A Tax Driver : Swahili Story Review : Movie Kali ya Kikorea

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024
  • Tafadhali Usisahau kusubscribe lakini pia unaweza ukapita kwenye kurasa zangu zote za mitandao ya kijamii kama @amrahul_ kwa updates zaidi.. asante

ความคิดเห็น • 39

  • @abdalahkigulu2064
    @abdalahkigulu2064 ปีที่แล้ว +4

    Kweli Kwa review hii kulikuwa na haja ya kukesha Ili tuenjoy, big up kaka.

  • @peterchance5466
    @peterchance5466 ปีที่แล้ว +2

    Wanangu wa Moro town likes zenu hap

  • @COMEDYZETUTZ
    @COMEDYZETUTZ 10 หลายเดือนก่อน +3

    Unasauti nzuri na talent kubwa sana shida unaongea sana unwanted things jitahidi uongelee kuhusu movie in deep mbwembwe zikizidi zinaudhi utapoteza wafuasi waaminifu

    • @aikt.
      @aikt. 9 หลายเดือนก่อน +1

      I told him mwaka 1 uliopita

    • @amrahul
      @amrahul  7 หลายเดือนก่อน +2

      asante kwa ushauri lakini hicho unachokiita MBWEMBWE ndo kimenifanya niwe rahul na nisiwe DULLA MAREVIEW wala HAMIS MIMUVI.. kama utadhani zinanipotezea wafuasi basi sawa wapotee kwa maana zilizoniongezea ni wengi na watanitosha hao..asante

    • @amrahul
      @amrahul  7 หลายเดือนก่อน +2

      @@aikt. kama ulishauri kk na ushauri hukupokelewa achana na huyo mtu itakuwa ana mipango yake

    • @shareefkamtande
      @shareefkamtande 6 หลายเดือนก่อน +1

      Chukua ushauri acha ubishi hautakufikisha popote
      1.Unnecessary words
      2.Hiyo background music haina haja

    • @shomaryhassani5005
      @shomaryhassani5005 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@shareefkamtandejamaa Yuko vizur achen mambo kama upend acha

  • @challostanley5775
    @challostanley5775 ปีที่แล้ว

    God bless you brother🙌🏾 Talented sana🙌🏾🙌🏾🙌🏾 Mzee wa hizi mambo

  • @najmaabdalla6869
    @najmaabdalla6869 ปีที่แล้ว +4

    Nimekua wa kwanz like zenu 🔥🔥

  • @ozagreatestvideoever943
    @ozagreatestvideoever943 ปีที่แล้ว +2

    Kaka unakaa kimya muda mrefu sana tambua tupo kwa ajili yako hapa youtube

  • @sarahntibansiga2895
    @sarahntibansiga2895 ปีที่แล้ว +2

    🔥🔥🔥

  • @nojanzitz45
    @nojanzitz45 ปีที่แล้ว

    dah noma sana!!

  • @justinmkawa4552
    @justinmkawa4552 ปีที่แล้ว

    Jamaa Unajua sanaa

  • @jenjuma6255
    @jenjuma6255 ปีที่แล้ว

    Nakuelew sana kaka yangu

  • @kicmarthawa8174
    @kicmarthawa8174 ปีที่แล้ว

    good broo. inaitwaje hii movie

  • @issawamzito5444
    @issawamzito5444 ปีที่แล้ว

    Umetisha mzee🔥🔥🔥

  • @DewiseFreshjuice
    @DewiseFreshjuice ปีที่แล้ว

    Oya unajuaaaa

  • @idrissahmuhsin3619
    @idrissahmuhsin3619 ปีที่แล้ว

    Vp tunaweza kupata movie nzima maan unajua kinoma

  • @tenatanz
    @tenatanz ปีที่แล้ว

    Kwani bando huna MAANA unakua kimywa sana

  • @daudkuyunga378
    @daudkuyunga378 ปีที่แล้ว

    Nomaaa

  • @ommynyika6384
    @ommynyika6384 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥🔥

  • @denverjr6315
    @denverjr6315 ปีที่แล้ว

    Hatari na nusuuuuu

  • @SaidiSmmambale
    @SaidiSmmambale ปีที่แล้ว

    Rahul Ile movie ya gerads game nimeangalia cjaielewa naomba review Hadi mwisho

  • @mbashaaston4278
    @mbashaaston4278 ปีที่แล้ว +1

    Hivi Aya maneno unandikaga au unayapanga tuu

  • @baby_najma380
    @baby_najma380 ปีที่แล้ว

    👏👏👏👏

  • @e-trendingtv
    @e-trendingtv ปีที่แล้ว

    Boss how to connect with u

  • @AsiaMkwawa
    @AsiaMkwawa 2 หลายเดือนก่อน

    Hata haumaliz story sa ndo nb

  • @isakadickson7907
    @isakadickson7907 หลายเดือนก่อน

    Uweunapunguza hizo beat ili tusikie vizur zina bore

  • @encernstudios3745
    @encernstudios3745 ปีที่แล้ว

    Hii movie ina unyama snaaa kk 🙌🏾🙌🏾🔥🔥

  • @trissamaudaku834
    @trissamaudaku834 ปีที่แล้ว

    Full movie pls

  • @jimmyrama248
    @jimmyrama248 7 หลายเดือนก่อน

    Kaka tupe maelezo mkuu ata kama utakuwa na group tutalipia tu

  • @helenamichael668
    @helenamichael668 ปีที่แล้ว

    rahul nahitaj scandal

  • @Adsbyrafa
    @Adsbyrafa ปีที่แล้ว

    😂