IEBC kuchunguza matamshi ya Ruto ya njama ya kuiba kura

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 122

  • @dhakomodherooherokoko6037
    @dhakomodherooherokoko6037 2 ปีที่แล้ว +19

    Ruto anasahau alivyosema hapo nyuma kuwa Kenya haiingiliwi na wazungu?..sasa anataka wazungu waingilie tena? 😂😂😂..this guy is confused

  • @maliamary2398
    @maliamary2398 2 ปีที่แล้ว +20

    You need to call ruto to explain the way you did to sabina chege...

  • @brendakathure3427
    @brendakathure3427 2 ปีที่แล้ว +5

    Ruto haibe kura kwani yeye Ni mwanamke 🤔alah🤣🤣🤣

  • @nicolomakavelli7506
    @nicolomakavelli7506 2 ปีที่แล้ว +11

    wat goes around cames around 2017 ilikuwa zamu ya ruto kujipiga kifua bt know???...ati wazungu hawapigi kura hapa kenya

  • @rosekadzokadzo1401
    @rosekadzokadzo1401 2 ปีที่แล้ว +3

    Mmmh jamani kura ziwe za amani Kenya

  • @khaminwasamwellichina2686
    @khaminwasamwellichina2686 2 ปีที่แล้ว +6

    Never bring jokes to the incoming president of Kenya Dr RUTO

  • @victoresonga7500
    @victoresonga7500 2 ปีที่แล้ว +6

    Huyu anamchezo walifanyia chege uchunguzi..huyu chebukati anaogopa ruto Nani hajui😄😄atakufinya

    • @kamandaomosa4702
      @kamandaomosa4702 2 ปีที่แล้ว

      Awapi mungu tu ndie yuwaogopwa usijidanganye pia yy afunguliwe mashitaka pia yy

    • @victoresonga7500
      @victoresonga7500 2 ปีที่แล้ว

      @@kamandaomosa4702 how long does it take?

  • @alphoncekazungu3940
    @alphoncekazungu3940 2 ปีที่แล้ว +6

    No one will still votes but you will see the outcome

  • @khaminwasamwellichina2686
    @khaminwasamwellichina2686 2 ปีที่แล้ว +6

    We are fully behind Mudavadi and Wetangula and Ruto kikamilifu in the coming general election in Kenya

    • @NursingMath
      @NursingMath 2 ปีที่แล้ว

      And and.....

    • @qatr3475
      @qatr3475 2 ปีที่แล้ว

      Miaka 4 kampeni c angekua rais kitambo

  • @haronkarokiofficial9891
    @haronkarokiofficial9891 2 ปีที่แล้ว +1

    It is evident from hon Sabina's words just the other day....don't fool us

  • @josephmaingi1904
    @josephmaingi1904 2 ปีที่แล้ว +3

    Sabina alisema wamezoa kuiba kura.

  • @alphoncekazungu3940
    @alphoncekazungu3940 2 ปีที่แล้ว +8

    Let ruto face the music

    • @thoyamugaka2570
      @thoyamugaka2570 2 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa.

    • @irinenafula3996
      @irinenafula3996 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣 staki kucheka mbavu zangu jameni na a dance

  • @karisakarege8010
    @karisakarege8010 2 ปีที่แล้ว

    Kweli wanataka kuiba Kura lkn hawataweza kabisa

  • @rodgersmuyechi5102
    @rodgersmuyechi5102 2 ปีที่แล้ว +3

    What ruto is doing now matiba,kibaki,raila did long ago infact walikua na usemi mkubwa kushinda ruto but wazungu never helped them

  • @adhiambonyasuna4043
    @adhiambonyasuna4043 2 ปีที่แล้ว +2

    Call him tuone.

  • @wlkmwlkm3381
    @wlkmwlkm3381 2 ปีที่แล้ว +1

    Yeye akae tu angojee matokeo very early in the morning na kamba Kwa mkono

  • @Prophetess_JB
    @Prophetess_JB 2 ปีที่แล้ว +10

    Wachunguze Sana But wawachane na DP Ruto ako na haki ya kuongoa.

    • @ramadhankijana9442
      @ramadhankijana9442 2 ปีที่แล้ว +2

      Je sabina ahana haki ya kuongea..?

    • @fectoryab1833
      @fectoryab1833 2 ปีที่แล้ว +2

      Kwani SABINA hana uhuru wa kuongea look at this ine

    • @sabinawekunda8807
      @sabinawekunda8807 2 ปีที่แล้ว

      What about sabina chege

    • @solomonweru8874
      @solomonweru8874 2 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa, sabina ashaa tuambia vile wame pangia DP.RUTO.qwani iko nini

    • @okwanybenard2752
      @okwanybenard2752 2 ปีที่แล้ว

      Pia Sabina Chege akona haki ya kuongea

  • @alextercisio
    @alextercisio 2 ปีที่แล้ว +4

    Kwedeni uko he said the truth ...kweli azimio la mavi wanasema Nini Sabina chege???

  • @wabannah9009
    @wabannah9009 2 ปีที่แล้ว +3

    Wazalendo:"Raila the 5th(No to Ruto Presidency Liwe Liwalo)"!!.

  • @kiplangatkones8497
    @kiplangatkones8497 2 ปีที่แล้ว +1

    They started that wataiba# Sabina... It's now our complain...

  • @congofirstagainstimperiali6337
    @congofirstagainstimperiali6337 2 ปีที่แล้ว +4

    Cousin ya Uhuru, ule Sabina Chege hata yeye ame hakikisha kama ODM and Jubilee wataiba kura!

    • @mathewarum6986
      @mathewarum6986 2 ปีที่แล้ว

      Na hyo ndo trend walitumia kuibia Amolo what goes around comes around

  • @jojofresh1019
    @jojofresh1019 2 ปีที่แล้ว +9

    Ruto stole raila votes now he thinks his votes will be stolen..Let him go to Supreme Court too . Mwizi always thinks kila mtu ni mwizi

  • @georgepeters2180
    @georgepeters2180 2 ปีที่แล้ว +8

    Nothing will happen to the DP. You must understand that we have two sets of laws in Kenya. The position Ruto in the Kenyan society means that he will go scot free.

    • @dhakomodherooherokoko6037
      @dhakomodherooherokoko6037 2 ปีที่แล้ว +2

      Yes he will go to sugoi Scot free

    • @geogeatela1376
      @geogeatela1376 2 ปีที่แล้ว +1

      This time no.

    • @somalebochannel2883
      @somalebochannel2883 2 ปีที่แล้ว +1

      Muanzee kukata miti😆

    • @jerrymcbride2230
      @jerrymcbride2230 2 ปีที่แล้ว

      Sabina chege alipotamka tu..alipelekwa kotini.. huyu naye he needs to answer ashtakiwe pap..mkora huyo!

    • @zenaali6537
      @zenaali6537 2 ปีที่แล้ว

      No one is above the law lazima achunguzwe

  • @douglasoranga5572
    @douglasoranga5572 2 ปีที่แล้ว +2

    Ruto is only having R.vally as strong hold with 60% while raila 40%.The remaining is Azimio.

  • @francisnjuguna7488
    @francisnjuguna7488 2 ปีที่แล้ว

    Acha kulialia ety utaibiwa Kura,,,
    Ruuto hutoboi,,,,,,. Kenyan's are not fools,

  • @philipmungai8631
    @philipmungai8631 2 ปีที่แล้ว

    Chebukati should go

  • @gusiination
    @gusiination 2 ปีที่แล้ว

    Unajichunguza?🤣🤣🤣

  • @فيصلالحربي-ب7ف6ج
    @فيصلالحربي-ب7ف6ج ปีที่แล้ว

    Ruto na wenzako mlaaniwe kuwatesa wakenya haswa Ireen anatesekea America ni kwa ajili ya ujangili wa Ruto.

  • @MCbwel
    @MCbwel 2 ปีที่แล้ว +1

    Watafanya uchunguzi ? ,🤣🤣🤣🤣 I love how chebukati believes they are on top of things .....

  • @billm6829
    @billm6829 2 ปีที่แล้ว +1

    That is true, only in kenya that saying the truth is a crime,

  • @beirut6222
    @beirut6222 2 ปีที่แล้ว

    The fruits of Sabrina chege

  • @Kalenjinlady
    @Kalenjinlady 2 ปีที่แล้ว +4

    Hata mjaribu juu chini muangushe rutto you will never success rutto all the way

    • @wlkmwlkm3381
      @wlkmwlkm3381 2 ปีที่แล้ว

      Kaa ukisubiri matokeo na usiche ukasema

    • @jojofresh1019
      @jojofresh1019 2 ปีที่แล้ว

      Hawajui Ruto ndio mwizi sugu. But karma hitting back he stole raila votes was hata yeye aende Supreme Court

    • @irinenafula3996
      @irinenafula3996 2 ปีที่แล้ว

      Junga kukojoa kwa kitanda saa bado

  • @henlay8240
    @henlay8240 2 ปีที่แล้ว

    We need iebc to call ruto to shed light they way they to sabina

  • @abdiabdi7915
    @abdiabdi7915 11 หลายเดือนก่อน

    Miraa Kenya Ethiopia Wana bata kila siku somaalia 1 50 billion us dollars close only

  • @chandalia1266
    @chandalia1266 2 ปีที่แล้ว +1

    Sabina chege alitumwa na wakuu wa azimio

  • @ramadhankijana9442
    @ramadhankijana9442 2 ปีที่แล้ว +4

    Tunaitaji akija aojiwe naye...
    Sisi wote ni wakenya

  • @geogeatela1376
    @geogeatela1376 2 ปีที่แล้ว

    Huyu mtu ni mjinga sana.

  • @thesphinahgraf235
    @thesphinahgraf235 2 ปีที่แล้ว

    You should call him just as you called Sabina chenge

  • @theheraldbroadcastingnetwo4836
    @theheraldbroadcastingnetwo4836 2 ปีที่แล้ว

    Sabina chege ameonewa

  • @ekaalemathew8340
    @ekaalemathew8340 2 ปีที่แล้ว

    Malizeni kwanza na Sabina chege.

  • @siddoha1347
    @siddoha1347 2 ปีที่แล้ว

    Na si umeanza kulia mapema mno naniiiii.......

  • @kingwakenya
    @kingwakenya 2 ปีที่แล้ว

    Ruto ako na kesi ya kujibu mbele ya iebc kuzema kura itaibiwa

  • @maryonyango7360
    @maryonyango7360 ปีที่แล้ว

    Shetani anaongea wolololololoooo!

  • @theheraldbroadcastingnetwo4836
    @theheraldbroadcastingnetwo4836 2 ปีที่แล้ว

    Iebc chair is rutos man

  • @mkaqyar8868
    @mkaqyar8868 2 ปีที่แล้ว +2

    Raila has been crying every time he is defeated and now he is so confident that Uhuru will steal for him. Chebukati kakule mkate ulale

    • @joyceodima1078
      @joyceodima1078 2 ปีที่แล้ว

      Cry hard and loud like a toddler 😢 😭 😪

    • @mkaqyar8868
      @mkaqyar8868 2 ปีที่แล้ว +1

      @@joyceodima1078 "O" fact you will never be president no matter what

    • @barbariansoviet
      @barbariansoviet 2 ปีที่แล้ว

      @@mkaqyar8868 Utapayuka the same till the world ends in 2 billion years

  • @mwangangingui1221
    @mwangangingui1221 2 ปีที่แล้ว +1

    Ruto anacheza na serikali na bado anaendelea kujimaliza kisiasa

    • @careful4847
      @careful4847 2 ปีที่แล้ว

      Wewe kweli ni ngui

    • @irinenafula3996
      @irinenafula3996 2 ปีที่แล้ว

      alitamani kuwa opposition ataona moto na bado

  • @tonnitoedwards
    @tonnitoedwards 2 ปีที่แล้ว +5

    Ruto aache mchezo...mbona hakusema bottom up akiwa marekani.. because he knows that's impossible to achieve

  • @welculture1854
    @welculture1854 2 ปีที่แล้ว

    Anapwlekea mzungu malilio,

  • @lucymwai7645
    @lucymwai7645 2 ปีที่แล้ว

    Mbona our Dp anaogopa? Hatuja piga Kura ndie aseme simeimbiwa.wacha tupige Kura kwanza

    • @queenlisa8393
      @queenlisa8393 2 ปีที่แล้ว

      Anaona Ni kama hatajakuliwa

  • @shebeshshebesh828
    @shebeshshebesh828 2 ปีที่แล้ว

    Kwenda uko Sabina chenge Ni Malaya

  • @christopherowino8089
    @christopherowino8089 2 ปีที่แล้ว

    Uchunguzi gani na alisema,let him face the law

  • @msenangu3142
    @msenangu3142 2 ปีที่แล้ว +7

    Ruto anaupungufu wa akili he needs a shrink
    Jamaa anatafuta hii kiti kwa udi na uvumba why
    Haya akisha kipata What is he up to after he clinch it
    I tell you this dude is up to no good hana njema kabisa
    Hiyo makasiriko na jadhba zake si za kawaida ni dhibitisho wazi
    wakenya wakae makini na huyo jamaa.
    Naikiwezekana afikishwa mahakamani kwa hayo matamshi yake

  • @judithmakuto3612
    @judithmakuto3612 2 ปีที่แล้ว

    Afadhali apigwe Marufuku,Kubiga kura

  • @dohaqatar2762
    @dohaqatar2762 2 ปีที่แล้ว

    Kuiba kura zaibwa hatujasahau vile kina joho walijaribu ku rig kura zao kwale so hio mchezo upo na hawakuhukumiwa the good thing ida walishinda

  • @alumanjr.4747
    @alumanjr.4747 2 ปีที่แล้ว

    Chebukati knows what's going on we don't want PR exercise tumechoka.

  • @traceyjohnson3925
    @traceyjohnson3925 2 ปีที่แล้ว +3

    Have you not investigated when uhuru and his raila etc have spoken? They are not above the law..Ruto is the vice president, and he can speak in his capacity

  • @ashameyomfatma347
    @ashameyomfatma347 2 ปีที่แล้ว

    Huyu Ruto, hujipaka vumbi akidhani ni powder

    • @queenlisa8393
      @queenlisa8393 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣Aki wewe

  • @markmwau8387
    @markmwau8387 2 ปีที่แล้ว

    CHEBUKATI fungua 2017 servers na uache huo up wako

  • @millyadhiambo238
    @millyadhiambo238 2 ปีที่แล้ว

    Fake IEBC n wenyewe ni YUDA

  • @nyapetegath409
    @nyapetegath409 2 ปีที่แล้ว +1

    SOME LOST KENYA THINK RUTO IS GOD THAT CAN NOT FALL. NOW THAT HE HAS FALLEN AND RUTO KNOWS IT. WEWE KARAGOSI BAKI UKIMUABUTU

    • @benjaminkaranja951
      @benjaminkaranja951 2 ปีที่แล้ว

      You are such a guff and a clown...Failing is you and failure is your portion...

  • @susanmuthoni5745
    @susanmuthoni5745 2 ปีที่แล้ว +2

    Sabina.chenge.ali.sema

  • @kamandaomosa4702
    @kamandaomosa4702 2 ปีที่แล้ว

    Ana yapi ruto office ameiwacha yuwafanya kazi kwa magari

  • @macaalimjunior
    @macaalimjunior 2 ปีที่แล้ว

    Penda usipende baba is the 5th

  • @jvince2122
    @jvince2122 2 ปีที่แล้ว

    Huyu ni mchezo

  • @zipporahmujiti5435
    @zipporahmujiti5435 2 ปีที่แล้ว

    Its cristal clear that they have not winning the past yrs

  • @martinwambua1057
    @martinwambua1057 2 ปีที่แล้ว

    We n mwana ume bona uibiwe

  • @muruguruwanganangu427
    @muruguruwanganangu427 2 ปีที่แล้ว +1

    It's a serios crime againist the state and IEBC

  • @johnikhemwita5078
    @johnikhemwita5078 2 ปีที่แล้ว

    Bwana chebukati ulishindwa kumzuia ruto kufanya kampeni za mapema Jambo ambalo ni kinyume Cha Sheria. Utamtisha na nini ruto ilhali wewe ni kibaraka wake? Acha unafiki.

  • @henlay8240
    @henlay8240 2 ปีที่แล้ว

    This guy is a man of double speak

  • @pele17156
    @pele17156 2 ปีที่แล้ว

    None sense at its best!!!!