MASKINI MAMA MZAZI ASIMULIA KWA UCHUNGU JINSI MTOTO WAKE ANAVOTESEKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
  • #Diamond #PLATNUMZ #esmaplatnumz #wemasepetu #hamisamobetto #FAHYMA #FAHYVANNY #RAYVANNY #paula #kajala #marioo #auntyezekiel #kusah #milardyayo #bonatv #shughulizetu #harmonize #queendarlin #zuchu #nandy #bilnass #mangekimabi #ireneuwoya #krish #jacklinewolper #richmitindo #lukamba #alikiba #alikamwe #faytoto #abdukiba #Elizabethmichael #lulu #majizzo #zarithebosslady #tiffah #nillan #Dylan #shakib #Akothee#lavalava #mbosso #ommydimpoz #faizaally #sabra #isihack #msizwa #prisicakisuda #hajimanara #rushaynah #cecy #pilikitimtim #ammygal #whozu #tunda #niffer #Patrickkanumba #mikala #thelosttwins #zumaridi #mwanafa #mamadangote #tanashadonna #naseebjr #ruby #wasafi

ความคิดเห็น • 96

  • @MariamIssa-n6j
    @MariamIssa-n6j 13 วันที่ผ่านมา +9

    Mtoto mzuri mashalla

  • @aishaabdullah837
    @aishaabdullah837 14 วันที่ผ่านมา +6

    Allah atakufanyia wepesi inshaalh usikate tamaa

  • @AminaSwaleh-bt8pk
    @AminaSwaleh-bt8pk 8 วันที่ผ่านมา +1

    Fabi assalamu alaikum wa rahmatullahi wa barakatuh?😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @AminaSwaleh-bt8pk
    @AminaSwaleh-bt8pk 8 วันที่ผ่านมา +1

    Assalamu alaikum wa rahmatullahi wa barakatuh inshallah😢😢😢😢😢

  • @halimamfaume1925
    @halimamfaume1925 13 วันที่ผ่านมา +4

    Usijali mama kila kitu kitakuwa sawa kwa uwezo wa Allah

  • @KadeejaKadeeja-ej4bu
    @KadeejaKadeeja-ej4bu 13 วันที่ผ่านมา +4

    Pole sana mamy Allah atajaria atapona❤❤

  • @RitaJoseph-lv4zh
    @RitaJoseph-lv4zh 13 วันที่ผ่านมา +3

    Jipe Moyo Mama. Tulia kwa Mwenyenzi Mungu. Yeye anaweza kumaliza Hilo tatiizo kufungsa na kufungua.

  • @MimahMimah-b7k
    @MimahMimah-b7k 9 วันที่ผ่านมา

    Umaskini ni mtihani mkubwa sana😢 Allah akufanyie wepes dadangu hakuna kinachoshindikana mbele ya Allah

  • @AdmAlhinai
    @AdmAlhinai 14 วันที่ผ่านมา +4

    Nauyo mwengine pi jitahidi kumuangaikia km hali imefikia uko anaanguka na kung'ata meno kutoa povu ii ni atari nayeye pia anaweza akaja poteza kumbukumbu pole ndugu yangu mitihani ni yetu kila mwanadamu umkuta kwa wakati wake allah akufanyie wepesi inshallah

    • @sheikhanasser4714
      @sheikhanasser4714 13 วันที่ผ่านมา

      Allahuma Aameen 🤲
      Ndugu yangu Adam "Allah" Tuwe makini kuandika kwa herufi kubwa Shukran

  • @EmmanuelTenga
    @EmmanuelTenga วันที่ผ่านมา

    Pole sana mamy mungu yupo pamojanawe nakuombea kwa mungu mama ipo siku utatka kwenye wakati huu mgum ameen

  • @EmmanuelTenga
    @EmmanuelTenga วันที่ผ่านมา

    Pole sana mamy mungu yupo pamojanawe nakuombea kwa mungu mama ipo siku utatka kwenye wakati huu mgum ameen

  • @hamisikiango4623
    @hamisikiango4623 5 วันที่ผ่านมา

    Hivi kweli: mama samia yupo tayari kulipia mamilio kwa ajili ya mpira lakini watu wanateketea😢 subbuhanallah Allah akupe subra na uvumilivu

  • @AdmAlhinai
    @AdmAlhinai 14 วันที่ผ่านมา +3

    Pole mwanamke mwenzangu pole ndugu yangu uyu mtoto inavyoonyesha kutokana na maelezo ya hawali jinsi alivyojielezea inaonyesha kuwa ilo joto la homa ndio liliomuathiri ubongo

    • @KhadijaMbuma
      @KhadijaMbuma 7 วันที่ผ่านมา

      @@AdmAlhinai 🙏

  • @AmiriHumudi-hn6pt
    @AmiriHumudi-hn6pt 11 วันที่ผ่านมา

    Nyinyi washenzi sana huko muhimbili kwa nn mkawa yanyasa watu ma mitihani km hio walionayo. Fabi huyu mama hemu mfanyie safari na mtoto wake umlete hapa zanzbar. Sisi hapa hiki kipimo ni bure kabisa mnazi mmoja. Watawauwa watu huko muhimbili kiilla kitu. Kuwadai watu mapesa kibao wala haipo.

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 14 วันที่ผ่านมา +3

    Pole Sana ndugu yangu 😢 wallah inauma huu umasikini 😢. Pia mlaze kwenye mkeka sehemu iliyonyooka usimuegemeshe hivyo anazidi kuumia huo mgongo

  • @AmiriHumudi-hn6pt
    @AmiriHumudi-hn6pt 11 วันที่ผ่านมา

    Mm mtoto wangu bure tumepimwa na majibu tukapewa na sasa ni mzima dawa tu nnazomtumilisha hapa hapana ndo nakuja kuchkuwa upanga kwa matuja daress apo.

  • @MwanaHamis-y4e
    @MwanaHamis-y4e 14 วันที่ผ่านมา +3

    Pole dada angu mitihani tumeumbiwa usilie dada angu Mungu weke wepesi mwanao apate matibabu

  • @SharifAbdallah-bu9hm
    @SharifAbdallah-bu9hm 9 วันที่ผ่านมา

    Pole sana Allah Yupo pamoja nawewe

  • @sheikhanasser4714
    @sheikhanasser4714 13 วันที่ผ่านมา +2

    Allah ni mkubwa Ndio kila kitu kwetu na ni tegemeo letu kwake Imani zaidi kwake Ameen🤲🤲🤲

  • @aishajuma7813
    @aishajuma7813 14 วันที่ผ่านมา +3

    Mwenyezi mungu akupe nguvu mama

  • @AmiriHumudi-hn6pt
    @AmiriHumudi-hn6pt 11 วันที่ผ่านมา

    Wewe mfikishe hapa zanzibar tu kipimo atapimwa bure hapa mnazi mmoja. Huduma kwa wananchi. Bongo punguzeni uadui.

    • @KhadijaMbuma
      @KhadijaMbuma 8 วันที่ผ่านมา

      nisaidie bas ndungu nafanyaje fanyaje labda nielekeze vizuri

  • @HumairaaMohamedi
    @HumairaaMohamedi 13 วันที่ผ่านมา +2

    Pole sana mamangu Allah akupe subra kwa mitihan unayopitia,Allah atakufanyia wepes inshaaAllah

  • @narutonaruto4303
    @narutonaruto4303 13 วันที่ผ่านมา

    😢😢😢😢😢😢pol mam dah

  • @firdaus7428
    @firdaus7428 13 วันที่ผ่านมา +1

    Hakuna kama mama

  • @mwajoma1373
    @mwajoma1373 10 วันที่ผ่านมา

    Pole san mama yang

  • @AmiriHumudi-hn6pt
    @AmiriHumudi-hn6pt 11 วันที่ผ่านมา

    Ila mtawaumiza watu msiwafanyie mambo km hayo. Chakula na matibabu ndio vitu vya msingi sana jamani. Mbona nchi hazina haqqi za kibinaadam hizi. Tunaelekea wapi. Tumekuwa tunadhalilika km wadudupori.

    • @KhadijaMbuma
      @KhadijaMbuma 8 วันที่ผ่านมา

      nikweli kabisa jamani kama hivi tumekuwa tunahangaika tuu yani kama mtu huna imani kwa mateso unayo pitia unakufa kabisa sikuwahi kufikiria hata siku moja kama ntafikia mtu wa kuws naonekana kwenye media inaniuma ila ntafanya nn sina njinsi imenibidi nakama nakosea mungu anisamehe

    • @KhadijaMohamedy
      @KhadijaMohamedy 8 วันที่ผ่านมา

      ​@@KhadijaMbuma pole wajina

    • @KhadijaMbuma
      @KhadijaMbuma 8 วันที่ผ่านมา

      @@KhadijaMohamedy asante sana

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh 14 วันที่ผ่านมา +2

    Dada upate na dua una mitihani mikubwa hata yangu nayaona madogo niliposikia yako pole sana ndugu yangu

  • @chepkirui-vn1bu
    @chepkirui-vn1bu 9 วันที่ผ่านมา

    Calcium

  • @Nairathy
    @Nairathy 13 วันที่ผ่านมา

    Pole sana ndugu Allah atakuwekea wepesi ameen mtoto mzuri MashaAllah

  • @msowamhokole7714
    @msowamhokole7714 13 วันที่ผ่านมา

    Mbezi kanisani huko ndiko kuna huponyaji Rudi Tena utapata huponyaji kwa jina la Jesus amein

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 13 วันที่ผ่านมา

    Daah nimeumia nikiwa km mzazi 😢😢pole sana ndg yangu Allah akupe subra ila pia anavyokaa inachangia mgongo kuuma awe anamlaza bila kuweka kitu kichwan hapo alipokaa hivyo pia inachangia maradh ya mgongo 😢😢mungu atamfanyia wepes inshallah 😢

  • @vincej9275
    @vincej9275 13 วันที่ผ่านมา +1

    Kuna shida na majaribu nyingi sana humu duniani lakini Mungu yup nasi. Pole sana dada.

  • @FatumaHamadi-s9f
    @FatumaHamadi-s9f 9 วันที่ผ่านมา

    Pole sana mama allah akupe wepesi inshallah

  • @sein.208
    @sein.208 12 วันที่ผ่านมา

    Subhana Allah 😭
    Allah atatoa njia pasipo na njia
    Namba ya Voda ipo kaka Fabby

  • @yousifyousif-p7f
    @yousifyousif-p7f 13 วันที่ผ่านมา

    Pole sana dada mungu atakufanyia wps kila jambo alh anasababu xake🙏

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 14 วันที่ผ่านมา

    Pahii itakuw kunauchaw hapo siyo bure

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 13 วันที่ผ่านมา

    Katoto kazuri

  • @SalmaMajeshi
    @SalmaMajeshi 13 วันที่ผ่านมา

    Pole sana kwa uwezo mungu atapo

  • @AverinaShirati
    @AverinaShirati 13 วันที่ผ่านมา

    Binadamu wana roho mbaya

  • @aishatest4451
    @aishatest4451 13 วันที่ผ่านมา

    pole sana😢😢😢😢

  • @AverinaShirati
    @AverinaShirati 13 วันที่ผ่านมา

    Mtoto mzur

  • @Fortune-x5q
    @Fortune-x5q 13 วันที่ผ่านมา

    Mmmmm dunia hii

  • @faridaally-jp1gx
    @faridaally-jp1gx 14 วันที่ผ่านมา

    Pole sanaa ndugu yangu

  • @MwajinaAmeir
    @MwajinaAmeir 13 วันที่ผ่านมา

    M/ mungu atamuafu

  • @omanmct135
    @omanmct135 14 วันที่ผ่านมา

    Subhanalllah

  • @rahmasalum8642
    @rahmasalum8642 14 วันที่ผ่านมา

    Subhanallah

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh 14 วันที่ผ่านมา +1

    Pole sana dada hiyo ni mitihani M/mungu kakuletea utashukuru au utakufuru na matajiri wacheni kuwapa kauli chafu wanaohitaji misaada kwani hata yy anatamani maisha kama yenu yote ni mipango ya Allah anampa mtu kwa wakati wake

  • @asiasalim9323
    @asiasalim9323 12 วันที่ผ่านมา

    Pole Sana ALLAH atampa shifaa da Tu wetu aamiyn

  • @erinestangowi7785
    @erinestangowi7785 13 วันที่ผ่านมา

    ℙ𝕠𝕝𝕖 𝕞𝕒𝕞𝕒 𝕦𝕤𝕚𝕜𝕒𝕥𝕖 𝕥𝕒𝕞𝕒𝕒 𝕓𝕒𝕕𝕠 𝕞𝕕𝕒 𝕦𝕥𝕒𝕗𝕒𝕟𝕚𝕜𝕚𝕤𝕙𝕒 𝕝𝕟𝕤𝕙𝕒𝔸𝕝𝕝𝕒𝕒𝕙

  • @OmanOman-bx5du
    @OmanOman-bx5du 14 วันที่ผ่านมา

    😢😢

  • @AverinaShirati
    @AverinaShirati 13 วันที่ผ่านมา

    Dada nenda kwenye maombi wanakuloga

  • @aminamareta9297
    @aminamareta9297 14 วันที่ผ่านมา

    Dada pire sana 😭😭😭 nimejikuta natokwa na machonzi

  • @AidathRweyongeza
    @AidathRweyongeza 13 วันที่ผ่านมา

    Yaani hii mitihani ya duniani kila mtu anayake kikubwa subra yaani ukisikia ya wengine unasema yangu afadhali mungu nashukuru kwa kila jambo nilihangaika na mwanangu ila nashukulu kapona bugando ilikuwa kama nyumbani yàani nikiingia tu unasikia naitwa dactar wote walinijua jina yaani kuuguza kunahitaji subra

  • @fguy2687
    @fguy2687 14 วันที่ผ่านมา

    Pole mamaa

  • @omanmct135
    @omanmct135 14 วันที่ผ่านมา

    Aaaalllah atakufanyiye wepesi yarab

  • @fatmahaji7639
    @fatmahaji7639 14 วันที่ผ่านมา

    Pole sana Mama usikate tama😭😭😭😭

  • @Hot_rod-lies
    @Hot_rod-lies 13 วันที่ผ่านมา

    Mama kuwa na subra .mungu anampenda mwenyea kusubire huyo mama Samia hamuonia jamania mungu msaidia

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 14 วันที่ผ่านมา

    Polen san ndug yetu wakondoa mungu akupe nguv mungu yupo atakusaidia yan ndugu wasiku hiz ni mtihan ndug yako katoka kijijin anamtt mgojwa bad unalipiw nauli ten w mungu tusaidie yarabii milion 7 lailallh subkhan llah

    • @KhadijaMbuma
      @KhadijaMbuma 8 วันที่ผ่านมา

      asante nashukuru sana ila huyo aliye nipeleka ni dd angu ila hana uwezo pili ni mjane hataivyo ananisaidia sana maana anakaa gongola mboto ila alinifuata mbezi akanipokea na tukaja mpaka buza na alilala huku asubuhi tukadamkia hospital niuwezo tuu hana dd angu shukrani

  • @arafakhamis3336
    @arafakhamis3336 14 วันที่ผ่านมา

    Pole

  • @MaiyaMbuma
    @MaiyaMbuma 13 วันที่ผ่านมา

    Pole dada angu

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 14 วันที่ผ่านมา

    Mrudishe mtt kwa mam ako inshaallah mungu atakusaidia usikate tamaa dada

  • @DelightfulMacawBird-tl5hf
    @DelightfulMacawBird-tl5hf 13 วันที่ผ่านมา

    Dah pole sana

  • @SaidMgeni
    @SaidMgeni 13 วันที่ผ่านมา

    شفاء عند الله

  • @tato8979
    @tato8979 14 วันที่ผ่านมา

    Pole sana mama 😢😢

  • @Zuuh4286
    @Zuuh4286 14 วันที่ผ่านมา +1

    𝖯𝗈𝗅𝖾 𝗌𝖺𝗇𝖺 𝖬𝗎𝗇𝗀𝗎 𝗒𝗎𝗄𝗈 𝗇𝖺𝗐𝖾 𝗄𝗂𝗅𝖺 𝗄𝗂𝗍𝗎 𝗄𝗂𝗍𝖺𝗄𝗎𝗐𝖺 𝗌𝖺𝗐𝖺😢😢😢😢