MANENO YA ANGEL YAMTOA MACHOZI ZUCHU BAADA YA KUPEWA GARI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 60

  • @ZawadyKapitagwa
    @ZawadyKapitagwa หลายเดือนก่อน

    Yupo vizuli sana zuchu mungu amjalie sana

  • @JoabJacob-wn7hg
    @JoabJacob-wn7hg หลายเดือนก่อน

    Sister Zuu congratuation ,,,,, nakupa pigUp🎉❤❤❤❤

  • @QuincyMarion-iv9cm
    @QuincyMarion-iv9cm 2 หลายเดือนก่อน +5

    N vizuri kujieleza .....mwanadada huyu nampenda bure...zuchu siku zote❤❤❤🎉

  • @IreneLuvanda-t9v
    @IreneLuvanda-t9v หลายเดือนก่อน

    Zuchu azidishiwee sanaaa na mungu amenifurahisha sanaa amenibarikii mnoo

  • @kemmymartine4884
    @kemmymartine4884 2 หลายเดือนก่อน +7

    Congrats ccy
    Mungu akubariki piaa zuchu❤

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc 2 หลายเดือนก่อน +11

    Zuchu sai ni East African Sweetheart ❤❤❤❤

    • @Kwazulu1
      @Kwazulu1 2 หลายเดือนก่อน +1

      Zuchu umemupa au Diamond kamupa?

  • @bonfacemadangi3744
    @bonfacemadangi3744 2 หลายเดือนก่อน +1

    God bless this lady, Angela amefanyia konde kazi na hakumsaidia but zuchu ako na ubinadamu

  • @IBALMO
    @IBALMO 2 หลายเดือนก่อน +12

    Iyo ndio roho ya utu Sasa mungu azidi kumfunguli milango ya kheri zuhura

  • @MiryamSleiman
    @MiryamSleiman 2 หลายเดือนก่อน +5

    Mashaa Allah mungu am barikii zuchuu wetu

  • @zaitunikivike4720
    @zaitunikivike4720 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuzidishie kila la heri ulipotoa mungu akuongezeee zuchu

  • @JamesPaliya-x6y
    @JamesPaliya-x6y หลายเดือนก่อน

    Zuchu mungu akuongezee,,,, una roho nzuli sana kati ka wasanii wengi

  • @FurahaEdimond
    @FurahaEdimond 2 หลายเดือนก่อน +7

    Mungu akuzidishie zuchu

  • @JamalKhan-le9ud
    @JamalKhan-le9ud 2 หลายเดือนก่อน +8

    Hongera kwa Zuchu❤❤❤❤

  • @RehemaAbdalla-m9q
    @RehemaAbdalla-m9q 2 หลายเดือนก่อน +6

    Zuchu, mwanetu MUNGU Akutangulie kila jema liwe jema mara Saba wa sabini, na baya liwe nyuma mgongoni kwako lisikufike ABADAN🤲🤲

  • @ClarisseMla-s5g
    @ClarisseMla-s5g 2 หลายเดือนก่อน

    mungu ahendeleeh kumlinda zuhura kwakuwa kutowa ni moyo, hata kama ukiwa nakidogo ukiwa na moyo wa kupana utapana tuh

  • @MasumbukojumaKazimoto
    @MasumbukojumaKazimoto หลายเดือนก่อน

    Mungu akuzindishie ulipo toa na uendelee na moyo huo

  • @MoosaMd-h6b
    @MoosaMd-h6b 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe dada myangazaji wa Mbendo Tv acha uchonganifu. Wewe ni mtu mbaya sana hata Mungu hapendi watu wachonganifu. Heri wapatanishi maana hao wataitwa Wana wa Mungu. Umekalia kumuuliza aongee vibaya.

  • @Victoria-bv6xu
    @Victoria-bv6xu 2 หลายเดือนก่อน +2

    God bless you zuchu💕🙏

  • @tegemeakyangenyenka6111
    @tegemeakyangenyenka6111 2 หลายเดือนก่อน +1

    Zuchu baraka zitazidi kumiminika kwako,wewe ni bint wa kipekee,Mungu azidi kukufungulia milango

  • @MasumbukojumaKazimoto
    @MasumbukojumaKazimoto หลายเดือนก่อน

    Mungu akuzindishie ulipo toa na uendelee na moyo huo 4:07

  • @ZaituniZaituni-v4i
    @ZaituniZaituni-v4i 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hongera sana zuchu

  • @sautikaliitz934
    @sautikaliitz934 2 หลายเดือนก่อน +5

    Hongera zuchu

  • @AnsifridaProtas-h4b
    @AnsifridaProtas-h4b 2 หลายเดือนก่อน +6

    Ubarikiwe ulipo toa uzidishiwe

  • @MageuziSinkala
    @MageuziSinkala 2 หลายเดือนก่อน +7

    ❤❤❤❤zuchu apewe maua yake

  • @Vailetkagau
    @Vailetkagau 2 หลายเดือนก่อน +1

    Zuuu apewe mauwa yake 🎉🎉🎉

  • @ghhhhy1812
    @ghhhhy1812 2 หลายเดือนก่อน +1

    Zuchu mungu akulip dad

  • @LukusaFrank-dg1ib
    @LukusaFrank-dg1ib 2 หลายเดือนก่อน +1

    Thank you zuchu

  • @AbasHussein-l2i
    @AbasHussein-l2i 2 หลายเดือนก่อน +1

    Congrats zuchu

  • @dullahman8673
    @dullahman8673 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mi huw nauliza hao wandishi huw wanatokag wapi

  • @monicasimpilu6257
    @monicasimpilu6257 2 หลายเดือนก่อน +2

    Muheshimu aana Zuchu ni zaidi ya ndugu peace

  • @RechaelEasily
    @RechaelEasily 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hayo mafuta sasa😂😂😂 inakunywa maguta Kama bia

  • @dullahman8673
    @dullahman8673 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kwni hao waandishi huw wanatoka wapi

  • @ArabiDua-ct8bl
    @ArabiDua-ct8bl 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona hatujalyona kadi anakabiziwa au kakopeshwa

  • @TabithaHamis
    @TabithaHamis 2 หลายเดือนก่อน +1

    Uwe na moyo huo zuuu

  • @zepinashatibu5149
    @zepinashatibu5149 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wcb washamchukua huyo

  • @Hawatito
    @Hawatito 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ila waandi wa habari 😅😂

  • @JoyceMhina-i4e
    @JoyceMhina-i4e หลายเดือนก่อน

    Sio hela. Ya kuchezea huo ni upendo tu

    • @khadjamhozya
      @khadjamhozya หลายเดือนก่อน

      Umeonae kauri mbaya

  • @abdulkabalundi3212
    @abdulkabalundi3212 2 หลายเดือนก่อน

    Kiukweli ni jambo nzur but ume cha gua gar mbaya

  • @DianaHenry-x1h
    @DianaHenry-x1h 2 หลายเดือนก่อน

    Nimefurahi kuliko wote

  • @pastorjully3657
    @pastorjully3657 2 หลายเดือนก่อน

    It was arranged

  • @kemmymartine4884
    @kemmymartine4884 2 หลายเดือนก่อน +1

    Roho mt,😅😅😅😅ila dd

  • @Rose-ue2ho
    @Rose-ue2ho 2 หลายเดือนก่อน +3

    Bado asaidiwe Hawa Nitarejea pia maskini ana sauti mzuri na anahitaji msaada

    • @Shuu.A
      @Shuu.A 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hee huyo msaidie weye wabongo mmezidi tena kila anachofanya hamna kheri

    • @Rose-ue2ho
      @Rose-ue2ho 2 หลายเดือนก่อน

      @@Shuu.A mbona umepanic bibi shuu?? Mimi nasema asaidiwe na Hawa pia na yeye anahitaji msaada.. Kama umekusudia wabongo hamna kheri hilo neno lako kuwasema wabongo.

    • @Shuu.A
      @Shuu.A 2 หลายเดือนก่อน

      @@Rose-ue2ho hawa asaidiwe na dimond wala sijapanic

    • @agneshishi5242
      @agneshishi5242 2 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa na Hawa anahitaji msaada

  • @AnsifridaProtas-h4b
    @AnsifridaProtas-h4b 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna watu wanaitaji msahada zaidi

    • @fatmaally7252
      @fatmaally7252 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kwaiyo unataka kusemaje ndugu yangu

    • @AnsifridaProtas-h4b
      @AnsifridaProtas-h4b 2 หลายเดือนก่อน

      @@fatmaally7252nasi watuone

    • @Detopnotch256
      @Detopnotch256 2 หลายเดือนก่อน +2

      Kila mtu na bahati yake

    • @AnsifridaProtas-h4b
      @AnsifridaProtas-h4b 2 หลายเดือนก่อน

      Sema ndoivo kipenzi

    • @graceamadi1096
      @graceamadi1096 2 หลายเดือนก่อน +1

      Naomba uwe wakwanza kusaidia hao wanaohitaji msahada zaidi

  • @MrSaimoni
    @MrSaimoni 2 หลายเดือนก่อน

    Uyo dem anapend kusaidiwa 3:32

    • @graceamadi1096
      @graceamadi1096 2 หลายเดือนก่อน +1

      Heri wakusaidiwa kuliko wakuiba. Tumuombee aweze kujitegemea maana shida inaweza kukufanya usaidiwe and why not. Chamuhimu Mungu ambariki Zuchu kwakumusaidia mwenzake

    • @chrisbertrandnyamusa9549
      @chrisbertrandnyamusa9549 2 หลายเดือนก่อน +2

      Kama selekali yenyewe inasaidiwa , yeye ni nani asisaidiwe?

    • @MohamedMkota
      @MohamedMkota 2 หลายเดือนก่อน +2

      Bora kusaidiwa. Kuliko kudanga

    • @khadjamhozya
      @khadjamhozya หลายเดือนก่อน

      Wewe hupend nawkati fukara

    • @khadjamhozya
      @khadjamhozya หลายเดือนก่อน

      Nawewe unapenda SEMA umekosa msada kapuku fukara wewe😅😅😂🎉