Nyie watu wawili nyie ni shida, watanzania siku wakiwaelewa vizuri cjui itakuweje, nyie so wasaani pekee bali mna kitu cha ziada, Nyie ni vipaji kweli!!! I like you talented musicians
Nitasikitika sana kuona hawa jamaaa mnawalipa milion mbili each , not fair kabisa hawa jamaaa inatakiwa wawe wanalipwa si chini ya milioni kumi (10, 000, 000) per show maana wanaliamsha si kitoto
#clouds_na_tigo__naomba_hawa🌿🌿__jamaa__wakija__fiesta_👊🎤Musoma_🎤🎤_niwafadhili__mimi__maana_dah_syo_kwa_Vibe_hili💉💉🌴👣👏🌿🐾🐾 kma upo Musoma like back💋💋💋💋💋💞"ROSTAM"🔥🔥🔥🔥
Nyie watu wawili nyie ni shida, watanzania siku wakiwaelewa vizuri cjui itakuweje, nyie so wasaani pekee bali mna kitu cha ziada,
Nyie ni vipaji kweli!!!
I like you talented musicians
Alexius Nyankiye kweli aseeeee
Namba one fan Wa ROSTAM from +254. I love this guys
Kujeni show moja KENYA ROSTAM 4 EVER......
Nakubli kinyam roxtam mko juu kma unawakubali awa jamaa achia like yako apa🙌
hongera kwa kazi nzuri
Nitasikitika sana kuona hawa jamaaa mnawalipa milion mbili each , not fair kabisa hawa jamaaa inatakiwa wawe wanalipwa si chini ya milioni kumi (10, 000, 000) per show maana wanaliamsha si kitoto
Bonge LaBwana umenena sana
Muko juu sana Brothers Endelea hivyo hivyo👍👍🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
big up rostam kubali sanaaaaa hatareeeeee
Yan Rostam Ni 🔥🔥 Hawa jama Wanawez kuku chamb Uko nao Life bila we mwenyew kujuw Maneno yaw ni 🔥🔥🔥
big up xn roxtam kazi nzur
Napenda ma jama hao wana style yao tofauti
Good sana
Dah Big up Viva Roma unatisha brother
These guys made a best chemistry ever.
Rostam + Fid Q my favorite African rappers
Nawaelewaaa sana rostam .....hawa ndo fiesta.......
long live rostam your the best artist ever seen in Tanzania
Nice vibe kama loteeee
Nakubar Rostam chama lawana
nice rostam
Napenda hawa jamaa wawili they sing facts
Waxhjaj wanawez by mr h
Rostam ndo kila kitu kwenye mambo ya music
rostam mambo ni motoo penda kund yenuu kinyama ...tunachowaombaa muiendeleze hii group mill msj tyu gomban ..tim rostam gonga like hap
dah salu zenu muko vema kbc roma ft stamin salut kwenu
Kulike ngoma za #rostam ni ubaba #kudislike ni umama ,,,kamA tupo pamoja like tuende sawa
Mmetisha kinoma mazee gwaraaa sanaaa
Ukiachana na Rostam Hata
#DJ nae ametisha
Kama umeelewa gonga #like
mzee baba uposa mwna
Dah! Datz rostam "vibe kama loteeeeee"
Bwanaweeeee ndoa bana Unaminyaminya Nyanya then unanunua Bilinganya,,,,,,,,manina
Huyo guy kwenye kupeperusha bendera daah alinchekesha mizuka imepanda akanga'oa shati 😀😁😀😀😁😀😁😀😁😀😁😀
Rostam ni Fireeeeeeee hauzimwi mpak milele
Oooooyoooooooooooooooo p1 rostamina bwana bwana ndoa bwana una minya minya nyanya una nunua bilinganya mamaee
Mpaji Ramadhan nimeelewa hiii kituuu
OK mzazi
Vivaroka serikali ijayo
naomba ujue umhim WA Roma Wapili kimusc itapendeza sana
Rostam ni sheedah .... Lkn so rostam tyuuu na alikiba nae ni fireeeeeee
rostam ikija kuvunjika nitaumia sana hili kundi nalipenda kinoma
Mambo yalikuwa fire
Kuangalia, kusikiliza na kuimba nyimbo za @rostam.......uwo ni ubaba....ku unlike nyimbo za rostam uwo ni umama........
Hilo ndio vibe kweli ktk fiesta hii
Nawakubali sana, Hakuna tena......!
Bila udikiteta wa walio juu yetu naamini tanzania ingekuwa mbaliiiii rostam vibe kama loooooteeeee!!!!!!
Hii combination siyo ya kubahatisha walahi
Ooooh rostam kutekana ni mambo ya kishaaaamba
nawasoma sana
Qariiiiiiiiiiiiiiii sana
BAdest Rostam forever more
finex ntimi nice
Kizazi sana,nakubali rostam .
Na ninapo lala ndo inawatoka wazungu😀😀😀😀😀
U kill it for sure
Miaka mia kwenu maana kwa MTU muelewa anajua mnafanya kitu cha pekee Tz hakuna ,I DO LOVE UR
kzaz xanaaaa Kama ww team rostam gonga like Kama zoteee
pamoko sanaaaaaaaaa rostam
Rostam 🔥🔥🔥
fiestar bila hawa wa2 sio fiestar😂😂😂
Muunganiko wenu haujawahi kutokea Africa
Respect to you.......noma sana
Gwara sana
Mmejua kunikosha 🔥
Hakuna cha king music wala wcb mie ni rostam vibe kma loooooootttttttteeeeee
wanajuaaa
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Rostam nakuelwa ...
Kazi nzuli aise mnatufulahisha sana. kitaa ,
this people are super hero indeep respect
Rostam good performance aisee
Propably they my best rappers in tz
Tunasubir haya makamzi chugaaa!!
uyu DJ nae juko juu
Nawakubali Sana mstengane jamani
from 254 rostam n maboss
good in brain
Rostam 🔥
rostam noumaaaaa sanaaaa
nakubali rostam nyie nomaaaaaaa
Kama looooooooooteee!!!
#clouds_na_tigo__naomba_hawa🌿🌿__jamaa__wakija__fiesta_👊🎤Musoma_🎤🎤_niwafadhili__mimi__maana_dah_syo_kwa_Vibe_hili💉💉🌴👣👏🌿🐾🐾
kma upo Musoma like back💋💋💋💋💋💞"ROSTAM"🔥🔥🔥🔥
Hatar sana mkuu mmetisha kinona sana.
Nomaaa
Wakali wa hizi show
NAWAKUBALI SANA HAWA WQJUKUU WA NYERERE
DJ KATISHAAA SANA
nawakubar mabrow kazi yenu ni imara
dj nae katisha sana hapna chezea dj zero
kabisa
siwapingi wazee baba
Mlitisha sana yani kinyama
Aseee roooostaam ni hatareee
Nyie watu mnajua mpaka nakera
kaz kaz..
aseee vaibu kama loteeeee yani ✔✔✔🤔🤔🤔🔥🔥🔥
Big up brothers
Nice
Vichwa vitupu hapo safiiii
Rostam fire
hatali sana
Ninawapenda hawa jamaa kinyama
rostam atariiiiiiiiiiiiiii nice
ROSTAM FOREVER #+254
hatari yani motooooooo dah
Hawa jamaa wanajua snaa
Hili kundi lisivunjike,,coz linafanya vyema,,, mmenifurahisa sana,,,lisivunjike kama psquare
Imanuel Mahenge hiyo ninoma na nimekupenda san
sana kaka