HII HADITH MBONA SIJASIKIA MUKIISOMA NA KUIFAFANUA... Juzuu ya 7, Kitabu cha 69, Nambari 509: Imepokewa na Um Al-Fadl: Watu walitilia shaka iwapo Mtume wa Mwenyezi Mungu alikuwa amefunga au ni Siku ya Arafa au la. Basi nikampelekea kikombe chenye maziwa na akanywa.
Mash Allah tabarak Allah ahsani khaalyqin, Jazzak Allah kheri shekhe
Mashaallah mungu akulipe kher tutafunga juma pili
Maa shaa Allah
Maa shaa Allah tabarak Allah
هم الرجال ونحن الرجال صدقت الشيخ❤
shukran shekh Izudin
Mashallah sheikh izudin alwy
Apo upo sawa sheikh izudin alwy
HII HADITH MBONA SIJASIKIA MUKIISOMA NA KUIFAFANUA...
Juzuu ya 7, Kitabu cha 69, Nambari 509:
Imepokewa na Um Al-Fadl:
Watu walitilia shaka iwapo Mtume wa Mwenyezi Mungu alikuwa amefunga au ni Siku ya Arafa au la. Basi nikampelekea kikombe chenye maziwa na akanywa.
Swali ni walikua wakitumia calendar gani ?
Kuwa makin shehee
Uzuri wa haya yote ni kwamba siku hazigandi
mwezi wao, mwezi wenu, mwezi wetu, mwezi wangu , mwezi wako na mwezi wake ...kasheshe, tumewakina au tumewaamini?
Afatuuminuna bibaadhw lkitab watakfuruna bibaadw
Hujaelewa wewe
Nimekuckiliza shekhe mwanzo ady mwixho ila kiukweli cjamuelew ata kidogo
Waonyesha umtupu ktk elimu ya dini
Sheikh leo hata dua umesahau 😂😂
Hya bacho araddi hii aseme albani hajaeleweka au kacngiziwa,hawayasemi hya kw hasadi walizokuwa nazo
Acheni kuwataja taja Ma Ulamaa ambao mnakubali hawasatahiki lawama, kwa maneno ya kuwaharibia sifa
Kalaumiwa nani shekhe hapo
Ah ww huna elimu yan unafahamish wat bidaa
Ww ndio mtihani kabisaaa
Yan mtu mwenye elimu hata kidogo tuu anajua kuwa ww ni sufi mtu wa bidaa.
Kaa chini usome, acha kashfa 😏.. toa hoja na uache dhihaka