That is the work between Tanzania and Kenya government. Last year similar situation happened to Ugandan opposition Kizza Besigye who was abducted whilst in Kenya then Kenyan government handed over to Ugandan government.
Wenye nguvu ndio watakao ulisi ufalme wa mbinguni, hakuna damu ya mwanadamu itakayo weza kulipia adha ya mapito ya mwanadamu, utekaji, mauaji, damu ya wanaharakat, wanasiasa na watu wa kawaida isipokua damu ya Yesu tu
The one involved is BROWN DIDON KARANJA. Look no further, he is the one with the connections and he is the one who knows us both and he is the one who has been CAUSING troubles for me and it is a spiritual warfare.... with a POLITICAL GAIN perspective.
@margarethpolepole7438 sianaishi Tanzania kwaiyo km nimjaruo na mzungu ndio aongee kingeleza bona huwa nasikia kwenye arakati zake anaongea kiswahili mnatuchanganya ambao atujui king
The whole story is a fantasy, showing that the kidnappers had no place to take you and that's why they wanted to finish everything in the car. Normally, the kidnappers would have wanted to take you to a safe place.
@@JosephLadisilaus labda wewe ndio uelimike mkuu hicho kiingereza ni unofficial language maofisini na pia walengwa walikuwa watu wa mataifa tofauti. Kiswahili chenyewe unachokililia hujui kuandika kifasaha. Ushauri wa bure , kwa huu utandawazi kwa Sasa usilazimishe sana vitu viwe according to your views this is the internet try to be neutral
Pole sana dada yangu. Nashukuru Mungu yu pamoja nawe. Wembe ule ule, piga kazi bila woga, shujaa haonji kifo.
Ni vizuri ameongea kiingereza, hapo anaongea watu wa lugha tofauti. Ni sahihi. Mungu akulinde mtanzania mwenzetu.
❤️ you shangazi Maria. Damu ya Yesu Kristo wa NAZARETH aendelee kukufunika
Pole ssna sis Maria. Aluta continua 😢
pole dada na mungu akulinde na kutie nguvu hakuna kukata tamaa
That is the work between Tanzania and Kenya government. Last year similar situation happened to Ugandan opposition Kizza Besigye who was abducted whilst in Kenya then Kenyan government handed over to Ugandan government.
Love you sister
Pole sana sister
Hao waandishi wa habari sio wabongo bana
Maria ni mtu na nusu...uko na njemba you managed to irritate them....shwaaa! Pole sana shangazi, Mungu akutunze sana
Walitala simu.ndio wamefanikiaa kuzichukua.
Kama wangetaka kumpoteza wangempoteza aisee.
Aimarishe ulinzi wake
❤❤❤❤❤
yaaa allah tuondoshee hawa ccm
Wenye nguvu ndio watakao ulisi ufalme wa mbinguni, hakuna damu ya mwanadamu itakayo weza kulipia adha ya mapito ya mwanadamu, utekaji, mauaji, damu ya wanaharakat, wanasiasa na watu wa kawaida isipokua damu ya Yesu tu
This is very bad for Kenya government and East African countries at all
no safety in Kenya now
The one involved is BROWN DIDON KARANJA. Look no further, he is the one with the connections and he is the one who knows us both and he is the one who has been CAUSING troubles for me and it is a spiritual warfare.... with a POLITICAL GAIN perspective.
Wabongo na kiingereza 😂😂
Sion mic ya wachafuuuu😅😅
😅😂😂
Kwaiyo kiswahili hajui au
Huyo Kiswahili anajua huyo ni Kenya na huyo binti ni Mjaluo na Mzungu wewe humuoni kuwa ni damu mchanganyiko
@margarethpolepole7438 sianaishi Tanzania kwaiyo km nimjaruo na mzungu ndio aongee kingeleza bona huwa nasikia kwenye arakati zake anaongea kiswahili mnatuchanganya ambao atujui king
Kingereza hata kucomment tunashindwa, dah
😂😂😂😂😂😂😂tusomeni walau tumalze fom 4 jameni, maana tunakosa taarfa za msingi kbsa
Mungu mwema umepatikana ni mzima.
Siasa mchezo mbaya Kwa wale wasio wanasiasa. Hata tumesikia kua NONDO katekwa
Lini
What a circus !
Dada kumbuka watanzania wezako tumejifunza pazi Hana miguu mingapi dada
Wee Said wewe
Kaole group
So many back ground noise
The whole story is a fantasy, showing that the kidnappers had no place to take you and that's why they wanted to finish everything in the car. Normally, the kidnappers would have wanted to take you to a safe place.
What language was used with the police or thugs?
KAMA UTAONA HILI TUKIO NAMNA UTEKAJI ULIVYOFANYIKA NA KINACHOENDELEA SASA HIVI, ITOSHE KUSEMA HII NI KIKI KUJITAMBULISHA KWA HAO ANAOWAPA HUJUMBE HUU.
Usikute ni kick za siasa yule aliyekua anamrekodi wakati anatekwa
Inawezekana ni wewe ulitumwa na mabosi wako
Kwani wewe kiingereza huelewi? Waandishi wenyewe wanapiga ng'eng'e, kama ulikimbia shule basi uwe mpole tu.
Kwa hiyo uliwashinda nguvu au ni wao waliona Huna kingine zaidi
Hakika mungu aendelee kukulinda. Hivi hawa watekaji wanazo kweli?
Sema kibaraka
More proper to use English, so that the messge can easily cross borders😂😂
Huyu atakuwa hawaelezei watanzania manake kingereza na sisi kifo na usingizi
Speak for yourself sio watanzania wote hawajui kiingereza kama wewe hakupandi usishirikishe kila mtanzania 😂
Sio sisi, wewe tu, hapa yai lipo kama la mbuni,
Kbs mkuu sasa apa tupo tanzania kiingeleza cha nn sasa elimika usiwe msomi
@@JosephLadisilaus labda wewe ndio uelimike mkuu hicho kiingereza ni unofficial language maofisini na pia walengwa walikuwa watu wa mataifa tofauti. Kiswahili chenyewe unachokililia hujui kuandika kifasaha. Ushauri wa bure , kwa huu utandawazi kwa Sasa usilazimishe sana vitu viwe according to your views this is the internet try to be neutral
@@JosephLadisilaushayupo Tanzania na kaongea kingereza kwasababu anahijiwa na vyombo vya habari vya kimataifa
Si uonge kiswahili kwani mabwana zako wa kizungu watakuelwa tu 😂😂😂
Acha makasiriko, tafuta mfasiri
Kma elimu ziro kaa ucmuliwe mwenyewe c ulikimbilia kudanga!!
@@abasiachimika541Labda mama yako ndo mdangaji msenge wewe
Huna akili. Pumbafu kabisa!
Wewe mwenye kiswahili unataka kumsaidia? Nenda shule