Muguka farmers, traders & leaders hold demonstrations in Embu against Muguka ban in Mombasa & Kilifi
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 25 พ.ค. 2024
- Embu leaders and Muguka farmers have called on President William Ruto and his deputy Rigathi Gachagua to intervene in the Muguka ban by Mombasa and Kilifi Counties saying it is politically motivated.
Led by the Deputy Governor Kinyua Mugo, Women Rep Double N, and Members of the Couty Assembly the farmers and traders who held a peaceful demonstration along the busy Embu highway protested the Muguka ban by the two coastal Counties.
The leaders called on President William Ruto and his deputy Rigathi Gachagua to intervene as they vowed to challenge the orders if not solved politically in court terming it unconstitutional.
Swali dogo tu kwani ni lazma iingie Mombasa na kilifi tafuteni soko kwingine
HATUTAKi uzeni kwenu
Chembelecho kwani nilazima mombasa migokaa hayo ok mombasa tumekataa siwauze huko huko kwao
Kwani mombasa ni nyanyako kenya yetu sote tutauza popote tunataka
Huyo gava wenu mwenyewe mkimbizi atatuambia nni
@@merimm6455 Ni mkimbizi wakutoka wapi ww waumwa na mavi mkimbizi ni ww utoke kwenu bara uje kwa watu wabara hamtaki kwenada kwenu mpaka mfie msa mpelekwe kwenu na sanduku. Hatutaki mgokaa uzeni kwenu
Mwajisifu kuuza mugukaa mwajenga sisi twavunja watoto wenu wasome sisi wetu waharibike ujinga acheni mbona mwanang'ania mombasa wakati kenya ni kubwa wapumbavu nyinyi kuleni na sima huo mugukaa wenu
Unaogea San wewe na ujui faida ya muguka,,
Kula wewe update faida yake sisi hatutaki@@JacksonMutinda-jw5qw
Nendeni mukauze kwenye masoko yenu Kisumu ama huko embu kelbu nyinyi
Kwani nyinyi munazaa watoto sisi tunazaa juma koma toeni visababu vya kutosha wacheni ujinga
Uzuri mwaandamana uko kwa Mugokaa😂😂
Ok sawa basi uzieni hku kwenu
🤣🤣🤣 pazaa sauti broo wakusikie. Kwao kidgo
😂😂
Wauzie watoto wao@@biishemzee6833
Kumamako kuma mtaro malaya wwe
@@merimm6455 kuma Ina Mamaako aliyetombaa na babako mpaka ukazaliwa ww
If only you would know how muguka has destroyed our children. our prayer is muguka to be banned in the whole country not only Mombasa. kwendeni uko
We don't need mugoka
Ufala acheni nyinyi mumetuzoea vibaya huo mugukaa kuleni nyinyi biashara zenu mbaya mwaleta msa tumeamka badawa yenu tumieni nyinyi wenyewe mafala
We fala unaogea nini
Waaaaahhhhh... This literally means that khat is being consumed in plenty in Coastal counties........
Wacheni ujinga kwani nilazima muzeee miraa Mombasa simamisheni magari hatutaki miraa Mombasa full stop.
Kma ni cash crop kuleni wenyewe au mtafute soko kwingine
Mambo ya regulations kuhusu miraa hatuwezi pitisha sheria. Mambo ya drags imeharibu vijana wengi. Pongezi Aisha jumwa pongezi kwako kwa vita dhidi ya miraa. Am LENSON BARAKA THOYA.
Why out of 47 counties. This is a business loss of 2/47 which is a very small market share to call for demonstrations.
mbona muguka pwani simuze hiko kwenu
Next ni miraa zitatoka zote miraa na mugokaa
Mama unatuletea story za jaba watoto wako wasome lkni wengine wale kitu hata mbuzi Hali na bado mnaita cash crop hiyo ni taka taka tupeni mbali limeni viazi na tomato cabege
ungeza sauti mungu asikie kilio yetu watu wa mombasa amini
Wacha jaba mbuzi ula mugoka chokora hii
@@merimm6455 kama mbuzi ywala mugokaa labda ni mbuzi binadamu eti ni cash crop pikia watoto wako lunch mkae mle takataka
Mama ni mamako kuna mamako amepotea nafanana na mamako huyu muchawi, takataka niunga namashidano
@@merimm6455 uzuri sijafuzwa kutukana matusi
Watu wa Embu think widely, you are not desperate .Let us find the business for miraa somewhere else.Kabla ipelekwe Mombasa hatukuwa tunauza miraa?.
Hiyo matawi pea mbuzi wale
Is it a must to sell in coastal areas
Wacha Mombasa na kilifi ata garisa na mandera isili yote, marsabit na isiolo yote hatutaki jaba kabisa
Kama kweli haina madhara mbona unasema humuwezi wapa mbuzi waka kwani majani hayo sikama nyamasi tu ama munajuwa 100% itawadhuru mbuzi kwa hizo dawa munazo weka kwa majani na changine kwa nini munalazimisha coast tu vile faida yenu kubwa iko huko kuliko huko bara
Kwani huku embu na meru hakuna watu.si wakule mugoka wao na sisi wa pwani watuachie mnazi wetu.
KAMA MUGUKA NI MINGI, KULENI NA UGALI AMA MTEMGENEZE KACHUMBARI NAYO.....HATA IMEFANYA HATUMWAGI
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Sawa tunawaletea maana nyinyi mbuzi zetu kwani iko nni nasisi ndo tuko kama wwe mwenyewe umesomeshwa na muguka alafu leo unaongea kama kuma inatobwa
hatutaki migokaa mombasa uzeni huko kwenu
Kama wao wanaandamana sababu ni biashara hata Mombasa pia wataandamana kupinga isiingie Mombasa na kilifi, kwale, taita taveta na lamu mkae na cash crop yenu
Very true bro. Cash crop ipi hata cocaine ni cash crop .
Hatuna haja Wacha watu wenu wakule ama c county Kenya ni nyingi mbone mungangane na Mombasa na kilifi....kwenu
Tutaju juma tatu maamuzi ya raisi wacho ubwakinyi
Kwani Ni lazima iuzwe pwani.
Nyinyi huko kwenu mnanufaika na Hilo zao ilhali vijana pwani wanaangamia na mugukaa,shenzi nyinyi
Shenzi pumbavu wakubwa kabisa, Laana kum shaitwan, na simulime muuze kwenu uko nilazima gani mlete pwani, atutaki uo ushenzi hayawani nyinyi F**k u hard, Sasa ndio tumejua mgokaa na miraaa inalimwa bara lakini hawana soko wanalotegea zaidi ya pwani wateketeze vizazi vyetu, Mombasa siyenu kwanza musiamshe yaliyolala tukaamsha ya Mombasa republic tumetulia lakini mikataba iliyotiliwa Saini na queen Elizabeth miaka mingi sana, hatutaki mgokaa
Ujinga wa Hali ya juu Haki yenu kwa ku lazimisha other provinces ambayo sio yenu
We mluyhia zima domo,,
Nowonder
Hakuna mgokaa coast 💯
Munalazima gani muuze msa muguka.
Wakauzie watoto.wao
Shida ni munauza kwa mashule
From 6:30pm … kujeni mikindani primary school you will get shops of miraa all round the school..
Hii ni haki.
Sio lazima muilete mombasa kwetu uzeni kwenu meru kwendeni
Kama miraa ni chakula nzuri chemusheni mukunywe supu.
Hio biashara uzieni kwenu mombasa hatutaki
Mbona hakuna tear gas leo hapa?police wako wapi!
Wadavida mupo😂😂 pandeni mkunde kwa wengi tutafune. Mikoka yao wale wenyewe
Humble your self madam boss
Uzieni huko kwenu kwani nilazima muunze mombasa wacheni kutafuta maneno bwana jureni kuzia huko kwenyu
Na wameru mukiungana na wa mugokaa na nyinyi munaenda nyote so you better keep off.
Nendene kortini hatutaki mugoka
Munajenga kwenu,munabomowa kwa benzene,kuleni wenyewe ama mubadilishe kilimo,sawa sawa,ama mupeleke TANZANIA
We koma kabisa ,Tanzania ipi wapeleke ,mwone na komwe lake kubwaa, pambaneni hukohuko
Achen hizo wakenya Miraah inamalza nguvu zakiume ungeni mkono amri yaviongoz wenu mtawakosa wajukuu zenu boy from tz one love majiran
Bro hawa wametuzoea kwa sababu hatuongei watu wa mombasa sisi twataka iwe kama tz hakuna miraa
Kabsa
Hata mfanye nini sisi tumekataa tuna sema hatutaki uuzaji na ulaji mugukaa kilifi, wakulima wa mugukaa tafuteni kingine chakuwasaidia😅😂
Fuga bakuli,ata wiki aiishi utaona miraa inaigia uko mombasaaa
We have 47 counties they should sell to others or export to Somalia and Yemen
Wacheni ujinga nilazima muuze coast? Kuleni nyinyi wacheni kutishia
Tutapita na ndege wacheni ufala tuuzieni viazi mugokaa kuleni wenyewe
Magavana muwe makini katika viwanja vya ndege plz mogakaa itupiliwe mbali
Sio lazima muuzie iyo kitu apa Coast uzeni huko huko kwenu shenzi sana
Mugokaa ni GMO mnatia dawa ikuwe haraka hyo ni takataka
Kwani Gorv wa Mombasa alipe yeye ndiyo aliwambia mupande. Round hii kila mtu atakula chenye anapanda.
Mukilazimisha na nguvu tunakuja kuchoma hizo gari za mgokaa hakuna kulazisha mgokaa ikuje pwani.
Wtoto wenu wanasoma wetuu wanakulamajani kwenni😮 nilazima uuzwee mombasa😂 hata nyinyi kasirikeni mkulee wenyewe 😊😊😊😊
Kwani ni lazima muuze kwetu Mombasa uzeni kwenu
Why demonsration kuleni we nyewe kama ni haki yenu na kama ni dhuluma.
mkule wenyewe mbona msikule wenyew
Upuzi tupu kuleni hio muguka peke yenu we want it burned in all counties hakuna kitu inasaidia lets grow something else if its for tradition just practice it there dont make our kids eats leafs like goats
Viongozi wamama , wa mombasa, walitoa mimba wakiwa shule, kweli hawawezi kuwa wanja wazito
Just listen to yourself
Ati nyinyi mnasomesha
Nyinyi mnajenga
Nyinyi mnapata hasara ya pesa
At nyinyi mnataka usaudizi wa rais cz nyinyi ni Mt Kenya owners of kenya
Boss for your information mogoka is a no country wide maunwa nyinyi mogoka ni sumu
Uzeni kwenu kuna watu pia sio lazima mombasa
Na ikijulikana ni mihadarati jee mtalipa
Usilete story za jaba ukitaka kusimamisha magari ya chuma na mabus funga wacha story za jaba
Kuleni mogokaa wenu huko kwenu
Hatutaki mugokaa kuleni nyinyi
kama mbaya mbaya,mutauza miraa kwenyu ama muhuzie Linduri. Alituzia mbolea mbaya akijua miraa aitaki mbolea. Muhuze miraa na migoka kwenyu. Maumbwa nyi. Mutauza hizo takataka uko kwenye mulipiga kura.
People nget power kitu gani. Chemsha ukule na ugali ama upeleke sugoi aipeleke USA
Sio lazima muilete mombasa kwetu uzeni kwenu meru kwendeni uko
Kwanini Mombasa si kwengi
Mwenye koti umesema mwenyewe kuwa mbuzi na ngombe Hawali ila mwataka watu wale nani cash crop hyo si cash crop hyo ni takataka toweni mlime tomato na viazi
Dhulma ni yenu nyinyi , munauza kitu ya kuangamiza binadamu . Pongezi mombasa, kilifi , subiri na Lamu .
😂hatutaki mugukaa Mombasa hio ni shidaayenu mkifunga Barbara wenye watapata shida ni wameruu juu hamtakujaa Mombasa fungeni bbara lakini hatuyakii mugukaa kwetuu kulenii wenyewe
Hata ukabani hatutaki
Muandamane Kisha muulize huko kwenu
Mwenye madevu na miwani eti kaunt zoote walaji Sana mugokaa ni Mombasa basi itaftieni soko kwingine s mwasema ni cash crop wapeni mbuzi na ngombe
Msitushie ati mtaenda courtin yaani mupande mimea yenu kwa kuuza ni kwa watu wa mombasa muharibu watoto wetu
Kwenu ni biashara but mjue kwa wengine ni kuaribu familia za wenyewe. Hizo vitu ziishe ni kama pombe.
mungekua munaongea huku mutafuna huo mugokaa governer wetu angewasikia kilio chenu wekeni mugokaa midomoni saai
Simuuze kwenu huko huko mule wenyewe .
Mombasa ni Abduswamad Nasir sio ya wameru
Mwawafanya wenu mazombi nyingi mwajijenga kuleni wenyewe
Mukiendelea tutaitisha majimbo
Pelekeni Tanzania,Uganda,Zaire,Zambia, South Africa na would world 🌎
🇹🇿 hatutaki kabisa kwa sheria zetu mogoka,mirungi zote ni dawa za kulevya ukikamatwa unasafirisha miaka 30
Kama ni chakula kama mahindi si mukule wenyewe.sasa nikulasimisia wengine.tafuta soko somalua kama ni mombasa sahau.
Wapeleke somalia
Kuleni wenyewe hatutaki tuko na mnazi mbona no mogoka in Mombasa
Yeah waende sigoi
Nilidhan gavana wa mombasa nmtu mwenye akili kumbe anaga lolote,,wazimu tupu
Mambo ya maandamano iliisha this is waste of time..
Wacheni ujinga andamaneni serekali inapandisha ushuru kila masaa wacheni story ya jaba
Sasa musilete uzenu huko kama watu hawataki nakwao nilazima jamani
1 million compare to our children fulish
Mlime viazi wajinga nyie
Where is the gerverment,hio ni siasa,miraa Haina shinda,
Fungueni. Biashala. Nyinginee. Uzeen. Huko. Kwenuu
Wanasema pwani yao si kenya watafunga ata prezo akingilia
Walime mchicha
Let's go to China and buy energy drink machines,
Wacha kubweka bweka kama wawajua wauzaji wa dawa s uje uwashike
Wakenya bwana hhh
Haki yenu nikuuza mogoka mombasa....
😂 bc hamna haki.kimewaramba