It's not a surprise to me....coz najua binadamu ni binadamu tu.....race doesn't matter, we all have the same psychology chemistry.....sisi wote tunajua kujifanya ugenini🖐🏿✊🏿
The Problem is based on their own mentality and ours differs alot for them you earn have basic needs wait to for pension not like us we want to try improve our Background thats when Problem araises some dont even understand if you left any child back home you need to support them@Antony Muange
Pole sana ndugu ikiwa hayo ndio maisha unayoishi ama kama ndio maisha ulopitia.mimi nimeishi ulaya over 32 years, kati yahio miaka,sijawahi kufua,kupika ,kuosha nyumba. Nimeowa wake wawili katka hio mika watoto nimewapeleka shule ama mambo ya sports.nikifika nyumbani kutoka kazini,chakula kiko mezani.amini usiamini, hayo ndio maisha yangu na wake zangu wakizungu.
Huku USA mimi niliangukia mzungu poa sana , msafi na anajielewa and its been soo great doing life for the past years till now .. but si wote ni wazuri ni maombi tu
Minishaenda mbio hapa nikajinunulia viwanja nikajenga kenya nimesomesha wanangu kenya hata last born amemaliza last year form 4 first born alimaliza 2018 waa girls bording high-school nikampeleka comp college beauty college hivi yuko 25years kijana yuko 18years mazee mihata nimechoka na hii baridi nangoja rente nikapumzike kenya only the strong survives 👊💪👍✌️
Tatizo ya nyinyi Watu wa Afrika mmezoea kupewa vya bure, kilakitu kuwalalamikia Wazungu na asipokuhudumia anakuwa mzungu mbaya..tafuta kazi na nyinyi muwasaidie hao wadada wa kizungu, tatizo nyinyi wa Afrika mnajifikiria nyinyi tu, unapomuoa mwanamke basi huyo ni family yako lakini nyinyi mpo kuchumia matatizo yenu.
My husband zake ni tukikosana kidogo anamcall mamake or big brother mashtaka yenye imepita ya primary lower classes. Me naukenya wangu sipangwingwi nilimtandika Siku Moja akaniitia police, 😊
Ya hiyo ni lazima kwa sababu bado hujashika kazi nilazima utumike kwa nyumba huwezi tu kaa kungoja mzungu hata mwafrika pia.kenya msaidizi wa kazi za nyumbani ni rahisi huku ulipe kwa 1hour 12€ sasa mzungu akulete huku kisha aendelee kukupatia kila kitu afanye kazi ndani na enje haendi hivo hata we ufanye kazi naye pia afanya kazi sisi waafrika tuna tabia mzungu pesa yake atumie na wewe je yako watataka ipeleka kwenu noop hiyo sio mapenzi kusaidiana ndio poa hata África
Inadepend financial ability ya mzungu amekuoa. Najua madem wameolewa na millionaires and they just stay at home but pia Kenya wamejipanga. So inadepend mwenye amekuoa ukiangukia mzungu ana hela na roho safi raha kwako
Umeongea kama watu mia. This African mentally ndio inawacost. Wanaowa wazungu au kuolewa na wazungu wakiwa na matarajio yao binafsi..,nimewaona wengi. Ndoa wanateseka hata huko home kama wataowana wakiwa na matarajio binafsi.
@@mw6175 hapo sasa kwa roho chafu kuna high rate yeye kukuwa ama aku sacrifice usicheze mzugu wewe uko majuu the number of people wenye wako illumanti ni 90 percent drug lord kidogo Germany
True they change alot once you go to their place of birth...heard very many stories my cousin was married to a German guy they broke up she wanted to go back to Kenya with his kid weeuh that guy tortured her mentally to a point she was arrested ...she was given orders that if she wants to leave Germany she should leave alone not with the kid and that the kid isn't Kenyan but German and has no business being in Kenya...she chose to live in German for the sake of her son but they are not together though he child supports her... she's also afraid of leaving Germany cz the guy is capable of doing anything she might go to visit Kenya and find her ex husband did something so as to not go back to Germany....she lives such a miserable life out there.
Aneza ko enda the nearest akross europe kama germany kama Italy ama ostoria ama netherlands akiwa uko aende the nearest bodering country aneza saa hau huyo bwana wake viharihisi sana
Mimi am planning my way out!also married to a German but not leaving in German I thank God I gave birth out of German and that country is ready to help me out with the child.He is super narcissistic,hataki nifanye kazi,wivu wivu wivuuuuuuu pooooooh! Akwendeeee acha nikapambane penye mtoto alizaliwa😂(Europe)
Mnoo,wachafu sana mm nna wangu huyoo akioga mfano ijumaa na jumamos awe hajaenda kazn basii ataja oga jumatatu🙄🙄mtu unaongea had unachoka had unajiulza uzungu wao ni upii ni wachafu sijapata kuona aende toilet sasa mamaaaa🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️
Huku jamanii, msema ukweli Rogers,.. that's very true, hawa walami ni good pretenders na wachafuu😝, though asio wote kuna wazuri na waangwana😃,....Wueh! hapo kwa .... "steam inakumaliza jikoni" ,"steam inakunyonga jikoni" 🤣🤣🤣🤣🤣, the whole video umeelezea in a funny way nimecheka yangu yote😂😅 endelea kutuletea .....huku jamanii 👍🏾👍🏾
Ebu soma history ndio utajuwa wazugu wana roho nzuri kwa watu nyeusi ndio utaguduwa ndiokomana nchi ya ethiopia inapega nchi za kiafrica morali wakisema tusikubali wazugu warubu wahindi watulete ujiga na civilization kwa mother land yetu
@@Rogers_Lugose after world war 2 ama 2 wali jaribu kuleta amani africa kwa kila nchi lakini bado kuna nchi zingine bado kama somali south sudan nigera ethiopia wataki kubadilika kabisa
@@Rogers_Lugose na kitu igine uko wazugu wanagaliga kitu yako ya boro inatoshana aje na we ni nyeusi na unataka kum date juu kenye mimi huwa na juwa kwa percipitive yangu wazugu wana sema size matters...
@@Rogers_Lugose kaa ngumu kama mwawe uko nakuona ukiwa milioner urudi home kenya kama uko stable east or west home is the place were you belog lakini jaribu kutafuta kadame mzunye mwenye ametoka kwa familia ya umaskini uone kama chemistry ita match sana wale wamu oshago ya germany try your luck nakumina my bruv
Munaabudu wazungu sana ,ndio maana wakianikwa munajustify your stupidity na watu wote ni wabaya,hupendi kusikia Mungu wako akianikwa,zaa watoto wanakaa kama wewe,tabia ya kujipendekeza kwa mkoloni muache
@@fideliswanjirukaranja2836 acha vijisababu vya kipuzi yet Muna prefer kuteswa na mzungu kuliko kupata mtu mweusi anajielewa coz most of you Kenyan women munatamani kuwa associated na mzungu as a sign of success,kuishi kwao na kuzaa vitoto vyeupe juu munaamini ngozi nyeusi Haina form
Mimi nilipata mchafu kuoga ati ni weekend peke yake chakuka analima ata kunulia watoi juice ama biscuit na kadhalika alikua hanunui aftet kumzalia nilimwacha nilimwacha sai analipa child support Servus von München
@@michaelrapando6658 self hate in me how can you say that yet you don’t know me . When I met this guy I was working my ass out support my two sis and their children . I quit my job moved to his country that was 20 years ago kazi ilikua kwa wingi back home si ka sai kila mtu anataka mzungu na simple life. Nyinyi ndio watu munajudge watu wengine bila kuwajua i think you just described yourself in this post. I still work my ass out my children and nearlly all grown up. I beg get outta here
Rogeeeeerrs! Damn! Mazee I just met your channel today. I am happy for you. Btw thanks you used to come through for me pale COOPA, how can I reach you man.
Sasa ndo Africa kujifunza kua dunia nzima maisha ndo hayo hayo kila sehem sio kila mzungu ana pesa wapo maskini Kibao hawana sehem ya kulala wanalala nje wanaomba omba misada kama nchi zingine
I hear this stories but I have never experienced them…I have been with my now husband for 14 years! We met at the Uni we both work for German government but even my in laws don’t threat me like that even before I had my Masters. But also just to be fair Kenya too we have such cases when you marry a woman then take to ushago to stay with parents then atakua tu kama househelp more so if they do not have a job. We should not just put on the Germans it happens in most of the places
Last week i went to church somewhere in esslingen and i heard the same story from the mouth of a mzee from kenya kwetu. Its painful these things Rodgers saying are true ..and if you looked at the mzee mwenyewe amechoka unashndwa mbona sasa mzungu anamtesa 😢
Mi kila nampata nafukuzwa ATI niko na toxic masculinity . Na sijaunda sana mwili , ni akili nimeunda sana . Hawa wazungu hupenda mafala . Aki sahi nawakula tu. Sababu najua hatuezani.
@@Rogers_Lugose maisha , na Ville maboys wanatamani wazungu . Mi hiyo kiherehere siwezani nayo. Bro guess uko poa , thanks for the info. Lakini naskia ati huko germany foreplay nyi huanza na doggy style
Uneaza kajuwa mtu ajeanda shule kama uko naundai dame mzunye uneza kajuwa kama unagaliya charcheter yake cominuctionskills kama anapenda conflict ku complain kila saa for no apprent reason plus mzunye ajaenda shule anakuaga resist vibaya sana juu aku aigi akijuwa the absent na history kuhusu wafrica na vyenye walituconlinze si wote lakini
@@Rogers_LugoseKWELI KABISA hata iyo umesema imesha andikwa Surah 7:28 And when they commit an immorality [MIXED MARRIAGES], they say, ‘ We found our fathers doing it, and Allah has ordered us to do it.’ Say, ‘ Indeed, Allah does not order immorality. Do you say about Allah that which you do not know?’ Deut 7:23 YOU shall _NOT intermarry_ with them [Whites/Iblis/pagans], giving your daughters to their sons or taking their daughters for your sons [Unions aka marriages] for they will lead your children astray [worldliness/leaving Africa in pursuit of Greener pastures] from me to worship their gods [pesa]. Then the anger of THE MOST HIGH OF ISRAEL will burn against you, and he will quickly destroy you [sababu wengi wanauliwa, au unapata mtoto na uwezi kumchukua umrudishe Africa mukiwachana, au wanabadilika na wanakutesa] Wale wanao sema ni wivu ni kuwa Mwenyezi MUNGU AMEWACHA WAJIPOTEZE, watagundua baadaye 👂🏾
Lugose bro bee a while manze but ni ukweli watu wasikimbilie walami ju ya pesa.kwa mlami marriage si kitu that is why anaeza kuoa na afanye divorce ukiwa mjinga alafu ukifika huko diaspora focus ikue mambo ya tudem iyo watu wakue wajanja
@@Rogers_Lugose hapo wazugu wanapenda sigara na pombe sana madawa za kulevea kwa wigi uneza kuwa umeanda mukafanya mambo zenyu kwa kitanda dakika kidogo amefaint juu ya umezaji za dawa ya kulevea
@@ronniewalker3642 wanatuektia tu njoo nchin mwao ndo utajua walvyo si watu kabsaa kwanza wachafu balaa,hata aende choon hanaw mikono na sabun akimalza haja zake alaf anaona kawaida tu 🙄
@@catherinemuhagama7338 lakini nyi wasichana mkienda uko mzulalishie watoto wengi serekali inawapa pesa sisi wanueme tukifika lazama tukae ngumu juu tusipo life it wiil be a walk in the park
Broo hivi ukioa hapa TZ mwanamke anaejiweza Kasoma shule ana biashara zake na wewe ni low income earner unafikiri hata fanya hayo ya wazungu? Popote pake duniani mwanamke/mwansume akikuxufi kupayo utakuwa mtumwa wake, and you have to obey all orders without arguments. Wabawake wetu wa kiafrika na kiarabu wanatutii kwa sababu hawana kipato cga kuwatosheleza kujitegemea.
@ wheels advt, kazi za upishi ni tele Ujeru lakini cha muhimu ni bora mtu kwanza uisomee ndiposa uweze kupata mshahara wa maana incase ukaajiriwa. Ujeru mtu mwenye ana certificate amesomea kazi fulani mshahara ipo sawa kabisa utaridhika,...na mwenye hana certificate hajaisomea kazi yoyote mshahara kidogo sana.
It's not a surprise to me....coz najua binadamu ni binadamu tu.....race doesn't matter, we all have the same psychology chemistry.....sisi wote tunajua kujifanya ugenini🖐🏿✊🏿
Very true
Oya Kaka Unapaje Ya kuingia Germany hasa kimasimo ? Natamani Sana kusoma na kutengeneza mazingira ya kufanya kazi na kusoma?
The Problem is based on their own mentality and ours differs alot for them you earn have basic needs wait to for pension not like us we want to try improve our Background thats when Problem araises some dont even understand if you left any child back home you need to support them@Antony Muange
@@Rogers_Lugosekunasiku ataelewa vizuri ulicho kua unasema
Pole sana ndugu ikiwa hayo ndio maisha unayoishi ama kama ndio maisha ulopitia.mimi nimeishi ulaya over 32 years, kati yahio miaka,sijawahi kufua,kupika ,kuosha nyumba. Nimeowa wake wawili katka hio mika watoto nimewapeleka shule ama mambo ya sports.nikifika nyumbani kutoka kazini,chakula kiko mezani.amini usiamini, hayo ndio maisha yangu na wake zangu wakizungu.
Aah kumbe kuna wanawake wa kizungu wazuri
Tema hio jaba wewe
@briankariuki1588 😂😂😂😂 tumesema ni jaba
Huku USA mimi niliangukia mzungu poa sana , msafi na anajielewa and its been soo great doing life for the past years till now .. but si wote ni wazuri ni maombi tu
You are one lucky girl... hapa nje watu wanateseka
anakudinya kila day😂😂😂😂
Mtumwa siku zote husifu master
So true ukifika huku unapata your bae is jobless enjoying pesa ya social na kuokota machupa kwa streets 😅
Haha🤣😂😂😂😂
Nilete huko mrembo ni experience😁
🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂 na hapo ongezea ni manarcist
Wacha social mkopo ya bank
Minishaenda mbio hapa nikajinunulia viwanja nikajenga kenya nimesomesha wanangu kenya hata last born amemaliza last year form 4 first born alimaliza 2018 waa girls bording high-school nikampeleka comp college beauty college hivi yuko 25years kijana yuko 18years mazee mihata nimechoka na hii baridi nangoja rente nikapumzike kenya only the strong survives 👊💪👍✌️
Aah wewe umejipanga kimaisha tayari
Train Europe wakati wa summer hutupa videadly. Hawa watu hawapendi kuoga
😂🤣🤣🤣🤣 unachoma
😂😂😂
so so true!
Ukweli,nilichafuka roho immigration Mombasa, yaani Huwa Hawa Malaya wa Kenya hunishangaza kurambana na Hawa wanyama
Hata siamini walai yani nadhani wasafi kumbe
Tatizo ya nyinyi Watu wa Afrika mmezoea kupewa vya bure, kilakitu kuwalalamikia Wazungu na asipokuhudumia anakuwa mzungu mbaya..tafuta kazi na nyinyi muwasaidie hao wadada wa kizungu, tatizo nyinyi wa Afrika mnajifikiria nyinyi tu, unapomuoa mwanamke basi huyo ni family yako lakini nyinyi mpo kuchumia matatizo yenu.
Nakuelewa kaka
Waaah nimeskia nimeshtuka tu juu weeeh hii ndiyo nilikuwa naendea kama singekuskia, ningeteseka,
🤣😂😂
Brainwashed by movies to worship wazungu,
My husband zake ni tukikosana kidogo anamcall mamake or big brother mashtaka yenye imepita ya primary lower classes. Me naukenya wangu sipangwingwi nilimtandika Siku Moja akaniitia police, 😊
🤣🤣😂🤣🤣 you are making my night
If you make yourself soft Hawa watu wanaweza kukukalia mbaya Sana, now their is respect between us.
🤣🤣🤣🤣🤣
🤣😂😂
Na Bado uko naye,angekuwa blacky ungesema yeye ni toxic, African women more so Kenyans worship mzungu
hhhehehhehehehehehhe.HAPO kwa utakula takataka eeeiii man!!Truuuuuee
Hawajui kupika kabisa
😂😂😂 nikweli kabisa😂😂
this man woke up,,and chose to speak FACTS
😂 I'm in Ireland same here..nimefua sana pia...
🤣😂😂 asante kwa kunipa support
Yoh!uko Irelandside gani 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂.We used to be there vile aligundua I was about to get citizenship akatuhamisha uweee🤣😂😂am planning my way out
Ha ha 😅😅😅 Nikija tena Dublin nijaribu nione
Chapa kazi madam
@@IANA2030Kenyan women always skimming, ndio komana wanaume kote duniani wanawaogopa....
Ya hiyo ni lazima kwa sababu bado hujashika kazi nilazima utumike kwa nyumba huwezi tu kaa kungoja mzungu hata mwafrika pia.kenya msaidizi wa kazi za nyumbani ni rahisi huku ulipe kwa 1hour 12€ sasa mzungu akulete huku kisha aendelee kukupatia kila kitu afanye kazi ndani na enje haendi hivo hata we ufanye kazi naye pia afanya kazi sisi waafrika tuna tabia mzungu pesa yake atumie na wewe je yako watataka ipeleka kwenu noop hiyo sio mapenzi kusaidiana ndio poa hata África
Umesema ukweli kabisa
Bro hilo nimelisoma sanaa
Inadepend financial ability ya mzungu amekuoa. Najua madem wameolewa na millionaires and they just stay at home but pia Kenya wamejipanga. So inadepend mwenye amekuoa ukiangukia mzungu ana hela na roho safi raha kwako
Umeongea kama watu mia. This African mentally ndio inawacost. Wanaowa wazungu au kuolewa na wazungu wakiwa na matarajio yao binafsi..,nimewaona wengi. Ndoa wanateseka hata huko home kama wataowana wakiwa na matarajio binafsi.
@@mw6175 hapo sasa kwa roho chafu kuna high rate yeye kukuwa ama aku sacrifice usicheze mzugu wewe uko majuu the number of people wenye wako illumanti ni 90 percent drug lord kidogo Germany
Love your show continue with the same spirit Danke schon schönen Tag
Thank you
Umenikesha sana leo
Shukran zangu Mzito..... exceptional content 👌 and advice.
Thank you so much
Ukweli kabisaa nakuna wachafuuu mbaka hunashangaaaa.
🤣🤣😂😂😂
True they change alot once you go to their place of birth...heard very many stories my cousin was married to a German guy they broke up she wanted to go back to Kenya with his kid weeuh that guy tortured her mentally to a point she was arrested ...she was given orders that if she wants to leave Germany she should leave alone not with the kid and that the kid isn't Kenyan but German and has no business being in Kenya...she chose to live in German for the sake of her son but they are not together though he child supports her... she's also afraid of leaving Germany cz the guy is capable of doing anything she might go to visit Kenya and find her ex husband did something so as to not go back to Germany....she lives such a miserable life out there.
Wueh sad
💯 TRUTH, when you dance with the DEVIL, he doesn't want to let go!
hii ni noma
Aneza ko enda the nearest akross europe kama germany kama Italy ama ostoria ama netherlands akiwa uko aende the nearest bodering country aneza saa hau huyo bwana wake viharihisi sana
Mimi am planning my way out!also married to a German but not leaving in German I thank God I gave birth out of German and that country is ready to help me out with the child.He is super narcissistic,hataki nifanye kazi,wivu wivu wivuuuuuuu pooooooh! Akwendeeee acha nikapambane penye mtoto alizaliwa😂(Europe)
Huyu kaka ananichekesha jamani
aki uko funny you make me laugh
This contents are awesome😀😀😀😀
Thank you for the support
Waswahili husema ishi nao uwajue brüder
Kabisa
🤣😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 umesema wapendi kuoga🤣🤣🤣🤣
🤣🤣😂😂
Mnoo,wachafu sana mm nna wangu huyoo akioga mfano ijumaa na jumamos awe hajaenda kazn basii ataja oga jumatatu🙄🙄mtu unaongea had unachoka had unajiulza uzungu wao ni upii ni wachafu sijapata kuona aende toilet sasa mamaaaa🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️
Nikweli kabisa na hawana shururani wala utuu.
Waaah noma na wanono wako uko too uwesi pata kaslim ivi. wana jifanyanga sana wana fanyanga prosecute uko awa wazungu brooh
Tu laptop ni tudem twa wazungu bana🤣😂
Waah noma brooh. Asante unafanya job poa waja tukufikishie 1m subscriber
kalukha ingo omwami.💥💥
Mbula mang'ondo.. ndumila ifea yindeche
Heard this before. Mi hushanga na watu hujipendekeza kwa walami. I've dated one but never treated her like she's special.
Watu wataringa kule Instagram but kwa nyumba wanateswa
Lol
vida ya leo😂😂😂, inafurahisha..eti tunono turaundi raundi tudrum
Super drum 🤣
@@Rogers_Lugose 😂
@@Rogers_Lugosewale wanano natu drum wanaeza kuonejesha maneno ukiwa uko germany heri wale wakonde na tu slender kidogo
Huku jamanii, msema ukweli Rogers,.. that's very true, hawa walami ni good pretenders na wachafuu😝, though asio wote kuna wazuri na waangwana😃,....Wueh! hapo kwa .... "steam inakumaliza jikoni" ,"steam inakunyonga jikoni" 🤣🤣🤣🤣🤣, the whole video umeelezea in a funny way nimecheka yangu yote😂😅 endelea kutuletea .....huku jamanii 👍🏾👍🏾
Ebu soma history ndio utajuwa wazugu wana roho nzuri kwa watu nyeusi ndio utaguduwa ndiokomana nchi ya ethiopia inapega nchi za kiafrica morali wakisema tusikubali wazugu warubu wahindi watulete ujiga na civilization kwa mother land yetu
But kuna wale wazuri wametulia, they will provide for you everything
@@Rogers_Lugose after world war 2 ama 2 wali jaribu kuleta amani africa kwa kila nchi lakini bado kuna nchi zingine bado kama somali south sudan nigera ethiopia wataki kubadilika kabisa
@@Rogers_Lugose na kitu igine uko wazugu wanagaliga kitu yako ya boro inatoshana aje na we ni nyeusi na unataka kum date juu kenye mimi huwa na juwa kwa percipitive yangu wazugu wana sema size matters...
Mimi siwatambui
being the one % humbles everyone..
Huku walami wanataka kutumaliza
@@Rogers_Lugose hawataweza..tunakuja uko tupate reputation ya kwenda USA
@@Rogers_Lugose kaa ngumu kama mwawe uko nakuona ukiwa milioner urudi home kenya kama uko stable east or west home is the place were you belog lakini jaribu kutafuta kadame mzunye mwenye ametoka kwa familia ya umaskini uone kama chemistry ita match sana wale wamu oshago ya germany try your luck nakumina my bruv
But is it not the same for all men wether black or white ukiingia box they change
But at least they will show their true character after few days
We know everyone changes but perception ya ati heri mzungu has to be demestfy
Munaabudu wazungu sana ,ndio maana wakianikwa munajustify your stupidity na watu wote ni wabaya,hupendi kusikia Mungu wako akianikwa,zaa watoto wanakaa kama wewe,tabia ya kujipendekeza kwa mkoloni muache
@@michaelrapando6658 wanaume ni walewale awe mzungu au mwafrika ama mhindi sio mambo na kuwabudu its the reality of life
@@fideliswanjirukaranja2836 acha vijisababu vya kipuzi yet Muna prefer kuteswa na mzungu kuliko kupata mtu mweusi anajielewa coz most of you Kenyan women munatamani kuwa associated na mzungu as a sign of success,kuishi kwao na kuzaa vitoto vyeupe juu munaamini ngozi nyeusi Haina form
So educative👍
Thank you
Wueh 😅 ati ni kulombotov
Mapenzi ngumu huku ulaya
@@Rogers_Lugose vyema kuchingza tabia. Wanafungana macho na hizo holidays
Sio wote bro
But nimesema kwa video
Kweli kuna wazungu wazuri wapo na wengine wengi wao ni ibilisi
Kabisa... watakutesa roho hadi uskie kuachana na ndoa
Hapo PA some are very dirty it's true.... Some will not even cook just because the dishes are dirty
Very true
you are the princess 🤣
Hao si wazingu, nk waGermany
Haha really?😂🤣
Nakukubali kwa mizengwe hiyo
Asante sana kwa kutazama
Kuna diff ya Germany na mzungu ,those are 2 diff people
Tueleze kidogo difference ni gani?
Mimi nilipata mchafu kuoga ati ni weekend peke yake chakuka analima ata kunulia watoi juice ama biscuit na kadhalika alikua hanunui aftet kumzalia nilimwacha nilimwacha sai analipa child support Servus von München
Haha you're very wise
@@Rogers_Lugosehakuna wise iko hapo
You were only with him coz of self hate in you,to get biracial kids and easy life but ancestors wetu hawakulala
@@michaelrapando6658 self hate in me how can you say that yet you don’t know me . When I met this guy I was working my ass out support my two sis and their children . I quit my job moved to his country that was 20 years ago kazi ilikua kwa wingi back home si ka sai kila mtu anataka mzungu na simple life. Nyinyi ndio watu munajudge watu wengine bila kuwajua i think you just described yourself in this post. I still work my ass out my children and nearlly all grown up. I beg get outta here
Wanaoga after one month.
😂🤣🤣🤣🤣
Rogeeeeerrs! Damn! Mazee I just met your channel today. I am happy for you. Btw thanks you used to come through for me pale COOPA, how can I reach you man.
Asante bro. Long time
Nipate Instagram, Facebook ama Tick Tock as ROGERS LOGOSE
Huku Germany......
🤣😂😂
It's true.anakugeuka na unakuwa house boy
🤣🤣😂
Not really here USA 🇺🇸 my whole families married to whites they're are taking care giving them everything the want.
😂😂
Sasa ndo Africa kujifunza kua dunia nzima maisha ndo hayo hayo kila sehem sio kila mzungu ana pesa wapo maskini Kibao hawana sehem ya kulala wanalala nje wanaomba omba misada kama nchi zingine
Kabisa Oman. Umesema ukweli
I hear this stories but I have never experienced them…I have been with my now husband for 14 years! We met at the Uni we both work for German government but even my in laws don’t threat me like that even before I had my Masters. But also just to be fair Kenya too we have such cases when you marry a woman then take to ushago to stay with parents then atakua tu kama househelp more so if they do not have a job. We should not just put on the Germans it happens in most of the places
Thank God for your happy marriage, people out here are going through alot
@@Rogers_Lugose Thank you! I think the bottom line is that most women need to be independent financially no one will joke around with you like that…
@@lawreenmkado8307 very true
Last week i went to church somewhere in esslingen and i heard the same story from the mouth of a mzee from kenya kwetu. Its painful these things Rodgers saying are true ..and if you looked at the mzee mwenyewe amechoka unashndwa mbona sasa mzungu anamtesa 😢
The truth shall set you free.
Asante
Tudem tufatfat drum drum😂km wa andrew kibe
das ist ein guter Content. genau richtig für kenianische User
Danke
@@Rogers_Lugose poa
Afadhali ukue bachelor
Huku bachelor wako safe
kufua nguo?? Aren't there washing machines in Germany?
Yes but its tiresome
Si wote my dear
But nimesema kuna wale wazuri
@@Rogers_Lugose sawa
@@bethm6587 and thanks for the support 🙏
Mzungu ni mzungu,but inakuuma juu uko naye ama ni ndoto Yako kuzaa na mkoloni,jipende dada
Umekawia bila ku post, finally video imedrop! ✨🔥
Thank you
What if your employed
It doesn't matter you have to share responsibilities
Mi kila nampata nafukuzwa ATI niko na toxic masculinity . Na sijaunda sana mwili , ni akili nimeunda sana . Hawa wazungu hupenda mafala . Aki sahi nawakula tu. Sababu najua hatuezani.
Inabidi unakula ukitema
@@Rogers_Lugose maisha , na Ville maboys wanatamani wazungu . Mi hiyo kiherehere siwezani nayo. Bro guess uko poa , thanks for the info. Lakini naskia ati huko germany foreplay nyi huanza na doggy style
Kaka, rarua ifaavyo
Any partner ata apa Kenya ni ivyo, once in marriage is when all their evils emerge
True
Hawa wazuri ni hawa wame somea lakini wale waja soma wanatumiya wale wafrica foreners vibaya trust my words
True. Hao utalilia choo
hii inamake sense
@@Rovex. kweli men mzugu ajaenda shule anakuaga mjiga sana kuliko muafrica ajaenda shule
@@ronniewalker3642 na astonishing ni large numbers pia.. usipokua macho unapata dwazi
Uneaza kajuwa mtu ajeanda shule kama uko naundai dame mzunye uneza kajuwa kama unagaliya charcheter yake cominuctionskills kama anapenda conflict ku complain kila saa for no apprent reason plus mzunye ajaenda shule anakuaga resist vibaya sana juu aku aigi akijuwa the absent na history kuhusu wafrica na vyenye walituconlinze si wote lakini
Eee kumbee ndoo kunaendaga ila minilielezwaa kuwaa wazungu wachafu kinoma
🤣😂😂
Expect kama nimelogwa siwezi kuteswa na paka
🤣😂😂😂 umekataa
@@Rogers_Lugose haki ya Mungu 🙅🏾♂️
You've spoken like a whole village elders it's true 😂😂😂😅❤ love how you put things across
Asante
Mambo ime chemka 😂😂 good job brother 🙏🙏
😂🤣🤣🤣
Good content
Thanks for the support
Brathy hiyo ni ukweli wangu aliniacha na urembo yangu akaeda kuowa mubaya sana zaidi😂
Tell them,ww mfuate kwao majuu 😂😂😂😂hey it’s not easy oooh
🤣😂😂
Unatoka job unaskie ati ukule cereals na maziwa😂
😂🤣🤣
🤣🤣
pet yake ni nguruwe🤣🤣
@@Rovex. na hio pig inakula food fiti kukuliko
Noma sana
Haki unasema ukweli kabsa
Huko nipesa tu itatuleta
Kama sio pesa mimi siezi kaa huku
Cjui lini Wanawe wa BINADAMU [BANTU] watatambua WAZUNGU NI IBLIS! Imeshaandikwa kwa bibilia na Q'RAN
BANTU hawataki kujua. Watasema ni wivu
@@Rogers_LugoseKWELI KABISA hata iyo umesema imesha andikwa
Surah 7:28 And when they commit an immorality [MIXED MARRIAGES], they say, ‘ We found our fathers doing it, and Allah has ordered us to do it.’ Say, ‘ Indeed, Allah does not order immorality. Do you say about Allah that which you do not know?’
Deut 7:23 YOU shall _NOT intermarry_ with them [Whites/Iblis/pagans], giving your daughters to their sons or taking their daughters for your sons [Unions aka marriages] for they will lead your children astray [worldliness/leaving Africa in pursuit of Greener pastures] from me to worship their gods [pesa]. Then the anger of THE MOST HIGH OF ISRAEL will burn against you, and he will quickly destroy you [sababu wengi wanauliwa, au unapata mtoto na uwezi kumchukua umrudishe Africa mukiwachana, au wanabadilika na wanakutesa]
Wale wanao sema ni wivu ni kuwa Mwenyezi MUNGU AMEWACHA WAJIPOTEZE, watagundua baadaye 👂🏾
Ati wazungu available ni wale fat fat😀😀acha ikae
Tunono round
@@Rogers_Lugose 😀😀heheee
Hahahaha Fat fat ,tunono raund .Hahaha
That is horrible, horrendous and unimaginable thanks for advice.
Thank you
Those people are not huemans,they bred from Nephilims.
🤣😂😂😂😂
Hii nayo apana... That's just hatred aki
@@marywahu3613 Check a channel called Rudolph of Germany or Rudolph the white alien for confirmation.
True they a difrent breed nimeishi na wao kuoga ni once na majuu hakuna shida ya token😢
Neanderthals
Vasectomy kwanza 😂😂😂
Nataka ku visit german who is willing to show me around
Niko hapa
@@Rogers_Lugose bro naweza pata aje number yko
@@mohamedwelly8850 booklugose@gmail.com
Hapa Germany uko wapi tukutane bro
Niko Stuttgart
1.1k tufike 10k subscribers
Soon bana
@@Rogers_Lugose inafika wasee wakilike ni hivo
Shida sio wazungu shida ni nyie mnakurupuka mahusiano yote mkae mjuane hata miaka miwili, punguzeni miteremko
Kabisa
Siyo Germany peke yake NI western Europe nzima
True
Hapo kwa usafi nayo weeh hadi nimeskia harufu ya mzungu through the phone 🤢🤣
😂
🤣🤣😂😂😂
Hahahaha waaa aki wewe bru ukona tu maneno
Peleka hii conversation TikTok 😀 warembo wetu waskie
Huko hawataki ukweli
Wacha kuoa kuishi tuu naye ni maallien
🤣🤣🤣🤣
👋
Lugose bro bee a while manze but ni ukweli watu wasikimbilie walami ju ya pesa.kwa mlami marriage si kitu that is why anaeza kuoa na afanye divorce ukiwa mjinga alafu ukifika huko diaspora focus ikue mambo ya tudem iyo watu wakue wajanja
Unakam na mzungu Germany alafu ukipata papers una concentrate na dem mkenya
Unafaa umakalie muguma ame aje huku germany
Hapana toa maneno ya kushtua wasee Sana...Be moderate my friend.
Hapo sawa
Mimi huwambia mabeach boy wasikubali kuenda majuu kuishi kwa sababu hutapata yale unapata ukiwa home 🤣🤣😅
Hawaezi skia
Wewe husema tu ukweli. Mimi nawatch video zako nikiwa huku yues, nacheka tu. 🤣 Endelea vivyo hivyo.
Thank you for the support 🙏
Mjomba hao wazungu tabia zao kama majini mahaba.watajifanya watu wazuri mwanzo baadaye utajuta atakupa masharti kama jini mahaba
Kweli kabisa
lkn watu weusi jamani tunawapenda wazungu haki
Tunapenda kuzaa nao sana
@@Rogers_Lugose hata mi na wish Kwa kweli
Self hatred and ignorance,not knowing your true history,ndio chanzo Cha kuabudu shetani mweupe, can't dilute melani yangu na Hawa shetani
Da kumbe wachafu hivyo 😁😁😁😁, One tym niliwambia machalii waache kushobokea sana dem wa kizungu.
Madem wa kizungu uchafu tupu na uvutaji sigara kwa wingi
@@Rogers_Lugose hapo wazugu wanapenda sigara na pombe sana madawa za kulevea kwa wigi uneza kuwa umeanda mukafanya mambo zenyu kwa kitanda dakika kidogo amefaint juu ya umezaji za dawa ya kulevea
Wanume wazugu mimi sija juwa mengi kuwahusu mimi kenye najuwa wasichana wetu wakiafrica wanasemega wanume wazugu wanakuaga romatic kuliko hawa wanueme wafrica
@@ronniewalker3642 wanatuektia tu njoo nchin mwao ndo utajua walvyo si watu kabsaa kwanza wachafu balaa,hata aende choon hanaw mikono na sabun akimalza haja zake alaf anaona kawaida tu 🙄
@@catherinemuhagama7338 lakini nyi wasichana mkienda uko mzulalishie watoto wengi serekali inawapa pesa sisi wanueme tukifika lazama tukae ngumu juu tusipo life it wiil be a walk in the park
icho ndo nakikataa kuwa chini ya controo
Ata mimi hapa
Wacha ni stick Tu na mwafrika,nikienda Europe wacha iwe Tu job but eti marry aiish...hell no
Unaeza jaribu mzungu.. kuna wale wazuri
@@Rogers_Lugose don't support swirling man,no race mixing na adui bana
Mi nikiona mambo yaenda mrama nakuja kwako 🤣🤣🤣
Dont translate hii vida ya leo kwake
🤣😂🤣
Leo uki translate hii video unaachwa
@@Rovex. sijui kwa nini nimemwonyesha hii channel kila siku anaangalia kama Rogers ame post , nitashikwa 🤣
@@bruske_7 🤣🤣
Na wewe umeoa kabla gani
Mjaluo😂😂
Broo hivi ukioa hapa TZ mwanamke anaejiweza Kasoma shule ana biashara zake na wewe ni low income earner unafikiri hata fanya hayo ya wazungu?
Popote pake duniani mwanamke/mwansume akikuxufi kupayo utakuwa mtumwa wake, and you have to obey all orders without arguments.
Wabawake wetu wa kiafrika na kiarabu wanatutii kwa sababu hawana kipato cga kuwatosheleza kujitegemea.
Umesema ukweli kabisa
Eti kwani huku tupo India😹😹
🤣😂😂
True story lol
Kabisa
uko stadt wo?arbeit ya cooking iko na ni how?
@ wheels advt, kazi za upishi ni tele Ujeru lakini cha muhimu ni bora mtu kwanza uisomee ndiposa uweze kupata mshahara wa maana incase ukaajiriwa. Ujeru mtu mwenye ana certificate amesomea kazi fulani mshahara ipo sawa kabisa utaridhika,...na mwenye hana certificate hajaisomea kazi yoyote mshahara kidogo sana.
@@marieheiss6560 I always tell them
@@marieheiss6560 are certificates from kenyan colleges accepted..na wanaweza jua cert ya riverroad?S
@@Rogers_Lugose imagine nimeelewa hii swali.. naendea exam sasa...
@@wheelsadvertisingke5509 ushafanya hizo exam za uko za lugha?
Bitter truth
Thank you
Ujanja kuwa na ghetto lako na kazi yako, focus africa for ur future life.
Kabisa