MUME WA MARTHA MWAIPAJA KAFUNGUKA KWA UCHUNGU MKE WANGU USIKU ANAGEUKA NYOKA NIPO TAYARI TUACHANE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @BlessedMwajuma-x6l
    @BlessedMwajuma-x6l 19 วันที่ผ่านมา +1

    Asante sana keka Yangu Unayo Yasema Nikweli Kabisa Matha Mungu Wambinguni Akuteteye Dadayangu ❤

  • @faredamobilo3678
    @faredamobilo3678 16 วันที่ผ่านมา +1

    😮 kheri kuwa pekee bora huko nawatiyo au la nakuepuka mengi kwa ya safari huwa ni duara!

  • @ManeMethode
    @ManeMethode 19 วันที่ผ่านมา +1

    Shalome dada yangu kipenzi changu poleni saaaaana Kwa changa mwoto kwanini kumusema saaaaana muacha kuukumu musique mukaukumiwe

  • @joycefrances4516
    @joycefrances4516 18 วันที่ผ่านมา

    Wapiiiiiiii,maneno ya mksaji,amemkosa martha anataka ashuke,na mdogo wake martha beatrice pia amemsema vibaya kwa wivu,yani martha bora awakane ndugu wote,ni wabaya wake wakubwa,kaa na Mungu tu Martha waage nsugu zako kwa haya wanayokutendea sio ndugu

    • @peterjengela1770
      @peterjengela1770 12 วันที่ผ่านมา

      Ushauri wako siyo mzuri unampotosha Martha na kuchochea uhasama , siyo vizuri kuwafarakanisha ndugu tafakari

  • @jardineshighadiE4
    @jardineshighadiE4 18 วันที่ผ่านมา

    Tusihukumu 😢

  • @SengaMarie-France
    @SengaMarie-France 18 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂