Wasiwasi - Rayvanny (Saraphina Michael Cover)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 90

  • @SupremeCryptos
    @SupremeCryptos 6 หลายเดือนก่อน +4

    Kama unasikiliza sauti hii 2024 gonga like

  • @bizzokidnicho2212
    @bizzokidnicho2212 4 ปีที่แล้ว +41

    Kama umeelewa sauti ya SARAPHINA MICHAEL kama mm hapa gonga like twende sawa

  • @rozamabagara3491
    @rozamabagara3491 3 ปีที่แล้ว +2

    Ulishinda kwa uhalali kabisaaa

  • @clestngyua4781
    @clestngyua4781 2 ปีที่แล้ว +2

    I wish you were a gospel artist, you can change and mend the broken hearts and even give hope to the hopeless persons .just love your voice

    • @PrinceDurqsome_254
      @PrinceDurqsome_254 9 หลายเดือนก่อน

      There are a lot of good gospel artist,aren't they enough to mend your broken hearts? Leave @phina to us people of the world

  • @joanitormohammed6049
    @joanitormohammed6049 3 ปีที่แล้ว +3

    Nan kasikia saut ya mke wa Rotim 😘😘😘😘

  • @esthershabani1842
    @esthershabani1842 4 ปีที่แล้ว +2

    Thanks mummy Kwa kuanza kama nilivyo taka saut amazing dogo nakwambiaga we ni hataree

  • @royalrobin3164
    @royalrobin3164 5 ปีที่แล้ว +15

    WOOOOOOW you just gave me goosebumps allover my body

  • @reginakagiri102
    @reginakagiri102 4 ปีที่แล้ว +3

    That voice is not truly bad keep it up

  • @kaylallana3890
    @kaylallana3890 4 ปีที่แล้ว +3

    Wew amazing saana yaan unajua dada

  • @josejohnhalindogo8336
    @josejohnhalindogo8336 4 ปีที่แล้ว +4

    Play it at x1.25 and enjoy this beauty.

  • @Rayman077
    @Rayman077 4 ปีที่แล้ว +3

    Duuh hatar 🔥😘

  • @mdolaivy4581
    @mdolaivy4581 5 ปีที่แล้ว +8

    dope. i would prefer it without the gesture though nice work😍

    • @lilianowino7519
      @lilianowino7519 4 ปีที่แล้ว

      NOT ALL SONGS HAVE TO BE FAST,DEPENDS WITH YOUR LIKING,THIS IS BEAUTIFUL

  • @jodbmsafiz-tz7041
    @jodbmsafiz-tz7041 4 ปีที่แล้ว +2

    Verry nice saraphina amazing voice

  • @victorvictormtenga406
    @victorvictormtenga406 3 ปีที่แล้ว +4

    So perfect ❤️

  • @immaminja9964
    @immaminja9964 4 ปีที่แล้ว +1

    Kizazi mzee baba nimeeelewa👏🏾👏🏾

  • @saidmohamud9319
    @saidmohamud9319 5 ปีที่แล้ว +6

    Absolutly beautiful 👏🏼

  • @valentineotuma1378
    @valentineotuma1378 5 ปีที่แล้ว +4

    Sweet voice

  • @bryandavd4741
    @bryandavd4741 4 ปีที่แล้ว +1

    very good risk saraphina i.e. just like yours woyoooo

  • @regnamathias8214
    @regnamathias8214 4 ปีที่แล้ว +1

    Jaman uyu Dada nimempenda bure nimeona status za watu nimemtafuta uku anaitwa nan nimempenda bureeee

  • @reshmamzava2934
    @reshmamzava2934 3 ปีที่แล้ว +1

    Such kinda of voice bby just keep it up

  • @fediccarly4240
    @fediccarly4240 5 ปีที่แล้ว +3

    Nice cover... Vocals on point

  • @IAMPHILIPPOL.
    @IAMPHILIPPOL. 5 ปีที่แล้ว +12

    Nakupenda sana

    • @hatamimnimempendabulejaman1596
      @hatamimnimempendabulejaman1596 3 ปีที่แล้ว

      Hata mimi nampenda uyu dada hatar sana yupo juu halafu Leo ndo naona kava zake kumbe ana kava. Now magret na yusufu wanakimbiza

    • @hatamimnimempendabulejaman1596
      @hatamimnimempendabulejaman1596 3 ปีที่แล้ว

      Niliipenda Ile nyimbo yake mpenzi wee usiwe na mashaka nitanena nawe watu waliipenda kumbe Kuna, mkaka niliona naye alikuja iimba

    • @hatamimnimempendabulejaman1596
      @hatamimnimempendabulejaman1596 3 ปีที่แล้ว

      Nzur Ile nyimbo zake

  • @Clex-f5s
    @Clex-f5s 4 ปีที่แล้ว +2

    Great waiting for thy songs

  • @monicashairi5837
    @monicashairi5837 4 ปีที่แล้ว +2

    Amazing

  • @rhodaaron9351
    @rhodaaron9351 5 ปีที่แล้ว +3

    So sweeeeeeeettt

  • @ajaisombmooiboy5674
    @ajaisombmooiboy5674 2 ปีที่แล้ว +2

    Nice song

  • @marykauta7156
    @marykauta7156 3 ปีที่แล้ว +2

    Nice one

  • @mohamedsenga3801
    @mohamedsenga3801 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥

  • @latifakipange4293
    @latifakipange4293 3 ปีที่แล้ว +2

    I like that😍😍😍 like V. Money

  • @frolasankala418
    @frolasankala418 5 ปีที่แล้ว +2

    Wooooooooooooow😘

  • @Michaeljulius213
    @Michaeljulius213 4 ปีที่แล้ว +3

    I appreciate

  • @deedaivy3655
    @deedaivy3655 5 ปีที่แล้ว +3

    De second verse tho♥️🍟

  • @mexsuperdream1073
    @mexsuperdream1073 4 ปีที่แล้ว +2

    nakukubali sara unasauti nzur xanaaaa

  • @roman2270
    @roman2270 4 ปีที่แล้ว +5

    Kama vanessa hizo melody

  • @fedyrunya2130
    @fedyrunya2130 5 ปีที่แล้ว +9

    Unaweza tatizo umevuta sana

  • @stellathomas4126
    @stellathomas4126 5 ปีที่แล้ว +2

    Nice

  • @fettyhance5387
    @fettyhance5387 4 ปีที่แล้ว +1

    Uko vizuri

  • @ecbtvtanzania6489
    @ecbtvtanzania6489 2 ปีที่แล้ว +1

    Good

  • @johnmaganga6670
    @johnmaganga6670 4 ปีที่แล้ว +3

    unajua mdada sio kwa saut hyo

  • @Jiressethaliva
    @Jiressethaliva 3 หลายเดือนก่อน

    Uyu nimwisho

  • @veronicajohn6590
    @veronicajohn6590 4 ปีที่แล้ว +2

    😍😍😍😍😍

  • @annachales9623
    @annachales9623 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sana

  • @ndochcytrax6290
    @ndochcytrax6290 5 ปีที่แล้ว +2

    Waooh

  • @salomesemkiwa2675
    @salomesemkiwa2675 5 ปีที่แล้ว +2

    unajua mpaka unaboa

  • @mtanafaijala7183
    @mtanafaijala7183 5 ปีที่แล้ว +4

    Ongera sauti nzur saan

  • @bravosala8872
    @bravosala8872 3 ปีที่แล้ว

    Wooow

  • @essygeox6469
    @essygeox6469 5 ปีที่แล้ว +1

    Safwiiiiiiiiiiiii

  • @PreciousT10
    @PreciousT10 4 ปีที่แล้ว +1

    MBIO ZA SAKAFUNI HUISHIA UKINGONI
    SI TU KUWA NI AIBU LAKINI INAKATISHA TAMAA
    nakumbuka juzi nilikuwa nimekaa na mmoja kati ya washiriki wa shindano la BSS mwaka 2018 zikaanza stori za hapa na pale ingawa si mdau mkubwa wa muziki lakini ninafurahi kuona muziki nchini umekuwa ukitoa ajira kwa vijana wenye talanta walizopewa na Mungu nikaanza kumuuliza maswali nakumbuka swali la kwanza kumuuliza lilikuwa je huna mpango wa kurudi katika shindano la BSS kwa sababu hata meshaki mwanzo hakushinda lakini awamu hii amekuwa kinara vipi wewe una mpango gani..? Akanitazama kisha akaniita "Tito" wengi hamuujui tu ukweli lakini tunaojua hata kwa bunduki siwezi kurudi ikabidi nimakinike katika usikivu akaendelea ukweli ni kuwa kuna mambo mengi yako mle lakini hayasemwi akaniambia hivi unajua hata wakati wa mahojiano na vyombo vya habari (interview) tunaelekezwa mambo ya kuongea mimi akabidi nigune kidogo kisha akaendelea ukweli ni kuwa mashindano haya ya BSS kiukweli yana ukakasi kwanzia uendeshaji wake mpaka kupatikana kwa mshindi aliposema hili nikazama katika lindi kubwa la mawazo nikaanza kujiuliza hivi mashindano haya tangu yameanza kwanini washindi hawafanyi vizuri katika tasnia ya muziki hapa kwetu ili hali wakati wa mashindano wanaonekana kuwa ni wenye uwezo mkubwa kuliko hata wakubwa walioko ndani ya tasnia ya muziki Je ni zile nyimbo za watu wengine wanazoziimba badala ya kuimba zao au ni kule kumsikia kayumba akiimba vizuri remix ya wimbo wa UKIMUONA wa christian bella na kuimba kama bella mwenyewe kisha bella kumpa minoti na kusahau kuwa tunataka kipaji cha tofauti siyo copy ya kile kilichopo yaani christian bella ndani ya kayumba au tatizo ni kuwa support kwa washindi kutoka kwa wadau wa muziki inakuwa ndogo au nini hasa tatizo wakati BSS ni ni platform kubwa hapa nchini au tatizo ni Khamis BSS kumliza madam RITHA
    ghafla tena naisikia sauti ya yule mshiriki aliyekuwa ananihadithia kuhusu BSS akisema hapa kuna mbu wengi ngoja nikanunue mshumaa niingie ndani kwa kutokumakinika kwangu kwa sababu ya dimbwi la mawazo kuhusu nini hasa chanzo cha washindi kutokufanya vyema nikajikuta namwambia marhaba ghafla nikashtushwa na kicheko chake namuuliza mbona unacheka akaniambia nilichosema na ulichojibu haiendani nikacheka na kuingia ndani yeye akaelekea dukani wakati naingia ndani nikakutana na rafiki yangu mtangazaji wa vipindi vya burudani hasa muziki kabla sijamsabahi nikamtupia swali hivi kwanini washindi wa BSS hawafanyi vizuri kama tunavyotegemea ni nini tatizo yuko wapi saraphina yuko wapi paschal kassian mbona havumi kama harmonize wakati yeye anajua kuimba kuliko harmonize kwa mujibu wa BSS wakati huo huo nikamkumbuka asangwile mwimba nyimbo za injili nikatabasamu namna alivyomiliki jukwaa la BSS 2018 siku moja akiwa kavalia wigi lake na kuuimba wimbo wa sina makosa nikampa kongole la kimoyo moyo wakati nayawaza ya asagwile yule mtangazaji akaniambia hata mimi najiuliza ila sielewi nini tatizo basi bwana nikaachana nae nikajipa muda wa kupata majibu nikadhani huenda saraphina pengine atakuwa na majibu juu ya hili lakini nitampataje nikasema anyway ngoja CORANA ipite nitamtafuta nisije msumbua huenda yuko karantini au yuko busy anaandaa cover nyingine kama ile ya wasi wasi niliyoipenda kuliko hata wimbo wa rayvanny sijui ni kwababu aliyeimba ni wakike ama tu kaimba vyema kuliko mbeya boi lakini saraphina mama kama unanisikia hebu nijuze kwanini hujatoa nyimbo zako na zile pesa zote M 50 kweli mpaka leo hujatoa hata songi moja tu aaah unaniangusha ulipoimba wimbo wa njiwa vizuri sana nikabaki naisubiri kazi yako ambayo ni tamu zaidi ya njiwa lakini mpaka sasa nimekata tamaa we unaimba za wenzio tu anyway si kesi pengine umeamua hivyo au BSS ndivyo ilivyokujenga hivyo lakini leo umenishtua na ile caption yako ya leo katika ukurasa wako wa instagram nakunukuu " THE TRUTH WILL ALWAYS COME OUT...🙌🙌 @meshamazing
    They say “if you stand for the truth, you always stand alone”..but not this time my brother, i have your back🙏" nini kimekukuta mshindi wetu wa BSS umeandika haya baada ya meshaki kwenda mbele ya vyombo vya habari na naibu waziri wa habari sanaa tamaduni na michezo pia alikuwa mgeni rasmi katika hitimisho la mashindano ya BSS mwaka jana na meshak kuibuka mshindi aliyeahidiwa Milion 50 huku 30 zikiwa za kusimamiwa kikazi na 20 ambazo atapanga mwenyewe matumizi yake lakini hadi sasa hivi SARAPHINA ninapoandika haya meshak anadai kalipwa milion moja tu sasa najiuliza vipi wewe NJIWA wako wamekupa wote au wamekupa kipapatio tu nadhani mrisho mpoto akinipa nauli nitakuja tuzungumze uniambie nini hasa ulimaanisha katika andiko lako
    Anyway jambo la msingi ni hili kwa waandaji wa shindano hivi mliwezaje kuandaa shindano ambalo hamjui hatima za malipo kwa mshindi
    Je hili la meshaki na naibu waziri leo kwa vyombo vya habari mtatuambia nini watanzania ili mkija na shindano hili tusipate ukakasi kuwaruhusu vijana wetu kuja kushiriki katika shindano lenu
    Na je mtarejeshaje imani ya vijana kuwa platform yenu inalenga kweli kuwainua vijana ili hali SARAPHINA na njiwa wake hatuwaoni tena katika muziki si yeye tu na wengine
    Je hamuoni kuwa kumbe bila BSS tunaweza wapata vijana kama harmonize na kalah jeremiah kwa sababu hatuoni matunda tarajiwa kutokana na BSS
    Na hili la meshaki mnataka kutuaminisha nini
    Natumaini katika hili mtachutama
    #Think_high

  • @bryandavd4741
    @bryandavd4741 4 ปีที่แล้ว +2

    😍👌👏

  • @aldenyfude1738
    @aldenyfude1738 4 ปีที่แล้ว +2

    Unajua

  • @AdamsKronicles
    @AdamsKronicles 3 ปีที่แล้ว +1

    Angeimba the female version badala ya kusema mama instead use babaa

  • @KelvinEmersonSteven
    @KelvinEmersonSteven 5 ปีที่แล้ว +1

    Nice mumy keep moving

  • @irenminja2870
    @irenminja2870 4 ปีที่แล้ว +1

    Nice cn dada

  • @agathaalphonce8268
    @agathaalphonce8268 4 ปีที่แล้ว +1

    Dada upo vizur hdi raha

  • @didaseustard9045
    @didaseustard9045 4 ปีที่แล้ว

    Vanessa mdeee nakupenda saut yake

  • @lawijayy9735
    @lawijayy9735 5 ปีที่แล้ว +5

    Aaaaaaaaww💞💞💞💞❤👌👌😂

    • @mauwayalala9908
      @mauwayalala9908 5 ปีที่แล้ว +1

      You have to like the song that's my favorite song in the world that's my favorite song so I can win every every day when I'm going to bed I always listen to the song cuz the song give me a lot of things to remember it. Thanks thank you guys then don't forget to subscribe like and share♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️love you guys

  • @elishangoma8235
    @elishangoma8235 4 ปีที่แล้ว

    Duuh unaimba mpaka unaboa yani unawezaje kuwa mkali hivyo asee dah

  • @risperladee5718
    @risperladee5718 5 ปีที่แล้ว +7

    Sweety sio kwa ubaya but nahhh..I mean why are you singing like its your own rendition?..no thanks..

  • @hosenihasani2873
    @hosenihasani2873 2 ปีที่แล้ว

    bado chukua mazoezi

  • @rogathemassong1788
    @rogathemassong1788 2 ปีที่แล้ว +1

    rotimi's wife typically

  • @ladynaymaemmanuel1996
    @ladynaymaemmanuel1996 4 ปีที่แล้ว +2

    Like vanessa mdee

  • @emmanuelandrew9941
    @emmanuelandrew9941 4 ปีที่แล้ว

    Saut unayo mama
    Tatizo uimbaji wako cjaupenda unaimba kama unataka kuongea???? No bana increase speed

  • @constantinemanyanda6667
    @constantinemanyanda6667 4 ปีที่แล้ว +10

    She has incredible voice but most of her covers anaimba soo slow feels like she just talking

    • @josephnortey3372
      @josephnortey3372 4 ปีที่แล้ว +1

      What is anaimba

    • @kefrinenjuguna6514
      @kefrinenjuguna6514 3 ปีที่แล้ว

      Because that's her style of doing covers
      You should be unique in your own way

  • @monicasalo9205
    @monicasalo9205 4 ปีที่แล้ว +1

    Yani mpaka nimechoka kusikiliza kha ☹️, uimbaji gani mpaka tunalala 😅😅

  • @alicembeyu6688
    @alicembeyu6688 3 ปีที่แล้ว

    Sauti tamu Sana sarafina

  • @pilicharlie4406
    @pilicharlie4406 3 ปีที่แล้ว

    Cornni

  • @mackmtata8277
    @mackmtata8277 3 ปีที่แล้ว

    Nitafute sara feceboob kama mack mtata tuyapange

  • @crownprince56
    @crownprince56 2 ปีที่แล้ว +1

    overdoing

  • @innocentndibanje6399
    @innocentndibanje6399 3 ปีที่แล้ว

    you pirated it by exagerating everything and finally abused it

    • @woas
      @woas  3 ปีที่แล้ว

      Well, different things for different people

  • @martinmingatu7574
    @martinmingatu7574 4 ปีที่แล้ว

    I couldn't even finish listening. Its damn pathetic. Not even close to the original version. Try again & avoid too much gestures

    • @woas
      @woas  3 ปีที่แล้ว

      Well taken care off, thanks for your comment.

  • @immanuelmsoma3530
    @immanuelmsoma3530 5 ปีที่แล้ว +1

    Nice