ISRAEL KATIKA UNABII-KURUDI KWA YESU MARA YA PILI-02

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 5

  • @makoyedidas6125
    @makoyedidas6125 10 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba kufahamu, je kipindi cha miaka 1000 ya utawala wa Yesu pamoja na watakatufu hapa Duniani, kutakuwa na nafasi ya watu wa mataifa mengine kutubu?

    • @phestostanley4019
      @phestostanley4019 10 หลายเดือนก่อน

      Hapana hawatatubu, ila watakuwa wanaziliana sana kwasababu dhambi kwao itakuwa inanguvu, mpaka mwishoni mwa hiyo miaka shetani atakapofunguliwa kutoka kuzimu ili awadanganye, waupindue utawala wa Kristo uwe mikononi na watapanga vita gogu na magogu ila hawatafanikiwA maana 🔥 moto utashuka na kuwaramba wote....ubarikiwe

    • @josiacharles2778
      @josiacharles2778 10 หลายเดือนก่อน

      Miaka 1000 ao watakua katika mwili je watakua wanakufa?

  • @slvestersimpamba
    @slvestersimpamba 10 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @hotexmedia2021
    @hotexmedia2021 10 หลายเดือนก่อน

    Fafanua na Ufunuo 21 pia alam ya 666 inamaanisha nin na nin siri ya hii namba