MWIJAKU atangaza kutoa Ep, amuonya DIAMOND asitoe Album yake ya Bongo Fleva

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 9

  • @ankalmzito254
    @ankalmzito254 13 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂wanaomtukana mwijaku jamani tumuacheni yani tumuone kama kichaa vile

  • @BHALEEALI
    @BHALEEALI 13 วันที่ผ่านมา +1

    ningeshangaa press amalize bila kumtaja Diamond Platnumz 🤣🤣🤣

  • @AllyNzisabira
    @AllyNzisabira 13 วันที่ผ่านมา

    Jamaa anajua akimtaja Diamond iwe kwa ubaya au kwa uzuri biashara anayosimamia lazima iende

  • @FestoMatayo-x1t
    @FestoMatayo-x1t 13 วันที่ผ่านมา +1

    Mwijaku nguvu moja💪

  • @FreddyWamanya
    @FreddyWamanya 13 วันที่ผ่านมา

    Bwege mukubwa wewe😂😂😂😂😂

  • @eddsonjeremiah6669
    @eddsonjeremiah6669 13 วันที่ผ่านมา

    Mnashindwaje kuwapa biashara wanamziki Kisha mnawapa machawa na mnahisi iyo itafanikiwa😂😂😂😂

  • @KamalHassan-j5l
    @KamalHassan-j5l 13 วันที่ผ่านมา

    Huyu ana bo Kiki kila mara

  • @disanatv4485
    @disanatv4485 13 วันที่ผ่านมา

    Sns tunaomba taarifa za kumuhusu IBRAHIM TRAOLE, Kwa upande Geopolitics.😭😭😭

  • @thirdthebadestafrodance3529
    @thirdthebadestafrodance3529 13 วันที่ผ่านมา

    Unaenda kutumia enemeji