Namshukuru MUNGU kwa neema aliyoiachilia juu yako mtumishi na pia nakushukuru kwa masomo na neno unalo fundisha kiukweli waga na barikiwa sana nakuombea kwa MUNGU akuzidishe kwenye kila hitaji lako na MUNGU azidi kukutumia na kukubariki.
Kweli pastor barikiwa sana,,,,,,,,,ila pastor Mimi kuoba uwanashidwa kabisaa. Lakini kuiba nyimbo za kuabu Mimi nkosawa na kusikiza neno nikosawa shida ni kuoba shida nini pastor nijibu aki
Sijawahi kujua kama wewe Myamba una Injili ya kweli namna hii, nilikufatilia sana ukiwa mwigizaji, lakini sijawahi kusikiliza mahubili yako, mwanzo mwisho. Hapa nilikuwa najaribu tu, lakini nimejikuta navutiwa kuendelea kusikiliza, mpaka mwisho. MUNGU ANIPE KIBALI NIWEZE KUFIKA KANISANI KWAKO
Umenena vyema mtumishi Swali lngu ni, kwa mfano mimi ninafanya biashara zangu karibu na bar au club na kila nyimbo inayopigwa pale naisikia je imekaaje hiyo?
ndo maana tunatubu kila wakat hujui ulpokesea n.wap sikio lako laweza kukukosesha macho yaweza kukukosesha kila kiungo cha weza kukukosesha so unatub all the time
Asante Mch. Myamba kwa neno hili nimejifunzsa mengi Mungu akubariki sana. Hii ni injili isiyoghoshiwa
Kwa injili hii mtumishi wa Mungu ubarikiwe mnooo.
Nabarikiwa najifunza mengi sana na naomba kristo bwana anifanye sawa na Mapenzi yake Ili niwe vema kabisa katika neno lake Ameen..
Amen papa I love this 😂😂❤❤❤❤ This is pure truth ❤❤
Aminaa mtumishi wa Mungu
Ohh haleluya Asante Yesu kwa neno hili asante kwa ajili ya mtumishi wako pastor Myamba na jopo lake sifa na utukufu nakuludishia wewe Mungu.
Hii ndio injili ya kweli...nmebarikiwa sana mtumishi wa MUNGU 🙏
Ameen barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Tuko pamoja mchungaji barikiwa sana damu ya YESU ikufunike daima Amen
Hakika mtumishi mungu akubariki sana kwa kutufundisha vyema kabisa mungu azidi kukulinda na kuku ongoza zaidi
Mungu akubarikiii Sana Mchungaji 🙏🙏
Amina mtumishi hakika umenifundisha jambo kubwa ktk maisha yangu.
Barkiwa xna mtumishi wa mngu nimebarkiwa
Thank you so much leo nimejifunza jambo kubwa sana Mungu akubariki sana Pastor
Ameen Baba nimetoka nakitu hapa Mtumishi wa Mungu
Bongo freva ni dhambi kulingana na mujibu wa kitabu2 korintho 6:14-18 ni kwasababu hawajaamini
Asanteee Mungu akubariki Sanaa pastor
Nabalikiwa sana namafundisho yako
Asante kwa neno pasto
Nimebarikiwa sana.Yesu nisaidie
Aminaa sana
Hakika hii kweli kabisa maana ana heri asikiyaye na kushika asante sana umenitiya moyo kwa mafundicho haya God bless you
Amina nakuelewa Baba
Namshukuru MUNGU kwa neema aliyoiachilia juu yako mtumishi na pia nakushukuru kwa masomo na neno unalo fundisha kiukweli waga na barikiwa sana nakuombea kwa MUNGU akuzidishe kwenye kila hitaji lako na MUNGU azidi kukutumia na kukubariki.
Ohhh that is me baba😭😭 asante Roho Mtakatifu
Huwa najiskia kuimba tenzi za rohoni ohh sifa nakuludishia wewe Mungu🙌
Amina
Amen Kenya tuko pamoja
Amen baba nime pokea kitu kikubwa sana 😭😭😭
Glory to God 🙌
Awesome doctrine
Am blessed 🙏
Mngu awabariki wote
Amen baba yangu! Barikiwa sana
Kweli pastor barikiwa sana,,,,,,,,,ila pastor Mimi kuoba uwanashidwa kabisaa. Lakini kuiba nyimbo za kuabu Mimi nkosawa na kusikiza neno nikosawa shida ni kuoba shida nini pastor nijibu aki
Pastor nashukuru sana kwa mafunzo mhimu hakika kwangu sikua najua kupe kusikiza Bongo ni Dhabi
Well-done man of God, may Almighty living God bless you more.
Somo zuri Sana...nimejifunza mengi kupitia mahubiri haya kwa njia ya mjadala
Thank you for this powerful teaching.
God bless you my pastor
Amina mtumishi wa Bwana , nimekuelewa.
Nakuelewa sana mtumishi
Amina ubarikiwe pastor
Yani kweli kabisaaaaaaaaaaa
😭😭😭😭 Asante YESU kwa somo hili
Aminna nimepona
Aminaa ujumbe mzuri
Amen Amen Amen you
Ameen.nimejifunza mengi be blessed Pastor
Be blessed pastor
Thanks so much pastor, nimejifunza mengi sana, my God bls you.
Nice 👍
Hiyo ndio injiri nyeupe ni nyeupe tu na nyeusi ni nyeusi tu hajarishi itagarim kiasi gan ukwel lazima ujurikane tu thank pasta
Ameen
Asante sana kwa mafundicho mazuri nami na farijika sana kwa neno hili mungu azidi kukulinda katika kila jambo
Kanisa lako Lipo eneo gani hapa
Sijawahi kujua kama wewe Myamba una Injili ya kweli namna hii, nilikufatilia sana ukiwa mwigizaji, lakini sijawahi kusikiliza mahubili yako, mwanzo mwisho. Hapa nilikuwa najaribu tu, lakini nimejikuta navutiwa kuendelea kusikiliza, mpaka mwisho. MUNGU ANIPE KIBALI NIWEZE KUFIKA KANISANI KWAKO
Umenena vyema mtumishi
Swali lngu ni, kwa mfano mimi ninafanya biashara zangu karibu na bar au club na kila nyimbo inayopigwa pale naisikia je imekaaje hiyo?
ndo maana tunatubu kila wakat hujui ulpokesea n.wap sikio lako laweza kukukosesha macho yaweza kukukosesha kila kiungo cha weza kukukosesha so unatub all the time
Amen Amen