WACHAWI HATARI EP 20

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @FinindyFiana
    @FinindyFiana หลายเดือนก่อน +13

    Katika comet zote watu 6 tu ndo wamepewa like ila mm naamua kuwapa wote,,,dada yenu nawafundisha upendo kila siku,, jamani na like inalipiwa bando😲🤭

    • @hebugwaseries2845
      @hebugwaseries2845  หลายเดือนก่อน +2

      ❤❤

    • @FinindyFiana
      @FinindyFiana หลายเดือนก่อน

      Kazi nzuri ila Kuna kazi ninayo naweza kukupa bure kama ukitaka,simaanishi kua kazi Yako sio nzuri Bali watu tunatofautiana ktk uwezo... unaweza kunijibu ktk hili♥️♥️

  • @hadiaomar4790
    @hadiaomar4790 หลายเดือนก่อน +7

    Jamani hebugwa tukuone ukimuomba mungu sasa ili nguvu ya mungu ionekane kwann unaruhusu wachawi wanakupelekesha hivo ni muda maombi na dua zifanye kazi😊 sasa

  • @AnetGambo
    @AnetGambo หลายเดือนก่อน +8

    Leo nimerauka kwa kweli 😂 nimekua wa tatu 😂😂 i say

  • @NatashaMedy
    @NatashaMedy หลายเดือนก่อน +2

    Muendelezo jamn yaan naipenda hii movie mm nimsanii kutoka zanzibR lkn nimepend San mnavojituma hongern sana ❤❤❤

  • @UrbanMunyalo
    @UrbanMunyalo หลายเดือนก่อน +10

    Mimi hapa toka nchi jirani Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤

  • @dorahtwaha3574
    @dorahtwaha3574 หลายเดือนก่อน +4

    Hebugwa jamani😂😂😂 umenifuraisha sana

  • @HenryGathigira
    @HenryGathigira หลายเดือนก่อน +12

    Hebugwa ongea na Mungu wako uone maajabu yatakoyo tendeka nguvu zote za wachawi zitafinyangwafinyangwa katika jina la YESU

  • @OmanOman-bm1lr
    @OmanOman-bm1lr หลายเดือนก่อน +8

    Wakwanza mie leo from Tanzania 🇹🇿

  • @HenryGathigira
    @HenryGathigira หลายเดือนก่อน +3

    ❤❤❤❤ naitwa sweeeeety from kenya nimependezwa na mv zenu xana hebugwa unajua kuigiza endetea vivyo hivyo🎉🎉🎉🎉🎉

  • @TashaCosy-gc1fs
    @TashaCosy-gc1fs หลายเดือนก่อน +4

    Nawpenda jmn w kumi leo❤❤❤❤

  • @MwanamisiMwembe
    @MwanamisiMwembe หลายเดือนก่อน +5

    Nawapenda sana

  • @ClementMpumbiye
    @ClementMpumbiye หลายเดือนก่อน +4

    Hongereni sana kwa uandishi huo mungu awajalie

  • @SultanAlshekaili-q8f
    @SultanAlshekaili-q8f หลายเดือนก่อน +2

    Ebugwa wanipa raha kwa kuchimba kabur na mkono na halafu hutaki kufa

  • @Doctorshu-g4s
    @Doctorshu-g4s หลายเดือนก่อน +3

    Hebugwa kaza baba kuna vitu adimu vya marehem steve kanumba vya uigizaji naviona kwako ...wakupe maua yako🎉🎉🎉❤

  • @fortunegerishom1827
    @fortunegerishom1827 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu jamaaa wa kisasi hajielewi,,, kisasi unalipa mahali hapafai n km chaya amekushinda we saka chayaaa

  • @AbelikibogoloLubiano
    @AbelikibogoloLubiano หลายเดือนก่อน +4

    Mwamba huyooo

  • @Givenkibakwa-jb4ju
    @Givenkibakwa-jb4ju หลายเดือนก่อน +4

    Wakwanza

  • @maxmiliankadawiibalaja2198
    @maxmiliankadawiibalaja2198 หลายเดือนก่อน +4

    Wapili kutoka Tanzania 🇹🇿 Zanzibar

  • @Ashantidjuma
    @Ashantidjuma หลายเดือนก่อน +2

    Hebugwa ananipa raha sn
    Tatizo ni bufupi tuongeze japo iwe takika 50

  • @JescaMarykarisa
    @JescaMarykarisa หลายเดือนก่อน +1

    Mm hapa kutoka kenya 🇰🇪 ❤🎉

  • @dicksondigungu3949
    @dicksondigungu3949 หลายเดือนก่อน +2

    From Kenya mombasa movie nkali

  • @NatashaMedy
    @NatashaMedy หลายเดือนก่อน +1

    Muendelezo jamn yaan naipenda hii movie mm nimsanii kutoka zanzibR lkn nimepend San mnavojituma hongern sana

  • @HabeebaHassan-eq7bg
    @HabeebaHassan-eq7bg หลายเดือนก่อน +3

    🎉watu mko fastaaa😂😂😂😂😂

  • @MariamMchomvu-q3s
    @MariamMchomvu-q3s หลายเดือนก่อน +1

    Wewe mlevi ni nani au ni kaka wa ebugwa😂😂

    • @hebugwaseries2845
      @hebugwaseries2845  หลายเดือนก่อน

      Huyu mlevi atajieleza tuu mwenyewe

  • @sebastiankirui1798
    @sebastiankirui1798 หลายเดือนก่อน +6

    Napenda sana kazi yenu hongera nyote mlioshiriki kutuburudisha🥰🥰🥰🥰

  • @flavianarwebangira6726
    @flavianarwebangira6726 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika Mungu yuko juu naamini Hebugwa akikumbuka kuomba atspona. Uinuliwe Bw wa mabwana na mfalme wa wafalme mbinguni na duniani.

  • @NadiaHabonimana
    @NadiaHabonimana หลายเดือนก่อน +3

    Ebugww bwana cimbakabuli😅😅😅

  • @HabeebaHassan-eq7bg
    @HabeebaHassan-eq7bg หลายเดือนก่อน +3

    Nimekuwa wa6 from dubai 😊😊

  • @NadiaHabonimana
    @NadiaHabonimana หลายเดือนก่อน +3

    From burundi

  • @SamiraliySeif
    @SamiraliySeif หลายเดือนก่อน +5

    Wa 21 jman Chaya atesek kdog anaudh 😢

  • @NadiaHabonimana
    @NadiaHabonimana หลายเดือนก่อน +3

    Duu!nimecelewa😢

  • @gracephilemon4325
    @gracephilemon4325 หลายเดือนก่อน +3

    ❤❤❤❤❤

  • @SaudaKabole
    @SaudaKabole หลายเดือนก่อน +1

    Nimeipenda San na tuko pamoj

  • @SomyaS-q9t
    @SomyaS-q9t หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah imefika patamu

  • @Mwanjanjiku
    @Mwanjanjiku หลายเดือนก่อน +1

    Ooooh

  • @NintunzeEsperance
    @NintunzeEsperance หลายเดือนก่อน +1

    Yani nimeamua kuceka et nicimbe kaburi nasijui kipimo nani anazikwa nijue nacimba kaburi vipimo vingapi

  • @hildajohn3226
    @hildajohn3226 หลายเดือนก่อน +1

    Tunazitaka zote

  • @AnjelaniMkandama
    @AnjelaniMkandama หลายเดือนก่อน

    Ongera kaka kwakazi mzuri nawapenda sana Kutoka américain

  • @limboa2864
    @limboa2864 หลายเดือนก่อน +5

    🎉🎉

  • @felistusmasila1088
    @felistusmasila1088 หลายเดือนก่อน +3

    Mlevi Leo kanifanya nicomment mkali wao

    • @hebugwaseries2845
      @hebugwaseries2845  หลายเดือนก่อน

      @@felistusmasila1088 hahahahaha saf

  • @KhadijaYusuph-h8v
    @KhadijaYusuph-h8v หลายเดือนก่อน +1

    🎉🎉❤❤

  • @IbrahimDarlingsaloon
    @IbrahimDarlingsaloon 19 วันที่ผ่านมา

    Ili nifuzo kwetu apana sisi vinadamu kweli kweli mungu awatiye nguvu

  • @hadiaomar4790
    @hadiaomar4790 หลายเดือนก่อน +3

    We are here again 🤗

  • @marynyota6146
    @marynyota6146 หลายเดือนก่อน +1

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Karimirakoze-wo7sc
    @Karimirakoze-wo7sc หลายเดือนก่อน

    Hebugwa mungu Akusaidie Utoke Mikononi y'a Hitongo

  • @UweraSandrine-l2i
    @UweraSandrine-l2i หลายเดือนก่อน +3

    🇷🇼🇷🇼❤❤❤❤

  • @LionGaho-wh3te
    @LionGaho-wh3te หลายเดือนก่อน +1

    Kashante uko wapi

  • @DianahMuhenje
    @DianahMuhenje หลายเดือนก่อน

    Kutoka kenya ,❤❤

  • @paulotemba8881
    @paulotemba8881 หลายเดือนก่อน +1

    Good

  • @Vivian-s7s
    @Vivian-s7s หลายเดือนก่อน +1

    Kunguru mweusi😂😂😂😂😂

    • @hebugwaseries2845
      @hebugwaseries2845  หลายเดือนก่อน

      😢😢

    • @Vivian-s7s
      @Vivian-s7s หลายเดือนก่อน

      @hebugwaseries2845 🤣🤣🤣🤣imetisha aisee

    • @GlycerySadkin
      @GlycerySadkin หลายเดือนก่อน

      Nyani wa blue😅

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤ from Zinjibar ❤❤❤😂😂😂

  • @kariukiveroveshferry8923
    @kariukiveroveshferry8923 หลายเดือนก่อน

    Chaya Chaya 😢😢😢😢😢😢

  • @itigimitigosawafy364
    @itigimitigosawafy364 หลายเดือนก่อน +3

    🎉🎉🎉❤🇴🇲🫶

  • @husnasalim9614
    @husnasalim9614 หลายเดือนก่อน

    Dakali sana iMovie

  • @sumy-k3f
    @sumy-k3f หลายเดือนก่อน

    Nan hupendezwi kucheka

  • @SamwelBonphace
    @SamwelBonphace หลายเดือนก่อน

    Hongelen kwa kaz nzul tanzania 🇹🇿

  • @ElizahZawadi
    @ElizahZawadi หลายเดือนก่อน +1

    Nmechek san aty sichimbi n ywachimba tu

  • @BasindikeWashima
    @BasindikeWashima หลายเดือนก่อน

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 หลายเดือนก่อน +3

    ❤❤❤❤❤❤

  • @MarynzaraNyamawi-nz7ve
    @MarynzaraNyamawi-nz7ve หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @kariukiveroveshferry8923
    @kariukiveroveshferry8923 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉