu lkhair
Allah anatupenda ndugu zangu
Tumtegemee Allah
Na dini yetu haijabanwa kiuelewa zaidi na zaidi kwahiyo wanao nufaika kwenye hii dini, ni watu wenye kutafakari sana mafundisho yaliyomo ktk dini hii alafu wakayafanyia kazi ndo utakuta aya ambayo ww unaelewa inatumika ktk kusali, mwenzako anaefikiri sana na kufanyia kazi, anatengeneza ndege ipaayo angani kwahiyo hicho ulichonacho, ndo ulichojaaliwa kwa mujibu wa kiwango chako cha uelewa sawa baba feisali? kwahiyo wakati ww unasoma aya ili upate thawabu, mwenzako anatumia kutengeneza gari muda huo ww utapata thawabu, yy atapata thawabu pamoja na pesa zako pindi unapotaka kutumia gari alilounda mwenzako
Alhabib tuwekee na mawaidha ya shekhe abdurahman alio zungumza katika hadhara ya shekeh
Shekhe
Ah mashaallah raha sana kwakweli
Allah allah Allah
Mashaallah
Mungu atuzidishie yarabbi
Mashallah !
Allahu Allahu Allahu Allah Allahu dhulijal jalaluka llah
Rasoolu llah hajapatopo kufundisha dhikri ya kukohoa na kuwika. N.b jambo zuri unaweza kulifanya ila sio lilivyoelekezwa mfano ukisoma ukhilasw 3 then ukaingia baitil khalai . ni nzur ila haijaelekezwa hvo kuda dua yake
Wewe ni jazz band
Watu wanasema. ALLAHU ALLAHU ALLHA ALLAH DHULJALALI ALLAH. YAANI ALLAH ASIOSHINDWA NA JAMBO ALLAH. sikiliza kinachosemwa muislamu wewe. NA khadithi ulizokua hujazisoma bado kwakuwa huwezi kujua khadithi zote za Mtume sw basi kawafuate wanaokohoa wakufundishe walipojifunza watakufundisha hilo NA zaidi ya hilo miongoni MWA ulipopotezwa
Allahumma amiin
Alafu km kweli ww unaelewa vizuri hukumu za dini kukohoa kumehukumiwaje kidini? napia huwezi kuona kukohoa ni makosa wakati haujakaa chini ukasoma vizuri au kuwafuata watu walozama zaidi kielimu na wakawa wanafanya mambo hayo au hawafanyi lkn wanaelimu ya uhakika kuhusu hukumu za kidini tena watoao hukumu bila kuvutia upande fulani
Mashala
Bojo Mashaallah
Allah allah allah dhulijalali allah
karibu sana kwenye dhikiri
Mashaallah
Mambo yaliyozushwa Ktk Zama Zetu Na Hayo Ndio Makundi Aliyoyasema Kuwa Yatakuja Makundi ktk Uislam Yote ni Ya Motoni isipokuwa Moja Tu Nalo litakalo Shikamana Na Quraan na Sunna kwa ufaham wa maswahaba.
Baba Faisal hilo la peponi ndo nyie wahabi
@@rajabujuma4976 Kataa ukubali Huo ndio Uislam Rasilimali Yetu ni Quraan Na Hadith(Sunna),Na mara Nying Wanaoharib Dini ni Mafundisho ama Vitabu Vilivyotungwa na watu na Sip vitokavyo kwa Allah
Hakuna Muislaam asokubali Qur aan au Sunnah lkn kuhusu vitabu vilivyo tungwa vingi sii vya uzushi bali hayo yaliyomo ndani, niuelewa tu walivyokua wakifafanuliwa kutoka kwa Mashaykhi zao waongofu sasa kuelezea uelewa kwa kuandika ktk vitabu kuna ubaya gani? kwasababu, hata hii Qur aan na Hadith zisingeandikwa huenda hadi sasa tusinge ambulia kitu
@@rajabujuma4976 وماذا جاء بعد الحق الا الضلا لة!؟
Sasa Kama Muongozo tumeachiwa Halafu Tunaenda Kuongozwa Na Akili zetu wenyew Wew Unafkir nani Ataongoka,Tena Mtume amejitahid Kufundisha Dini Kama Alivyofunzwa Na Allah,Na Uislam Umekamilika Kiibada Na Kimfumo wa Maisha Mwanadamu Hatuhitaji Muongozo Mwingine wowote Kuuuleta Ktk dini Hii.اليوم اكملت لكم دينكم واتممت عليكم نعمتي ورضيت لكم الإسلام دين
kwanza hiyo aya uloandika inayohusu ukamilifu wa dini, haiandikwi hivyo kwahiyo jaribu kuandika vizuri alafu ndo uendelee kuelewesha
MASHAH ALLAH...MASHAH ALLAH...MASHAH ALLAH...
Mashaaallah Allah Allah
Ni raha tupu.
Sana♥️
hivi hawa wahbi hawajui watu waliopotea mtume amewasifu watu wenye kumtaja allaahu HIV uyo anaelipoteza kuundi hili amesoma au muqallad wa wenzake
Bojo bojo taratibu
Mashallah
Mashaallah
Naupenda wislam mashaallah mashallah nitakufa nkiwa sfiii ndani ya 🕋
Mashaalah
Allah allah Allah
Allah allah allah