Si mpaka muchaguliwe au mtaendelea kuiba mdhulumu watu mpige watu kisa tuu muongoze nchi hata km hamchaguliwi haya Allah yupo anaedhulumu hamsameh kishasema
Maisha nikuchagua, lakujiuliza ni Moja TU kwamba Tanzania itakuwa hivo ila wamiliki watakuwa wangapi, kiwango Cha wamiliki kitaendana kiwango Cha raia wa nchi,?
Kupanga na kusema ni kitu kimoja na utendaji ni kitu kingine. Kwa rushwa hii tunayoiona ndani ya CCM itachukua miaka elfu tano kufikia hayo mnayosema. Mnapiga domo mno lakini hamtendi alafu ni walafi sana.
2050 wengine watakuwa peponi na wengine watakuwa motoni Allah atupe mwisho mwema amin
ASUBUTU mwenyezi mungu sio rafiki wa mtu yoyote ulimwenguni
Si mpaka muchaguliwe au mtaendelea kuiba mdhulumu watu mpige watu kisa tuu muongoze nchi hata km hamchaguliwi haya Allah yupo anaedhulumu hamsameh kishasema
CCM haina Mungu ushindi lazima hiyo ndio kauli yao. Na ndio maana wanashinda akitaka asitake Mungu.
Makosa sana kuongea hivyo wakati mwingine chunga Sanaa
Inshallah kheri .🙏
Kila lakheir
Maisha nikuchagua, lakujiuliza ni Moja TU kwamba Tanzania itakuwa hivo ila wamiliki watakuwa wangapi, kiwango Cha wamiliki kitaendana kiwango Cha raia wa nchi,?
Wacheni kutuletea Treni za diesel...
Hivi hamtaki kuongozwa na CCM kwa sasa, mnataka muongozwe na chama gani??? Hebu tajeni! Chama gani kwa sasa??
Kupanga na kusema ni kitu kimoja na utendaji ni kitu kingine. Kwa rushwa hii tunayoiona ndani ya CCM itachukua miaka elfu tano kufikia hayo mnayosema. Mnapiga domo mno lakini hamtendi alafu ni walafi sana.
Akija mtawala mwengine atakuja na dira zake mpya
Sana
Ccm tunashida ushidi wa kishido hatutaki uongo wako