Mamillioni ya pesa yaonekana kutumika kukarabati Ikulu ya Nairobi, afisi ya Gachagua na ya Mudavadi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ม.ค. 2025
  • Bajeti ya Ziada iliyoko mbele ya Bunge la Kitaifa imefichua matumizi ya pesa chini ya Serikali ya Muungano wa Kenya Kwanza hususan gahrama ya mpwito kutoka serikali ya Rais Uhuru Kenyatta hadi ya Rais William Ruto.
    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

ความคิดเห็น • 51

  • @kenyanowtv
    @kenyanowtv ปีที่แล้ว +8

    I like it,let them waste kabisa and then blame handshake between Uhuru and Raila for everything.

    • @fly69jamual62
      @fly69jamual62 ปีที่แล้ว

      and the handshake and drumming reggae since 2017 to 2022 spend billions and you're here talking? sit down on back row

  • @ag-tm7je
    @ag-tm7je ปีที่แล้ว +7

    Hio pesa wanawaste sana na Bado wanataka tuendelee kutoa ushuru si wateremshe bei ya chakula aki

  • @mariashan2745
    @mariashan2745 ปีที่แล้ว +8

    Real meaning of bottom up 😂😂

  • @fredricklemiso6191
    @fredricklemiso6191 ปีที่แล้ว +5

    Husler atawaree dynasties waende nyumbani 😅😂😂😅

  • @paperanvil6147
    @paperanvil6147 ปีที่แล้ว +2

    Very nice. This is what we signed for.

  • @jamachakos5517
    @jamachakos5517 ปีที่แล้ว +4

    Corruption from bottom to top

  • @isaacandechesnr4754
    @isaacandechesnr4754 ปีที่แล้ว +1

    I knew it; when RG said hakupata pesa kwa hazina ya kitaifa it was a scheme to steal from the treasury ndio wazingizie the past regime

  • @mohamedgeedi518
    @mohamedgeedi518 ปีที่แล้ว +1

    Sawa Sawa we learn alot eat whole Kenya we watching but remember 2027 !!!!!

  • @rosemutwa6652
    @rosemutwa6652 ปีที่แล้ว +3

    This hyenas must go for good.....enyewe maskini atazidi kua maskini na tajiri atajirike zaidi😓😓😓😓😓😓😓😓😓😓😓

  • @gabrielchiwai1066
    @gabrielchiwai1066 ปีที่แล้ว +2

    To be patient and people are suffering because of high cost of living

  • @mariashan2745
    @mariashan2745 ปีที่แล้ว +8

    I wasted my vote, I regret it

  • @safinaamutabi2843
    @safinaamutabi2843 ปีที่แล้ว

    Waaaa kwani hizo office n Kama paradise jameni

  • @generalserikali2024
    @generalserikali2024 ปีที่แล้ว +3

    We now understand you when you say we be patient. Ndo mshibe na mkishiba mtururushie na hamwezi shiba as we know you. Shame on you 🤔 we are on our toes nothing good we expect so far.

  • @felister2457
    @felister2457 ปีที่แล้ว +2

    Na watu wanakufa kila mahali na njaa !!!wewe zakayo mungu anakuona u will never have pice in this life never!!!

  • @maureenchepkemoi8827
    @maureenchepkemoi8827 ปีที่แล้ว +1

    We are tired of overtaxation....

  • @queenmwangui411
    @queenmwangui411 ปีที่แล้ว

    It should look presentable

  • @ustadhfarouq7729
    @ustadhfarouq7729 ปีที่แล้ว +3

    Which all these wastage of money some children who passed their kcpe exams can't afford to join form One due to lack of fees surely wakenya tulimkosea nn mungu.Hivi millions zaidi ya 600 yet our future generation can't go to high schools why but why did kenyans elected viongozi ama vinyozi?

  • @tatujuma8781
    @tatujuma8781 ปีที่แล้ว +1

    😄😄😄 YESS ZAKAYO

  • @jamespeter5060
    @jamespeter5060 ปีที่แล้ว +1

    Wehh bottom up iko sawa 😄🤣

  • @Newtonpalmer61
    @Newtonpalmer61 ปีที่แล้ว

    Gachagua alisema hawakupata kitu 🤣🤣🤣

  • @Davistoto1949
    @Davistoto1949 ปีที่แล้ว +2

    Sisemi kitu mm

  • @felister2457
    @felister2457 ปีที่แล้ว

    Wezi tupu!!

  • @adanqumbiso1421
    @adanqumbiso1421 ปีที่แล้ว +2

    I regret to vote William ruto

    • @victoresonga7500
      @victoresonga7500 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣 c uchawi ni maombi

    • @generalserikali2024
      @generalserikali2024 ปีที่แล้ว

      Don't regret. Hawakupata pesa kwa treasury.

    • @victoresonga7500
      @victoresonga7500 ปีที่แล้ว

      @@generalserikali2024 yawa yenye imekarabati ikulu ya Rai's waliokota kwa Barabara😀

  • @ag-tm7je
    @ag-tm7je ปีที่แล้ว +2

    Kama kukarabati IKulu ni 200m kubuilt new ni ngapi?

  • @felister2457
    @felister2457 ปีที่แล้ว

    Who is fooling who????

  • @damarisnyambura9111
    @damarisnyambura9111 ปีที่แล้ว

    Wanchi wote wasimame wima tuondoee from MCA hafi cheo cha juu wote bila kunjali ni chama ngani turundi kwa debe tumechezwa karata mapema sana

  • @tinobeatz5631
    @tinobeatz5631 ปีที่แล้ว +1

    Pottom hup!!!

  • @phelixnyadera7659
    @phelixnyadera7659 ปีที่แล้ว

    They know they will recover them on the tax from every Kenyan.....Claiming to be hustlers na wanajali maisha ya mama mboga.If renovation takes 200M what about building it?Ati hustlers narrative...Kenyans wake up!

  • @victoriamima2547
    @victoriamima2547 ปีที่แล้ว

    HUSTLERS AT WORK😂😂😂

    • @damarisnyambura9111
      @damarisnyambura9111 ปีที่แล้ว

      Aki hixi mnatumia mnatoa wapi chukuwa kuyoka mezani inua weka kwa mdomo =bottom up meza yote

  • @eunicejefwa1935
    @eunicejefwa1935 ปีที่แล้ว

    Si uchawi ni maombi

  • @abdiriiabdirii8843
    @abdiriiabdirii8843 ปีที่แล้ว +2

    Alfu mujinga aniambie tulipe. Ushuru

  • @felister2457
    @felister2457 ปีที่แล้ว

    alafu raila akiongea ni matusi tu mnajuwa!!!!