Ama kweli hamna akili !!! Hivo mnafikiria nini wakati kama huu wa Ramadhan mukijichumia midhambi kwa kujianika mitandaoni???? Wewe ulie post hii video ndie utakae beba Dhambi zote. NA Kwa UZURI GANI HASA MULIONAO???? Mijuso, mawigi na makeup na mikope fake!!! ? Astaghfirullah. May ALLAH GIVE U GUIDANCE. WANAWAKE MUMEZIDI
MashaAllah congratulations 👏🎉 well organized wedding Allah awajalie kheyr kwenye ndoa yenu wamin sharri hasidin idha hasad
Ma Shaa Allah..where did you get your head piece
@1:33 keep glowing aunty wa lovies....I love this soul for sure
nimependa this place of events daa najma plz let me know 🙏 the name of this whole and the cost plz mpenzi
Anyone plzz what's the name of the brides song?
Mashalah yangu nitakuita pia inshallah gud work swee
Barakallahu kwao maharusi na najma wetu Asante kwa kutuletea matukio
Karibuni
why are there different sounds on the video..? so which one should we listen too?
Maashallah Allah awajalie kwenye hii safari Yao kheir InshaAllah
Kindly just select one audio for your videos. Hivi inakuwa kelele nyingi
Copyright!
Masha allah,,Mungu awape maskizano daima,,,
Ameeenaaa
U looked soo stunning mashaAllah najma😍u r sooo beautiful najma mashaallahhh😍😍😍
Masha Allah, Allah awadumishe katika ndoa yao
Ameeenaa
Masha Allah ulidamshi lovie
🥰🥰🥰🥰MashALLAH she was stunning and the best bride of the year 😘😘😘😘
Inshaallah yangu nitakuuita najmah
In Shaa Allah
Tuoneshe kwenywe nikaah alovyo olewq kwenywe kombe wew ndyo umechukua part kubwa
Najma thanks for sharing 👍🌙💐
MashaAllah 🥰🥰🥰 and mabroouq alf Mabroouq kwake habibty
Shukran♥️
Mabrook to the bride and bridegroom mashaAllah decoration is so admirable 🥰🥰🥳🥳🥳🙏🙏
The decorations wow
Very beautiful mashaAllah
Mashallah mola awape masikizano
Tho mbona macho yako redi najma
Lenses
@@najmaali ok dear
Mashallah mtt umependeza🥰👌
Mashaallah alipendeza saana 👌👌nawatakia ndoa ya kheri inshaallah 🤲❤️
Naj nilikuona lotfa but nikaogopa kukusalimia 😩😩❤️
MashaAllah iwe ya khery inshaAllah
Hiyo video kelele mob hakuna kitu mtu anaskia
MashaAllah very beautiful الله برك
Shukraan
Mm kwenye harusi hula hadi nasahau niko na lipstik jamani sina ufundi kwa kula 🤣🤣🤣🤣🙈🙈🙈🙈
Camera haieleweki mara juu chini
Masha Allah 🥰🥰 Alfa mabrouk❤️❤️ilkua smart💖💖
Asante sanaa
kwanini iliisha😢
Mashallah 😘 😘 😘 👌 Allah awape maskizano daima inshallah
Najma huwa walipisha mtu akikualika kwa harusi yake
Alf Mabruk the fankupis'❤❤❤
The food kept coming and coming 🤤
Ikr😂😂😂
😂🤣😂🤣
My former classmates class of 2011 najma and nasra
MashA Allah 🌹pendaza sana
Asantee
Excuse me?! The ululations are from speakers or human women?
mashaAllah
Ma shaa Allah this is lovely
Sana MashaAllah ♥️
Mashaallah
Mashaa Allah nice one
Ma sha Allah 😍
♥️♥️
Also, Najma you look good 😍
Thanks 😍 my love
Mashallah u look stunning dear❤
Allah awape maskizano katka ndoa yenu
Mashallah iwe y kheri n upendo ila naona watu walikataa kuekwa yutub umewafita wagunyaa🥰🥰🥰
Ndioo
Mashallah 🥰🥰🥰🥰
Mashalah 😘
♥️♥️
MashaAllah 🥰🥰
😍😍
MashaAllah 😍😍
♥️♥️
Masha'Allah gud job. But instead tuone de audience unajichkua ww for long. Na unaongea Sana. Learn from farhana obersion's video short N clear.
Excuse me everybody has her style and the main focus was me cause ppl didn’t want to be vlogged!
@@najmaali we didn't want to see you....bdw hilo wigi hata halikukupendeza wewe mtoto wakislamu vaa mtandio waki
Mashallah mashallah Alf Alf mabrook to them...fankupi my high school classmate 🤗🤗🔥🔥🔥
😍😍😍🥰🥰
Iko poa but next time Jaribu kufocus sana kwenye event... Apa umefocus too much on yourself
Mashallah mashallah mabruk
You look stunning Masha Allah 🥰 and congratulations to the beautiful bride 👰♀️
Asante sana
Mabrook
ما شا الله زفاف جميل
😍😍
♥️
My fev TikTok
MashaAllah 🥺🥰🥰
MashaAllah 💕 💫💫
😍😍
Mashaallah 🥰🥰🥰🥰🥰💖
Ama kweli hamna akili !!! Hivo mnafikiria nini wakati kama huu wa Ramadhan mukijichumia midhambi kwa kujianika mitandaoni???? Wewe ulie post hii video ndie utakae beba Dhambi zote. NA Kwa UZURI GANI HASA MULIONAO???? Mijuso, mawigi na makeup na mikope fake!!! ? Astaghfirullah. May ALLAH GIVE U GUIDANCE. WANAWAKE MUMEZIDI
Mabrock
Najma sorry but the video it’s. Soooo noisy
Aaaw so sorry for that
wow hijabi jornulist
Since she’s a hijabi journalist maybe not show her hair and chest on youtube?just a thought
U look bored😉 ile vibe yako hakuna!!
MashaAllah❤❤❤
😍♥️♥️
MashaAllah 😘😘😘
♥️♥️