Je wafahamu jinsi ya kujikinga au kudhibiti homa ya ini?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2022
  • Zipo njia kadhaa zinazopendekezwa na wataalamu wa afya ambazo zinaweza kumsaidia mtu kujikinga na maradhi ya homa ya ini. Kwenye video hii ya #KurunziAfya Veronica Natalis anaangazia baadhi ya njia hizo na vilevile maelezo zaidi kuhusu homa ya ini.

ความคิดเห็น • 3

  • @fahidashishi255
    @fahidashishi255 7 หลายเดือนก่อน

    Mie nishatumia dawa bado

  • @user-lj7sb2vs6s
    @user-lj7sb2vs6s ปีที่แล้ว

    Swali langu Dr ikiwa umechanjo ya homa yaini unaweza kuupata homa yaini ikijamiana na mtu virusi vya homa ya ini

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 ปีที่แล้ว

    Namba yako doctar