Flexx - Mimi na Wewe Official Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 มิ.ย. 2020
  • kiswahili song is about COVID-19
    Ndio mi na wewe tukue closer
    sasa hivi itabidi tuwe apart
    kwa sababu mwanadamu amekosa
    ndio sababu twasalimiana from far
    Ndio mi na wewe tukue closer
    sasa hivi itabidi tuwe apart
    kwa sababu mwanadamu amekosa
    ndio sababu twasalimiana from for
    hii covid imesababisha wengi
    wamefungiwa huko far
    sio tuu mina wewe
    bali ni dunia yote ime shutdown
    siati ni propaganda
    binadamu agonjeka dunia inapona
    hata ukiendea unga
    jaribu kukinga mwenye duka
    piga mask kwenye sura
    juu ata mwenye aka nayo hayuko sure
    kila mtu akue his brathers keeper
    tuwatoe masikini kwenye shida
    juu hii wingu ngumu inapita
    tujikinge tutafika
    natukifwata hizo advise
    lazima hii shida tutaiangamiza
    Ndio mi na wewe tukue closer
    sasa hivi itabidi tuwe apart
    kwa sababu mwanadamu amekosa
    ndio sababu twasalimiana from far
    Ndio mi na wewe tukue closer
    sasa hivi itabidi tuwe apart
    kwa sababu mwanadamu amekosa
    ndio sababu twasalimiana from for
    kumbuka vile berlin wall ilacome down
    eventually, ata hii pepo imefunga
    dunia itacome down itacome down
    wachenitushikanishe mawazo
    tuwakishe ulimwengu na mwangaza
    tuondoe hii giza inaangamiza watu, na mwangaza
    from county to county tusi back down
    sa ni time ya kupiga magoti bila ata lockdown
    tujaribu kuiangamiza
    kabla hijafika kipindi cha pili
    na wale wote imemaliza si siri
    juu tumewangusha sisi so
    kiswahili song is about CORONA
    Ndio mi na wewe tukue closer
    sasa hivi itabidi tuwe apart
    kwa sababu mwanadamu amekosa
    ndio sababu twasalimiana from far
    Ndio mi na wewe tukue closer
    sasa hivi itabidi tuwe apart
    kwa sababu mwanadamu amekosa
    ndio sababu twasalimiana from for
    hii covid imesababisha wengi
    wamefungiwa huko far
    sio tuu mina wewe
    bali ni dunia yote ime shutdown
    siati ni propaganda
    binadamu agonjeka dunia inapona
    hata ukiendea unga
    jaribu kukinga mwenye duka
    piga mask kwenye sura
    juu ata mwenye aka nayo hayuko sure
    kila mtu akue his brathers keeper
    tuwatoe masikini kwenye shida
    juu hii wingu ngumu inapita
    tujikinge tutafika
    natukifwata hizo advise
    lazima hii shida tutaiangamiza
    Ndio mi na wewe tukue closer
    sasa hivi itabidi tuwe apart
    kwa sababu mwanadamu amekosa
    ndio sababu twasalimiana from far
    Ndio mi na wewe tukue closer
    sasa hivi itabidi tuwe apart
    kwa sababu mwanadamu amekosa
    ndio sababu twasalimiana from for
    kumbuka vile berlin wall ilacome down
    eventually, ata hii pepo imefunga
    dunia itacome down itacome down
    wachenitushikanishe mawazo
    tuwakishe ulimwengu na mwangaza
    tuondoe hii giza inaangamiza watu, na mwangaza
    from county to county tusi back down
    sa ni time ya kupiga magoti bila ata lockdown
    in order for us to be together lazima tukuwe apart
    kwa sababu wote tume kosa kosa
    mimi na wewe
    in order for us to be together lazima tukuwe apart
    kwa sababu wote tume kosa kosa
    Ndio mi na wewe tukue closer
    sasa hivi itabidi tuwe apart
    kwa sababu mwanadamu amekosa
    ndio sababu twasalimiana from far
    Ndio mi na wewe tukue closer
    sasa hivi itabidi tuwe apart
    kwa sababu mwanadamu amekosa
    ndio sababu twasalimiana from for
  • เพลง

ความคิดเห็น • 24

  • @paulineirungu5423
    @paulineirungu5423 3 ปีที่แล้ว +1

    Nice song...Lovely

  • @johngin9227
    @johngin9227 ปีที่แล้ว

    Flexxxx tamu sanaaaa

  • @etv8458
    @etv8458 3 ปีที่แล้ว

    iko ndaani ndani

  • @lilianisumba8735
    @lilianisumba8735 3 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥😍😍lit baya sana aki flex usipote tena walai,big up for the good work 🙏😍🎉🎊👌

  • @zadockmalika2352
    @zadockmalika2352 4 ปีที่แล้ว

    💯🔥🔥🔥🔥

  • @beast63254
    @beast63254 3 ปีที่แล้ว

    Iko poa

  • @etv8458
    @etv8458 3 ปีที่แล้ว

    inatesa kutesa

  • @addydoc
    @addydoc 4 ปีที่แล้ว

    Welcome back

  • @thewamaesfamily826
    @thewamaesfamily826 4 ปีที่แล้ว +4

    What a beautiful song song flexx keep it burning

  • @KENDIKENYAREALITY
    @KENDIKENYAREALITY 4 ปีที่แล้ว +3

    Flexx welcome back 👏👏👏

  • @johnkiragu7793
    @johnkiragu7793 4 ปีที่แล้ว +3

    Finally ni flexx hauskii .💯🔥good work bro

  • @kevinogechi9137
    @kevinogechi9137 4 ปีที่แล้ว +4

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤I love this song .

  • @schekz
    @schekz 4 ปีที่แล้ว +2

    Kitu fiti bro! Big up.

  • @mckefa1517
    @mckefa1517 4 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥big Ope flexx manze... Nice one ☑

  • @musicaquantica1874
    @musicaquantica1874 4 ปีที่แล้ว

    flexx

  • @paulmwangingugi8260
    @paulmwangingugi8260 4 ปีที่แล้ว +1

    Informative. Welcome back

  • @peterkipkoechgooner1125
    @peterkipkoechgooner1125 4 ปีที่แล้ว +1

    Finally, after Nyundo

  • @kevinogechi9137
    @kevinogechi9137 4 ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤

  • @KendiKiremi
    @KendiKiremi 4 ปีที่แล้ว +1

    Flexx welcome back.... beautiful song👏

  • @Songsandsermonstv
    @Songsandsermonstv 4 ปีที่แล้ว +2

    ❤❤
    ❤nothing but love for this thoughtful and educative song.❤
    ❤❤keep doing what you doing

    • @FlexxKenya
      @FlexxKenya  4 ปีที่แล้ว

      Thanks dear ♥️ ♥️♥️

  • @collinsonyancha3824
    @collinsonyancha3824 4 ปีที่แล้ว +1

    good job