KWANINI MAZOEA YENU [ UMOJA FMC CHOIR] MKUTANO WA PASAKA PA ABILENE TEXAS

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 16

  • @gastondofra9151
    @gastondofra9151 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki sana uhimbaji nzuri mnaoimba ksabisa.Nimebarikiwa sana

  • @RoseMkupala-xw7jo
    @RoseMkupala-xw7jo 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mko vizuri sana Kwa uimbaji mbarikiwe YESU Kwa huu utumishi

  • @MSAFIRIRICHARD-mp3fk
    @MSAFIRIRICHARD-mp3fk 3 หลายเดือนก่อน +3

    Alie tunga hiiii nyimbo Nampa big up sana

  • @chalengosmmbingya-ns7te
    @chalengosmmbingya-ns7te 3 หลายเดือนก่อน +7

    Hongereni sana kwa wimbo nzuri.
    Ila ndugu Joshua promise,huyo dada mtumaji huwa nzuri kwa nyimbo za kibembe na siyo kiswaili, maana huwa anatuma kiswaili kama kibembe.
    Kwa wakati mwingine,hangalie vizuri kwa kutumia mwengine au ajirekebishe kwa nyimbo za kiswaili.
    Maneno mazuri kwa utumaji wa kwanza na chorus ya kwanza.

    • @pasiwabala8970
      @pasiwabala8970 3 หลายเดือนก่อน +1

      Asante mtumishi kwa mashauri ubarikiwe 🙏

    • @marthabiringanine5151
      @marthabiringanine5151 3 หลายเดือนก่อน

      Ahsante mtumishi kwa maoni yako. Tutayafanyia kazi.

  • @starfordmwambalange2809
    @starfordmwambalange2809 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mbarikiwe Sana madhabauni hapo panauwepo

  • @molinangoy893
    @molinangoy893 3 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu dada Mungu hazidi kumuinua kwenye viwango vya juu.❤️🤲🏾

    • @mtyona
      @mtyona 3 หลายเดือนก่อน +1

      Mimi nampokelea izo baraka 😊😊😅 ubarikiwe pia da Molina 😊

  • @MalemboMarc
    @MalemboMarc 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ohhhh it was very wondering kuona jinsi mlivyo shusha magogo

  • @damarcy1270
    @damarcy1270 3 หลายเดือนก่อน +3

    Da Pasi Mama ubarikiwe na mbingu ziwe na nena mema kwajili yako Dada yahani utumaji upo unanena wasi wasi kwajili ya kanisa za Leo ndo ivyo tu wanavyo fanya Ila Mungu atufungue macho 💔💔

    • @pasiwabala8970
      @pasiwabala8970 3 หลายเดือนก่อน

      Amen amen dada 🙏

  • @winnybaruani8
    @winnybaruani8 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wow ❤❤❤

  • @shes_rozaaa555
    @shes_rozaaa555 2 หลายเดือนก่อน +2

    Amen !!!❤

  • @Victorina-wi1dl5py3s
    @Victorina-wi1dl5py3s 3 หลายเดือนก่อน +1

    Batheli ❤❤❤❤

  • @Eve_18
    @Eve_18 3 หลายเดือนก่อน

    Amennnn❤