Ndugu hao niwatafit hua wanajaribu kutafuta kitu chakuwapa umaarufu tuu tofaut zinazoonesha nizakimaandishi uran ilihifadhiwa kichwani kwenye maandishi mtu anaweza kuandika na akija mjuzi zaidi akameambia apa insomwa hivi naikabadilishwa
Yani mnababaika hayo yalofuta nimakosa yakilugha kwakua qurani ilikua imehifadhiwa kichwani kwenye maandishi inawezekana baadhi walikosea ndipo Waka sahihishwa kwakia hata maneno mnayo sema yana tofautiana kidogo yakimaanisha ni harakati yakutoa kichwan nakuweka kwenye maandishi muandisha anaweza kusahau au kuandika tafaut anapokuja mjuzi nakumfahamisha basi hubadili alichokosea swali nikujiulizaa yalioandikwa kwenye Quran hii iliyopitishwa he niyauongo je tabiri zamtume Muhammad na maneno kuhusu Dunia na vilivyomo niuongo ndo vyakuangalia
Kaka naomba mawasiliano yako ili tuone namna tunaweza boreza kazi hii nimeipenda. Tizama channel yangu kwenye Mwalimu Chaka TV
Tunaweza kuwasiliana zaidi kwenye ushahidifilms@gmail.com
@@ushahidifilms2011 Shukran.. nipo kwenye Mwalimuchaka@gmail.com
Ndugu hao niwatafit hua wanajaribu kutafuta kitu chakuwapa umaarufu tuu tofaut zinazoonesha nizakimaandishi uran ilihifadhiwa kichwani kwenye maandishi mtu anaweza kuandika na akija mjuzi zaidi akameambia apa insomwa hivi naikabadilishwa
Hamtoweza kuichafua dhahabu kwa kuipaka matope
Hamiezi ichafua dini y Allah kama walishidwa wao yy mafuala tu..
Yani mnababaika hayo yalofuta nimakosa yakilugha kwakua qurani ilikua imehifadhiwa kichwani kwenye maandishi inawezekana baadhi walikosea ndipo Waka sahihishwa kwakia hata maneno mnayo sema yana tofautiana kidogo yakimaanisha ni harakati yakutoa kichwan nakuweka kwenye maandishi muandisha anaweza kusahau au kuandika tafaut anapokuja mjuzi nakumfahamisha basi hubadili alichokosea swali nikujiulizaa yalioandikwa kwenye Quran hii iliyopitishwa he niyauongo je tabiri zamtume Muhammad na maneno kuhusu Dunia na vilivyomo niuongo ndo vyakuangalia
Qur an haikubadilishwa labda ninyi mtengeneze yakwenu..!
Wasilamu niwatu wenye ubishi
Waislamu wengi , Kwanza hawana Qurani Sasa chunguzeni vitabu vyenu , sio kubisha tu
Hamuwezi kuichafua zahabu kwa kuipaka matope uislamu ndio dini ya haki,kuraani ni maneno ya haki tena ni uongofu kwa waumini