ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Huu wimbo mtamu kweli. Baba yangu anaupenda sana. Naamini kwa izo views amechangia kama zaidi ya elfu moja ivi😂. From Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪with love.
Kumbe .... Baba naye ana baba ... ahahaha ... ambaye ni babu yake na babu ... Barikiwa mno.
Upendo mwingi toka kenya🇰🇪
Sisi Sote ni Watoto wa MUNGU, Tumefanyika kwa ROHO Watoto wa MUNGU
Armee seben mnanibariki sana,, Mungu azidi kuwa inua kwa viwango vya juu zaid
Nimerudi kuiangalia Leo ni mara ya 4😂Naombeni Tuzo😅
Shemejiiiiiiiiii
Hatari sana kweli Yesu ni mwema saa 🎉🎉🎉
Me nahisi nikikaaga tu kinanda flan kinaskika kichwani narudi kuangalia 😀😀😀😀
Hongereni sana nawapenda sanaaa asee mm nami ni bassist nipo dsm natafuta team
Mbarikiwe sanaa jamani watu wazuri wa Yesu hatimaye tunafurahia miziki ya watoto wa Yesu
Wimbo wa misimu yooote kila nikiuskiliza nauona mpya kweli Kumbe 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 Malembe malembe kitoko ya nzambe na ngai
Wee tunasubiri
Sisi sote ni watoto wa Mungu❤❤❤❤
Kazi nzur arme mlipotea sana jmn nilikua nataman sana niwaone,
Now tarajia vitu vizuri kutoka ARMEE SEBEN
Barikiwa Yohana kwa SAXAPHONE iliyotulia👍
Vijana wa sasa n baraaa,tunaliwasha kwa YESU n raha🔥🔥🔥🔥🎷
Hii nimeielewa mungu awabariki saana KWA kutukumbusha tulikotoka
Kwa huu wimbo nawataftia subscribers wengi
Baada yavkuguswa sasa ni mwendo wa KUMBE jee kumbe ni nini basi jumamosi utajua nini maana ya neno KUMBE
Wacha kabisa
Mbarikiwe sanaZaidi sana aliyeandika huu wimbo…Powerful lyrics
wimbo unamafutaaaa ya nzambe ni kitokooo
Kitu Moyo inapenda
Ozobina byeeee 😂😂😂Ata sijui ndo nini
Unacheza bye 😂
namuomba Mungu awalinde kaka zangu hawa mbali na mziki wanaupendo wa ajabu
My Bro Onesmo..... So proud of you Bro 👏👏👏👏
Hongera sana kaka Mungu atukutie nguvu kaka yangu aiseee napenda kazi zako sana
Nyimbo pendwa
🎉🎉🎉🎉 yani kiukwel mmeupiga mwing sana vijana kuwa ndani ya Yesu ni Neema kubwa sana msimwache Yesu
Mbarikiwe sana
Moto sana
Tunafunga mwaka namna hiii hahhaah kitu KUMBE
hakika mumeweza vyema god bless kwenu❤
Aiiiiiiiiiiiii. Armee sebene mmetisha sana humu 🎷
Ngoma kaliiii Aiiiiiiii Armee
Mmetishaaa sana
Aiiiii🎉🎉 Vijana wakimtukuza Mungu
Kaka una Tisha 🔥🔥🔥🔥🫡🫡🫡🫡
Wow wow Mungu niwa kuaminiwa Kila wakati🎉
Aleee bina na yoooo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ameeeen kubwa YESU akuze huduma yenu ni njema ,, KUMBEEEE 🙏🙏🙏
Welcome
Hiii Kali sn mungu awabariki
Tuna isubiri kwa hamu
Nyimbo yangu pedwa❤❤❤
Ozobina byeeee manaake nni
Wiiiiih 🔥
Raha ndani yesu ni kulindwa na MUNGU
Armee seben watoto wa Yesu🎉🎉🎉
Mbarikiwe saana vijanaaa mnapatikana wapiii?
Tunapatikana morogoro mjini
Kumbe 🔥🔥🔥🔥
Mpo tayar tumebakiza muda mchache sana
Huu wimbo ni fire
Hatar 😮😮😮😮😮😮😮
Hii ni moto juu ya moto
Wow nice song ❤Seen by P.LITTLE DRUMMER 🥁 🎤 🇨🇩 💪
Thank broo
Mungu azidi kuwainua siku zote ma brothers@Armee sebene
🎉🎉🎉
Hii ni kitu
More blessings to u servant,good song🔥🔥🎉🎉
Alah😂😂😂apa nimekula seben❤️
Nice nice❤ love from this side Armeee
Wimbo Wangu Bora Nimesubir Sanaa, MUNGU awabariki sana family
Upako juu ya upako 🔥
Hii ya Moto
Hatar sana sana
Nakubali sanaaaaaa
😊😊😊😊
KUMBEEEEE
Eee bwana eeeeee hiii ni 🔥 📛
Mungu azidi kuwainua ❤
Powerful 🔥 song
Masaa yana hesabika kusikia neno KUMBE lina nini kwetu daaah
Piano inajirudia sana kisana ilitakiwa ipigwe kipodi sasa
Wapi eeeeeee🎉
🔥
Très bon boulot
We are waiting 🔥🔥🔥🔥🔥
What a blessings 🙌🫡🔥🔥🔥🔥
Blessed song of Jesus
Hatar aiseeeee
🔥🔥🔥🥰
Nko Kwa gate
Nawapendaaa
Mungu awabariki sana,, keep it up
Ya moto
Wimbo wangu pendwa
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
The waiting is over ❤❤❤❤
Ni 🔥 🔥
Congratulations ❤Mungu awabariki
Hongereni sana Mungu awabariki sana
Naingoja kwa vibe sanaaa...kumbe....
❤❤❤
Kumbeeeeeee
Nilijua kumbee
Moto
Kumbe❤
Kumbe tayariiii 😮😮
Kumbeeee
I like the song
Be blessed🙏
Cant wait
Great time
Kumbe 🔥 🔥 🔥 🔥
Huu wimbo mtamu kweli. Baba yangu anaupenda sana. Naamini kwa izo views amechangia kama zaidi ya elfu moja ivi😂. From Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪with love.
Kumbe .... Baba naye ana baba ... ahahaha ... ambaye ni babu yake na babu ... Barikiwa mno.
Upendo mwingi toka kenya🇰🇪
Sisi Sote ni Watoto wa MUNGU, Tumefanyika kwa ROHO Watoto wa MUNGU
Armee seben mnanibariki sana,, Mungu azidi kuwa inua kwa viwango vya juu zaid
Nimerudi kuiangalia
Leo ni mara ya 4😂
Naombeni Tuzo😅
Shemejiiiiiiiiii
Hatari sana kweli Yesu ni mwema saa 🎉🎉🎉
Me nahisi nikikaaga tu kinanda flan kinaskika kichwani narudi kuangalia 😀😀😀😀
Hongereni sana nawapenda sanaaa asee mm nami ni bassist nipo dsm natafuta team
Mbarikiwe sanaa jamani watu wazuri wa Yesu hatimaye tunafurahia miziki ya watoto wa Yesu
Wimbo wa misimu yooote kila nikiuskiliza nauona mpya kweli Kumbe 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 Malembe malembe kitoko ya nzambe na ngai
Wee tunasubiri
Sisi sote ni watoto wa Mungu❤❤❤❤
Kazi nzur arme mlipotea sana jmn nilikua nataman sana niwaone,
Now tarajia vitu vizuri kutoka ARMEE SEBEN
Barikiwa Yohana kwa SAXAPHONE iliyotulia👍
Vijana wa sasa n baraaa,tunaliwasha kwa YESU n raha🔥🔥🔥🔥🎷
Hii nimeielewa mungu awabariki saana KWA kutukumbusha tulikotoka
Kwa huu wimbo nawataftia subscribers wengi
Baada yavkuguswa sasa ni mwendo wa KUMBE jee kumbe ni nini basi jumamosi utajua nini maana ya neno KUMBE
Wacha kabisa
Mbarikiwe sana
Zaidi sana aliyeandika huu wimbo…Powerful lyrics
wimbo unamafutaaaa ya nzambe ni kitokooo
Kitu Moyo inapenda
Ozobina byeeee 😂😂😂
Ata sijui ndo nini
Unacheza bye 😂
namuomba Mungu awalinde kaka zangu hawa mbali na mziki wanaupendo wa ajabu
My Bro Onesmo..... So proud of you Bro 👏👏👏👏
Hongera sana kaka Mungu atukutie nguvu kaka yangu aiseee napenda kazi zako sana
Nyimbo pendwa
🎉🎉🎉🎉 yani kiukwel mmeupiga mwing sana vijana kuwa ndani ya Yesu ni Neema kubwa sana msimwache Yesu
Mbarikiwe sana
Moto sana
Tunafunga mwaka namna hiii hahhaah kitu KUMBE
hakika mumeweza vyema god bless kwenu❤
Aiiiiiiiiiiiii. Armee sebene mmetisha sana humu 🎷
Ngoma kaliiii Aiiiiiiii Armee
Mmetishaaa sana
Aiiiii🎉🎉 Vijana wakimtukuza Mungu
Kaka una Tisha 🔥🔥🔥🔥🫡🫡🫡🫡
Wow wow Mungu niwa kuaminiwa Kila wakati🎉
Aleee bina na yoooo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ameeeen kubwa YESU akuze huduma yenu ni njema ,, KUMBEEEE 🙏🙏🙏
Welcome
Hiii Kali sn mungu awabariki
Tuna isubiri kwa hamu
Nyimbo yangu pedwa❤❤❤
Ozobina byeeee manaake nni
Wiiiiih 🔥
Raha ndani yesu ni kulindwa na MUNGU
Armee seben watoto wa Yesu🎉🎉🎉
Mbarikiwe saana vijanaaa mnapatikana wapiii?
Tunapatikana morogoro mjini
Kumbe 🔥🔥🔥🔥
Mpo tayar tumebakiza muda mchache sana
Huu wimbo ni fire
Hatar 😮😮😮😮😮😮😮
Hii ni moto juu ya moto
Wow nice song ❤
Seen by P.LITTLE DRUMMER 🥁 🎤 🇨🇩 💪
Thank broo
Mungu azidi kuwainua siku zote ma brothers@Armee sebene
🎉🎉🎉
Hii ni kitu
More blessings to u servant,good song🔥🔥🎉🎉
Alah😂😂😂apa nimekula seben❤️
Nice nice❤ love from this side Armeee
Wimbo Wangu Bora Nimesubir Sanaa, MUNGU awabariki sana family
Upako juu ya upako 🔥
Hii ya Moto
Hatar sana sana
Nakubali sanaaaaaa
😊😊😊😊
KUMBEEEEE
Eee bwana eeeeee hiii ni 🔥 📛
Mungu azidi kuwainua ❤
Powerful 🔥 song
Masaa yana hesabika kusikia neno KUMBE lina nini kwetu daaah
Piano inajirudia sana kisana ilitakiwa ipigwe kipodi sasa
Wapi eeeeeee🎉
🔥
Très bon boulot
We are waiting 🔥🔥🔥🔥🔥
What a blessings 🙌🫡🔥🔥🔥🔥
Blessed song of Jesus
Hatar aiseeeee
🔥🔥🔥🥰
Nko Kwa gate
Nawapendaaa
Mungu awabariki sana,, keep it up
Ya moto
Wimbo wangu pendwa
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
The waiting is over ❤❤❤❤
Ni 🔥 🔥
Congratulations ❤
Mungu awabariki
Hongereni sana Mungu awabariki sana
Naingoja kwa vibe sanaaa...kumbe....
❤❤❤
Kumbeeeeeee
Nilijua kumbee
Moto
Kumbe❤
Kumbe tayariiii 😮😮
Kumbeeee
I like the song
Be blessed🙏
Cant wait
Great time
Kumbe 🔥 🔥 🔥 🔥