Wavuvi, wadau Kigoma wailalamikia Serikali kuzuia uvuvi ziwa Tanganyika

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • Wavuvi na wadau mkoani Kigoma wametoa malalamiko yao kwa Serikali kufunga kwa muda shughuli za uvuvi katika ziwa Tanganyika kutokana na hali ngumu wanayopitia.
    Wametoa malalamiko yao wakisema utafiti unapingana na kinachofanywa na Serikali katika kipindi hiki ambacho Manispaa ya Ujiji ikiwa imepewa vizimba 16 kwa kipindi ziwa hilo linapofungwa.
    Wahariri || Onike Masayanyika, @official_jennifersumi
    #AzamTVUpdates #wavuvi #ziwatanganyika

ความคิดเห็น •