Usikubali shetani akupinge Kwa kutenda mema - Rev. Edward Mwai

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024
  • #security #sermon #blessings
    Catch inspiring sermons Mon -Thur at 5pm
    Follow us on
    ​INSTAGRAM @Mwangaza_tv
    / mwangazatvkenya
    FACEBOOK @Mwangazatv
    / ​​​
    TWITTER @Mwangaza_tv
    / mwangaza_tv

ความคิดเห็น • 22

  • @stephenmuthoga486
    @stephenmuthoga486 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hallelujah hallelujah hallelujah

  • @elizabethwangui8384
    @elizabethwangui8384 11 หลายเดือนก่อน +1

    Halleluya Halleluya Halleluya

  • @elizabethwangui8384
    @elizabethwangui8384 11 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Amen Amen

  • @Agnesndaguri
    @Agnesndaguri 4 หลายเดือนก่อน

    may GOD bless nabii mwai na amuinue zaidi 10:14 ❤❤

  • @r0semary441
    @r0semary441 11 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @Agnesndaguri
    @Agnesndaguri 4 หลายเดือนก่อน

    may GOD bless nabii mwai na amuinue zaidi 10:14

  • @Agnesndaguri
    @Agnesndaguri 4 หลายเดือนก่อน

    may GOD bless nabii mwai na amuinue zaidi

  • @ruthmakumbi
    @ruthmakumbi 6 หลายเดือนก่อน

    Thankyou God amen amen àmen

  • @elizabethwangui8384
    @elizabethwangui8384 11 หลายเดือนก่อน +1

    Halleluya

  • @jaywan_s
    @jaywan_s 10 หลายเดือนก่อน

    PRAISE GOD JESUS CHRIST

  • @sherrienduati7651
    @sherrienduati7651 11 หลายเดือนก่อน

    AMINA. Wakristo hata dhahabu hupitia kwa moto na inatoka kama "imeshine." Wacha kufa moyo, wacha kukubali shetani akuangushe. Shetani hapendi mtu mwombaji na mtakatifu. Ile level umeweka Mungu utakaa hiyo level. Ukiweka Mungu level ya juu Atakuweka juu. Ukiaibisha shetani Mungu Atakupeleka level ya juu zaidi. Wakati baraka yako iko karibu ndio mambo yanakuwa mazito/magumu. Watu wakifika kwa shida hawaonangi Mungu huona shetani na hapo ndio shetani hujiinua. Shetani anajuanga ile njia atakuangamizia na hukumaliza na kile unapenda. Ukiona haukanywi hupendwi. Ukiona mtu anafanya dhambi na hakanywi ni wa kupotea. Kama unatamani kutembea na Mungu ngojea kukanywa.

  • @PeterK591
    @PeterK591 11 หลายเดือนก่อน

    Pleasing God not people

  • @sherrienduati7651
    @sherrienduati7651 11 หลายเดือนก่อน

    AMINA. Wakristo tuache kupatiwa sheria ya uwongo. Hata shetani awake, tusimame na Mungu na utakatifu mpaka tushinde tupate baraka zetu. Hata kama hatutabarikiwa na hatutainuliwa tutatolea Mungu. Tusikubali shetani atuweke kwa majaribio ya ujinga. Tukisimama Upande Wa Jehovah, kama jana tulipigwa leo hatutapigwa tena, bali tutasimama na ushindi. Sheria ndiyo inafunganga mtu! Tuendelee kuomba hata ni kwa moto tutaingia na ni kwa majaribio tutapitia. Tuendelee kumtolea Mungu zaidi na kufunga.Tutawekwa kwa shimo lakini kuna Mungu Wetu. Leo Mungu Wetu Ajulikane na Aaabudiwe! Tuvunje hiyo barrier, tuweke bidii zaidi ili hata watu wetu wamwinamie Mungu Wetu.

    • @QUEENTAOCHARO
      @QUEENTAOCHARO 11 หลายเดือนก่อน +1

      😢 Amen

    • @QUEENTAOCHARO
      @QUEENTAOCHARO 11 หลายเดือนก่อน +1

      😢 Amen

  • @Agnesndaguri
    @Agnesndaguri 4 หลายเดือนก่อน

    may GOD bless nabii mwai na amuinue zaidi 10:14

  • @Agnesndaguri
    @Agnesndaguri 4 หลายเดือนก่อน

    may GOD bless nabii mwai na amuinue zaidi

  • @annevamaina5008
    @annevamaina5008 11 หลายเดือนก่อน +1

    Halleluyah

  • @annltendiritu8639
    @annltendiritu8639 8 หลายเดือนก่อน

    Amen and Amen

  • @jennifermuli9148
    @jennifermuli9148 11 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @josephkimondo1315
    @josephkimondo1315 29 วันที่ผ่านมา

    Amen