AINA NNE ZA UPENDO | Mwl. Arbogasti Kanuti

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 17

  • @mariuslyamoa4964
    @mariuslyamoa4964 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana mwl Kanuti kwa kazi nzuri. MUNGU awabariki nyote.

  • @rajinderkaurgundhoo9295
    @rajinderkaurgundhoo9295 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki mwl kanuti kwa mafundisho mazuri hongera lecturer kwa mafundisho mazuri ya kiroho mungu akubariki mtumishi wa mungu nakutakia jioni njema na kazi njema na usiku mwema wenye baraka tele

  • @rajinderkaurgundhoo9295
    @rajinderkaurgundhoo9295 9 หลายเดือนก่อน

    Niombee mtumishi wa mungu niwe na upendo

  • @flavianjoshua8055
    @flavianjoshua8055 ปีที่แล้ว

    Mwalimu nimekuelewa kabisa, Mungu akutunze

  • @rajinderkaurgundhoo9295
    @rajinderkaurgundhoo9295 9 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi kanuti huko vizuri

  • @theodoratungaraza2214
    @theodoratungaraza2214 2 ปีที่แล้ว

    Mtumishi kanuti uko vizuri

  • @marysilayo9529
    @marysilayo9529 3 ปีที่แล้ว +2

    Tangu aanze kuja kutufundisha segerea kanisani napata uwepo mkubwa sana akilini! Ubarikiwe mno lecturer kwa kutuokoa.

  • @teclafusi135
    @teclafusi135 3 ปีที่แล้ว +1

    Ameen

    • @theservantmedia7566
      @theservantmedia7566  3 ปีที่แล้ว

      Amina, Karibu sana utazame hazina ya mafundisho aliyotuachia MSGR. MBIKU Katika TH-cam Channel yetu ya The Servant Media Kwaku SUBSCRIBE

  • @robathzingu1650
    @robathzingu1650 3 ปีที่แล้ว

    Hii ni moja ya TH-cam Channel bora kabisa inayoweza kumjenga na kumbadilisha binadamu. Asante sana Mwalimu kwa maono yako ya kusambaza mafundisho haya kwa njia hii. Nabarikiwa. Walio serious ya kutaka kubadilisha mfumo Wa maisha yao kutoka kuumia na kuwa wenye furaha, wasikilize na kufuatilia mafundisho haya. Bwana Yesu Kristo ailinde na kuidumisha huduma yako milele na milele...

  • @kulthumtwalipo2952
    @kulthumtwalipo2952 3 ปีที่แล้ว +1

    Ameen.

    • @theservantmedia7566
      @theservantmedia7566  3 ปีที่แล้ว

      Amina, Karibu sana utazame hazina ya mafundisho aliyotuachia MSGR. MBIKU Katika TH-cam Channel yetu ya The Servant Media Kwaku SUBSCRIBE

  • @victormalinga639
    @victormalinga639 4 ปีที่แล้ว +2

    Somo Zuri Sana Mw, Kanuti Nimejifunza Tofauti Ya Upendo, Nimependa Zaidi Uncondition Love Agape Love, Mungu Akubariki Sana.....!!!!!

  • @paschalmasheyo2349
    @paschalmasheyo2349 4 ปีที่แล้ว +1

    Amen, somo nzuri sana,Bwana azidi kukubariki

  • @cuthbertrichard5344
    @cuthbertrichard5344 4 ปีที่แล้ว +1

    Big up TSM msiache hii kazi. Tunapokea madini through You.