Polisi wakabiliana na waandamanaji eneo la Kibra

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024
  • Maafisa wa usalama wameshika doria sehemu mbalimbali nchini ambako maandamano ya upinzani dhidi ya serikali yameendelea kwa siku ya pili. ni siku ambayo shughuli zimetatizika sehemu nyingi, huku wakaazi wa baadhi ya maeneo kama nairobi, kisumu, migori, homabay, mombasa wakifunga biashara na hata shule kuhofia athari za maandamano haya. makabiliano kati ya maafisa wa usalama na waandamanaji yakishuhudiwa sehemu kadhaa. wanahabari wetu wamepiga kambi sehemu mbalimbali wakifuatilia matukio haya kiboro primary school sends pupils who reported to school back home over fears of their security

ความคิดเห็น • 251

  • @davidmanyasa5848
    @davidmanyasa5848 ปีที่แล้ว +32

    He himself is fleeing while at the same time telling his coward juniors not to run away. People power 😂

  • @beautifullyMade2024
    @beautifullyMade2024 ปีที่แล้ว +4

    "Imagine fighting your enemy and the rule is make sure you don't hurt them but they have the freedom to hurt you"...I totally understand men in uniform....we all have one life.

  • @carolinejohn1252
    @carolinejohn1252 ปีที่แล้ว +9

    Na mwenye anasema wacha kutoroka ndie muonga no 1 anarudi nyuma😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @gracekimathi9481
    @gracekimathi9481 ปีที่แล้ว +16

    Being a police in kenya is a calling 😢

  • @timothyrotich2388
    @timothyrotich2388 ปีที่แล้ว +18

    imagine a country without police, even those talking ill of them wouldn't sleep in their own house,those youths will turn to you

    • @andrewkimani5311
      @andrewkimani5311 ปีที่แล้ว +2

      They don't know

    • @beatriceonyango9825
      @beatriceonyango9825 ปีที่แล้ว +1

      Mungu ndo anatulinda sio polisi

    • @Ann-Strong
      @Ann-Strong ปีที่แล้ว

      @timothy police are worst thungs hakuna kitu wanatulinda

    • @billyongus344
      @billyongus344 ปีที่แล้ว

      Tell that to the 13 year old boy who was shot at point blank range by police yesterday

  • @lucywanjala8085
    @lucywanjala8085 ปีที่แล้ว +17

    I always pity the police ,they are also human ,may the Lord protect us all ,we need each other

  • @muinjosh
    @muinjosh ปีที่แล้ว +17

    good job to the demonstrators God is with you. Your actions are justified

    • @gatbossfantasa3928
      @gatbossfantasa3928 ปีที่แล้ว +2

      Sema nimekua ground na kesho ni fainali

    • @shabbirmalik8123
      @shabbirmalik8123 ปีที่แล้ว

      Good job and we can see them crying and yelling with pain in hospital beds and their seniors are watching them in big screens. Oooh I better sleep hungry than being a fool

    • @muinjosh
      @muinjosh ปีที่แล้ว

      @@shabbirmalik8123 reberation is not for cowards.

    • @NellyThuku
      @NellyThuku ปีที่แล้ว

      ​@@gatbossfantasa3928Roho ya kifo inakuandama.. unaonekana huna wazazi wakukushauri...

  • @runydababy1715
    @runydababy1715 ปีที่แล้ว +5

    waja kuthoroka another policeman says thiagas imeisa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @alicenalulwe84
    @alicenalulwe84 ปีที่แล้ว +4

    God protect police,they are suffering and they cant say no😢

  • @stoner21
    @stoner21 ปีที่แล้ว +8

    "When tear gas is finished Askari's are diminished"😂😂-

  • @kingnelson7389
    @kingnelson7389 ปีที่แล้ว +1

    Brother fighting brother that’s why they are running

  • @bernardbege2479
    @bernardbege2479 ปีที่แล้ว +2

    w e risk their lives too, ruto said they are doing good job okkk

  • @mohamedadan5929
    @mohamedadan5929 ปีที่แล้ว +4

    "Mnatoroka nini,nyinyi ni wajinga ama namba gani"😅😅

  • @judymoraamachongo99
    @judymoraamachongo99 ปีที่แล้ว +12

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Sitaki kucheka but imebidi, wacha kutoroka, hatuna teargas mlipeleka wapi😂😂😂

  • @pp8100
    @pp8100 ปีที่แล้ว +2

    The commander is running himself yet he's telling his troops not to run....😅😅

  • @felister2457
    @felister2457 ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂😂😂😂😂😂uuuuuuuuuuwi ati nyinyi ni wajinga 😂😂😂😂😂😂😂

  • @jacklineapongo2769
    @jacklineapongo2769 ปีที่แล้ว +12

    Good job demonstrators.

  • @lilianowino3681
    @lilianowino3681 ปีที่แล้ว +5

    Mungu saidia Kenya,,,Wacha kutoraka ,,tangu lini mtu kangojea kifo

  • @EnglishPremierleague-25Epl
    @EnglishPremierleague-25Epl ปีที่แล้ว +14

    ,,😂😂😂😂Afande acha kutoroka😂

    • @abuuaminah5655
      @abuuaminah5655 ปีที่แล้ว

      Ako na bunduki na anatorika!!!
      Shoot the fools.

    • @sarahakinyi724
      @sarahakinyi724 ปีที่แล้ว

      Wanatoroka why😅😅😅😅

  • @matundatv4013
    @matundatv4013 ปีที่แล้ว +1

    Thankless job indeed raia is not your enemy and police too police should lead this pple to statehouse they cry outside like USA

  • @ReubenMachora
    @ReubenMachora ปีที่แล้ว

    Wananchi power askari ni kimbikimbi leta nys 😂😂😂😂

  • @suleimanmohammed4350
    @suleimanmohammed4350 ปีที่แล้ว

    Doh nawaonea huruma askari wetu basi tuoneei huruma hata sisi raia mukiwa kaxini kwenu sisi wote ni wa kenya moja

  • @user-bc9kb6ep6n
    @user-bc9kb6ep6n ปีที่แล้ว

    Yaani tumekuwa kama wakimbizi kwa nji tetu,tangu mungu aumbe dunia kenya haijawai fika hapa,bona mungu usimchukue ruto wakenya tupate amani

  • @SetricKhamasi
    @SetricKhamasi ปีที่แล้ว +4

    Police pia ni binadamu hawa watu wanajita wakubwa si watu wazuri

  • @jjclara668
    @jjclara668 ปีที่แล้ว +1

    I feel bad for kibra one mama told me she didnt open bz for 3dayzand she depends on it...surely kibra pipo remember ur raira is safe in his mansion

  • @aishasaidi1784
    @aishasaidi1784 ปีที่แล้ว

    💙💙💙💙💪 bei yaunga

  • @fotycows3830
    @fotycows3830 ปีที่แล้ว +4

    Baba ya mtu alienda job kuitwa mjinga waaah okay

  • @kelvinotieno2438
    @kelvinotieno2438 ปีที่แล้ว +2

    Waache kutoroka wakule degree Yao😂😂

  • @shopkins4790
    @shopkins4790 ปีที่แล้ว

    If kindiki is depending on this guys then Kenya tuko na shida😂😂😂😂

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 ปีที่แล้ว +2

    kimbikimbi ndio hii sasa polisi mguu niponye😂😂

  • @margaretnjoki1349
    @margaretnjoki1349 ปีที่แล้ว +1

    kumbe Askari anaeza piga duru namna hiyo 😂😂😂

  • @celestinerehema5292
    @celestinerehema5292 ปีที่แล้ว +1

    Hii ya kutoroka ndo ina bamba sasa😂😂

  • @user-es3yz8uc1m
    @user-es3yz8uc1m ปีที่แล้ว

    Kibra ni moto

  • @abdulrazaqfils4234
    @abdulrazaqfils4234 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂😂😂😂 Kenya police bwana 😂😂 team odinga

  • @abuuaminah5655
    @abuuaminah5655 ปีที่แล้ว +2

    Maandamano ya AMANI.
    Maamdamano ni kipimo cha sehemu zenye watu wa akili finyu

  • @mwanaishadhuluma6053
    @mwanaishadhuluma6053 ปีที่แล้ว

    Kumbe police ni waoga hivyo bila teargas ,wacha kutiroka na yeye pia anatoroka😂😂😂😂🙄

  • @frajamtv9909
    @frajamtv9909 ปีที่แล้ว +1

    Uyo police anafanya vibaya ajui watoto wako uko ndani

  • @carolinealubiri6246
    @carolinealubiri6246 ปีที่แล้ว +1

    Bedroom ya Baba 😂😂😂

  • @bsmartson2422
    @bsmartson2422 ปีที่แล้ว

    Nimesikia polisi akisema hakuna tear gas ama niko jaba😂😂😂😂😂😂😂serikali surely???

  • @madeyissa7760
    @madeyissa7760 ปีที่แล้ว +7

    Congratulations wavijana wetu

  • @stellanchagwa5297
    @stellanchagwa5297 ปีที่แล้ว +1

    Shikamoo kenya 😂😂😂

  • @pistonkipirich1391
    @pistonkipirich1391 ปีที่แล้ว

    Amazing

  • @2ndlast539
    @2ndlast539 ปีที่แล้ว

    Nice one congrats 👏

  • @mfinangaexaud3492
    @mfinangaexaud3492 ปีที่แล้ว +1

    Polis watachoka ..natabiri hivyo kutoka Tanzania..ruto angalia namna kwa kweli..sauti ya watu ni sauti ya...

  • @jannymwash5731
    @jannymwash5731 ปีที่แล้ว +5

    Acha kutoroka Kwan si watu,,

  • @Wekeaudi-hc3cp
    @Wekeaudi-hc3cp ปีที่แล้ว

    Wanasema watoto warudi shule na wanatuma polisi watupe tiagas sasa ona

  • @victorymedia-cw8tz
    @victorymedia-cw8tz ปีที่แล้ว +1

    Wame maliza teargas na bado kuna kesho day three!!!!

  • @bornlychula7043
    @bornlychula7043 ปีที่แล้ว +2

    Eti afande acha kutoroka na yeye pia ywatoroka😂😂

  • @susanlijera.
    @susanlijera. ปีที่แล้ว +1

    😅😅😅😅😅Sina maoni

  • @MercyIndasi
    @MercyIndasi ปีที่แล้ว +1

    😅😅😅😅 na bdo kesho same palaces same time

  • @Idah-uk8ps
    @Idah-uk8ps ปีที่แล้ว +1

    Waah adi maafisa wanakimbia

  • @faithmeme3906
    @faithmeme3906 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo ni gari ya mtu imepatikana😢😢😢

  • @thingangombo8051
    @thingangombo8051 ปีที่แล้ว

    Police anatoroka lkn anasema watu wasitoroke

  • @jacoboloo9840
    @jacoboloo9840 ปีที่แล้ว

    When we lose our fear they lose thier power viva

  • @ogdemashmashow6270
    @ogdemashmashow6270 ปีที่แล้ว +1

    murife dont run,

  • @johnkhonde8907
    @johnkhonde8907 ปีที่แล้ว +1

    Mambo😂 nikama hiii😂😂😂😂

  • @mtukutu9141
    @mtukutu9141 ปีที่แล้ว

    Nyinyi niwajinga namna gani😂😂😂😂😂

  • @lucasoduor7025
    @lucasoduor7025 ปีที่แล้ว +1

    Ati baadhi ya kikundi kidogo😂😂 to justify "afuade wacha kutoroka...." we shall review this

  • @nancyakoth9123
    @nancyakoth9123 ปีที่แล้ว +1

    Good job demostartors 😅😅😅

  • @Maria-ju9by
    @Maria-ju9by ปีที่แล้ว

    Police without teargas watakoma😂😂😂😂😂

  • @euniceopul6504
    @euniceopul6504 ปีที่แล้ว +1

    Sasa mlitaka watoto waende shule muwamalize na teargas na live bullets?

  • @petermweri1100
    @petermweri1100 ปีที่แล้ว

    "Hakuna kutoroka" na wewe ndo wakwanza ukitoroka.

  • @billymuluhya608
    @billymuluhya608 ปีที่แล้ว

    Inaitwa kimbikimbi.
    And let it be known that it's not 'kutoroka' as such!!
    It's regrouping to reorganize on the next strategy. Kindly.
    Just one concern.... to whomever the owner of that voice is, (which am sure it's not an officer) those are not the kinds of words to be used in the field.
    PEACEFUL KENYA.
    GOD BLESS OUR LAND.

  • @MuniraShughuli-kc7vj
    @MuniraShughuli-kc7vj ปีที่แล้ว

    Nimeona police mmoja anathema juu juu🤣🤣

  • @saidmohamed7178
    @saidmohamed7178 ปีที่แล้ว +3

    Sasa watu wa kibra mutakula wapi na vibanda na duka zimefungwa

    • @alicenalulwe84
      @alicenalulwe84 ปีที่แล้ว

      Imagine while the mighty are well😢

    • @starlife3550
      @starlife3550 ปีที่แล้ว

      Usikonde sisi tuko sawa

    • @stoner21
      @stoner21 ปีที่แล้ว

      Watachemsha tear gas canister 😂

  • @aphricanboy
    @aphricanboy ปีที่แล้ว

    Mnatoroka namna gani😂😂😅

  • @greysneemaofficial
    @greysneemaofficial ปีที่แล้ว +2

    Afande acha kutoroka😂😂😂

  • @abijahhamisi1474
    @abijahhamisi1474 ปีที่แล้ว

    Huu mtaa hakuna siku itaendelea nyumba zenyewe ni za matope, simukuje mukuru kaiyaba mukuru Kwa Ruben, mjionee vile kume endelea,

  • @ayzzohisaacs1796
    @ayzzohisaacs1796 ปีที่แล้ว

    Tushaskia citizen tv wamesema hakuna tear Gass😂😂😂

  • @Enkutukemaa1717
    @Enkutukemaa1717 ปีที่แล้ว

    Hahahaha asikari wanaogopa rais😂😂😂

  • @n-b-icomedy
    @n-b-icomedy ปีที่แล้ว

    The police are very much okay

  • @elizabethnanjalakuloba
    @elizabethnanjalakuloba ปีที่แล้ว

    Hii nikifi mnawapingesa juu sio watoto wenu.

  • @mose_chelsea
    @mose_chelsea ปีที่แล้ว

    Teargas ni dawa ya homa

  • @AtenyaFridah-vm4pj
    @AtenyaFridah-vm4pj ปีที่แล้ว

    God intervene

  • @mablenanzala254
    @mablenanzala254 ปีที่แล้ว

    Aki police are the one suffering aki,,,,Dear lord bring peace in our country

  • @michaelnganga8830
    @michaelnganga8830 ปีที่แล้ว

    Kibra ndio kuko na watu hawana kazi ndio wanatumiwa vibaya na watu waliharibu uchumi wakati wa handshake lazima mherevuke

  • @antonyokumu5806
    @antonyokumu5806 ปีที่แล้ว

    Ati mnatoroka nini?na yeye ndo wakwanza kwa kaende kaende

  • @wizzy2411
    @wizzy2411 ปีที่แล้ว +1

    UkO nA TyAgAaS

  • @eunicemunywoki2165
    @eunicemunywoki2165 ปีที่แล้ว

    Wah,hatari kweli kweli

  • @LawrenceKathurima-np8uw
    @LawrenceKathurima-np8uw ปีที่แล้ว

    Hamani kenya

  • @ibrahimbaldwins1487
    @ibrahimbaldwins1487 ปีที่แล้ว

    Why do u mute,we need yo hear everything

  • @peteromwansa681
    @peteromwansa681 ปีที่แล้ว

    Ruto anajesha na wanaichi

  • @bentaaumrau8532
    @bentaaumrau8532 ปีที่แล้ว

    Kimeumana

  • @user-ob2un3zy1y
    @user-ob2un3zy1y ปีที่แล้ว

    Aya maandamAno yamefanya tuijue twasira halis yamitaa yanairob bure kabisa mabanda kilapahali

  • @brandcora2022
    @brandcora2022 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂Afande acha kutorokaaaa

  • @msa3957
    @msa3957 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣wacha kutoroka wauliwe? Wewe enda

  • @stellamarisokoko1073
    @stellamarisokoko1073 ปีที่แล้ว +1

    Hii kazi ya police ni ngumu sana waaaaaah 😂😂😂

  • @abdiwahabibrahim1561
    @abdiwahabibrahim1561 ปีที่แล้ว

    Watu wa kibra ni kama Manchester city 🤣🤣🤣

  • @sunwasonga8714
    @sunwasonga8714 ปีที่แล้ว

    Wacha ku toroka na yeye anatoroka mbio😄😄😄😄

  • @hesbornnyamweya9683
    @hesbornnyamweya9683 ปีที่แล้ว +1

    Eti wao ni wajinga namna gani na yy mwenyewe amekunja mkia ameweka katikati ya makende.kama ni mwanaume mpona asiende ndani

  • @magicalvillagez
    @magicalvillagez ปีที่แล้ว

    Kutoroka ni ujinga ama uoga

  • @c.m4085
    @c.m4085 ปีที่แล้ว

    TEARGAS HAKUNA😂😂😂

  • @bramwelwasilwa
    @bramwelwasilwa ปีที่แล้ว +1

    Hao ni polisi wanapiga nduru?!!!.

  • @elinahmuyuka3735
    @elinahmuyuka3735 ปีที่แล้ว

    We need peace in our Kenya 😢😢we shall not eat mandamano let work hard and pray God

    • @billyongus344
      @billyongus344 ปีที่แล้ว

      The cost of living and high taxes is forcing Kenyans to the street...if you are okay with your life you can go on with your work otherwise let the rest of us demonstrate as enshrined in the constitution

  • @reomanawasted4939
    @reomanawasted4939 ปีที่แล้ว

    polisi waoga😂😂😂wakuje na mawe tuwaoneshe

  • @IsaacKayira-tc9el
    @IsaacKayira-tc9el ปีที่แล้ว

    This ODM SYCOPHANTS the only language they understand is not teargas.
    I hope tumeeleewana.

  • @najmahamso8364
    @najmahamso8364 ปีที่แล้ว

    Leo kume changamka tafadhali 😂😂😂😂😂😂

  • @ngetaleonard9664
    @ngetaleonard9664 ปีที่แล้ว

    I was here mbona walitukimbia

  • @janetakoth7704
    @janetakoth7704 ปีที่แล้ว

    Eti ukona nini? Sijaskia poa😂

  • @shabbirmalik8123
    @shabbirmalik8123 ปีที่แล้ว

    Police is armed but weakened by law juu cant shoot so ave to evade being hurt