Kila ifikapo kumekucha mimi naamka Riziki mtaani Bwana mimi natafuta Chochote kila unanipa Na hata kama ninakosa Tamaa mimi sitokata Uhimidiwe ee Bwana Yesu.....good piece
Uhimidiwe wewe Bwana na kutukuzwa. Amina. Ukatoliki uko damuni mwangu na kwaya ni sehemu ya pumzi yangu. Asanteni sana kwa kuniinjilisha kwa wimbo huu mtamu. Silali bila kusikiliza. Nawapenda Wana Bunju.
mziki safi kweli kweli hili ndilo kanisa la Kristo na misingi yake itadumu milele mbalikiwe sana endeleeni hivi safi RAJO lia kwa kuboresha kwaya zetu UHIMIDIWE
Huu wimbo nakumbuka pindi tunahitimu f4 tuliimba kwenye graduation so I'm happy to listen this song because i remember long time a go,thanks all played this song 🌹🥀🏵️🌻🌴🌳🍀🌿🌱🌱🌀💐🌲☘️🌾🍁💮🌸🌼🇹🇿by CHIEF DODO
Hakika mumeimba vzr saaana hongeren kwa kweli nimefarijika nikiwa sehemu ambayo makanisa ya wakristo hakuna kwa kweli nimefarijika mnoooo mpaka nimemic kwetuuu
Love song unanipa faraja sana uhidimiwe bwana #like zangu 2023 mwezi august tarehe 27 km bado unasikiliza huu wimbo
Kila ifikapo kumekucha mimi naamka
Riziki mtaani Bwana mimi natafuta
Chochote kila unanipa
Na hata kama ninakosa
Tamaa mimi sitokata
Uhimidiwe ee Bwana Yesu.....good piece
Uhimidiwe wewe Bwana na kutukuzwa. Amina. Ukatoliki uko damuni mwangu na kwaya ni sehemu ya pumzi yangu. Asanteni sana kwa kuniinjilisha kwa wimbo huu mtamu. Silali bila kusikiliza. Nawapenda Wana Bunju.
Mungu abariki waimbaji wetu wanao eneza injili ya Bwana
My favourite 🙌🙌🙌 Nimebarikiwa na nyimbo...nazikiza kutoka Kenya.
EE BWANA UHIMIDIWE NA KUTUKUZWA MILELE MILELE NA MILELE.AAAAMINA.Hakika mmeimba vizuri.
mziki safi kweli kweli hili ndilo kanisa la Kristo na misingi yake itadumu milele mbalikiwe sana endeleeni hivi safi RAJO lia kwa kuboresha kwaya zetu UHIMIDIWE
Mubyeyi Nyilimpuhwe Mama Maria Udusabire.Ni Wowe Mubikira Gusa Ntawundi.Amen .
Barikiwa cn watumishi mungu azidi kuwatunza mwendelee kuhubiri neno lake kwa njia ya uimbaji
Nice song congratulations may God strengthen your faith to countiue priseing.
Kweli ray ufunguo ni ufunguo kweli. Kubamba nayo
I see baraka fund from RUCU PRODUCT, VERY PROUDLY SONG, WELL COMPOSED
Huu wimbo nakumbuka pindi tunahitimu f4 tuliimba kwenye graduation so I'm happy to listen this song because i remember long time a go,thanks all played this song 🌹🥀🏵️🌻🌴🌳🍀🌿🌱🌱🌀💐🌲☘️🌾🍁💮🌸🌼🇹🇿by CHIEF DODO
wimbo upo sawa kabisa. mmenibariki sana enyi wanakwaya. tuendelee kuinjilisha kwa njia ya uimbaji.
Muziki Mtakatifu kweli kweli 🎉🎉. Much love from Thika Kenya.
Anastacia hongera kwa nyimbo Tamu Mola akubariki na maisha marefgu na kupenda tu sana
Pamoja tuselebuke tumtangaze huyoooooo, ahsante sana
Uhimidiwe Bwana na utukuzwe milele yote,Wanakwaya hongereni sana!!!Veronica from Kenya
thankc madame vero. its me mtunzi
Ray Ufunguo, best director
Mungu awabariki kwa kazi nzuri ya kumhubiri Kristu na kutangaza ukuu wake
A prayful day by listening to the Catholic songs
Uhimidiwe bwana ninakupenda na kukutukuza ayeeeeee , wachaweeeee kweli pongezi saana kwenu
Kwaya tamu imejaa ujumbe mzito waneno lamungu""""""'''''"""baraka zamungu ziwalinde daima namilele
2020 bado wimbo uko poa mashairi mazuri ya kumsifu Mungu ongeleni sana
Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yang
Hakika mumeimba vzr saaana hongeren kwa kweli nimefarijika nikiwa sehemu ambayo makanisa ya wakristo hakuna kwa kweli nimefarijika mnoooo mpaka nimemic kwetuuu
mbarikiwe waimbaji.na we ray hizi video mpaka raha. full HD
Keep up. The catholic music is sung by a choir. This is a value which brings people together
Ahimidiwe kweli na kutukzwa are!
uhimidiwe bwana amina nimebalikiwa sana na wimbo wenuuuu
Mung awongoze marokia yangu name baba yang paroko mtei azidikutuongoza nakutulinda pamoj name fathe Dominic baba wamalez
Huu wimbo umenibariki kweli.mbarikiwe nyote.
Waaa ati sahi ndiyo najua huu wimbo
Truly God forgives the sinners🙏uhimidiwe milele
Nzuri... Dodosha.... Furahini.... Ule wimbo WA pasaka
Uhimidiwe
unanipenda,unanijali,unasamehe
uhimidiwe na kutukuzwa milele
Since 2018 to 2022 almost coming to an end..Bwana uhimidiwe na kutukuzwa aaaaeeeeeeeeh👌👌👌👌💖
Napenda nyimbo za kwaya katoliki.mimi ni mkatoliki damu.ni mwanakwaya pia
Nawapenda sanaa Wakwaya Wote Wimbo mnzur Snaa
Proud to be a catholic ❤️🌹
Nice song touch my heart praise the Lord
Mungu anastahil kuhimidiwa milele
Nikisikilizaa najisikia Raha Sanaa asantee mung wangg
Kweli kabisa ni yeye tu anayehimidiwa. Mko poa kweli
Aimidiwe milele ginsi mwaimba amina
Sauti nyororo kweli. Hongereni
Mbarikiweee sana, mpga kinanda nmemfananisha na mwenyekiti wangu wa Muccassa ,st.aggrey tc mbeya 2014
Hakika ni wewe tu bwana wetu yesu unasitahiri kuimidiwa peke yako milele na milele
Umetungwa ukatungika. I never tire watching. God bless your voices.
Nabarikiwa na nyimbo zenu,MUNGU awabariki saaana
Mungu awatunze kazi nzuri🙏🔥
Wimb mzuri xana naupend🙏🙏🙏💞💕💞
Mungu hupenda wale wanaomwimbia nyimbo tamu sana
Moja kati ya nyimbo ninazozipenda sana. Hongera kwaya Kwa kazi nzuri sanaaa🙏🙏🤔
Asante tunafurahi sana!
nimeipenda zaidi Ray.....hio hali ya muziki sasa IPO juu Sana maze....#niko mjini kenya....Angusha " furahini " kaburini hayumo Jmc na perfecto mutuka
ninajisikia amani sana ninapousikiliza wimbo hui, yaani mbarikiwe sana kwa kutuzidishia kuwa na matumaini kwa mola
Mungu awabariki kwa huduma nzur mzidi kumtumikia yeye
Wimbo mzuri sana naupende
mziki mzur Mungu azid kutukuzwa milele
Uhimidiwe bwana!! Milele amina
Uhimidiwa Bwana na utukuzwe Mungu awabariki sana
hongereni sana kwa wimbo w enye ujumbe mzuri mbarikiwe
Great song, Beautiful melodies
Tumsifu Yesu kristu.na ahimidiwe milele
kazi nzuri
dondosha na nyinine
Kazi nzuri iliyotukuka na yenye mvuto
I have loved everything about this song. God bless!!!
hongereni sana kwa kwaya mzur
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌kazi safiiiiiiiiiiiii
I wish I could understand the language but I love it more because I don't understand the language
Kwaya naipenda sana nawatakia uimbaj wa aman.
God bless you so much for this nice song
mungu wetu ni thamani sana mubarikiwe sana wimbo uko vzl xn
Uhimidiwe ewe bwana
Beautiful beautiful and inspiring ❤❤❤
Kaka Sisa Acray hongera sana kwa tungo mzuri
Amen mmbarikiwe wote kupitia hii nyimbo
Kwaya ya maria consolatha SUA hakika mpo vizuri
Amazing sweet song❤️
Wananipa baraka mara mbili ya ibada yangu big... Up... Sana Rajo production
aiii huu wimbo na ule wa umetamalaki ni nota sawa kabisa hasa pale mwanzo wa mashairi. Originality is in question
Mutiga MC Anthony inaweza ikafanana lkn haimaanishi kakopi ukifatilia vzr wimbo huu ni tofauti na ule wa wana judatadei
waoooh NYC song can't get enough of it
mko juu wapendwa mungu awabariki
Jacob Tomas nataman kufikia walipo ,,,,,sauti wanazotoa burudan tosha
Hongeleni jamani Mungu awabariki
Uhimidiwe kweli Bwana
Unanipenda uhimidiwe, unanijali uhimidiwe, unasamehe🥰
Wonderful voices
Amina mbarikiwe kwa kazi nzuri
Mnaukoka moyo wangu, mbalikiwe sana!
Hiyo siyo KMK Makuburi,hakikiaha uwe unazijua kwaya ndio utume humu
Sifa kwake bwana🙏
Am so in love with this ❤
Wooooi like the guitar rhythm keep up the good work
Blessing kwa kweli keep it up
nzuri nimependa
Nimeipenda Naweza kupata DVD au CD yake
Nancy Mateso makali ndio unaweza kupata, zote zipo
kupata DVD 0712813510 BUNJU/TEGETA DSM
Nice ,perfect love this
ngoma nzuri inayovutia sana hongera
kweli uhimidiwe bwana
Wow love this song so much 😂😂❤
kazi nzuri sana..keep it up
Nice one
safi sana proud to be a Catholic