A mon DIEU j'aime bcp tous l'album de la groupe le santinelle si je l'écoute les ciel s'ouvre directement bénis tous les serviteur de la groupe par les nom puissant de Jésus-Christ de Nazareth
je benis Dieu qui te fais Maitre dans le domaine.je suis heureux de te voir briller a la gloire de Dieu avec les memes valeurs et plus de profondeur.Leza akwesele lolo
Mziki mzuri Sana Papa Ibrahim.... Mumwamulu....nabarikiwa sana na hii kazi...hata kama siskii lugha yenyewe.... Lakini naskia tu kuitazama tena na tena... Barikiwa sana Papa
The song of the season 2021 good work congratulations very powerful song very powerful video clips good work Aleluiah alleluia wimbo ya mafuta bless you very powerful message
Alleluia Aleluiah alleluia wimbo ya muzuri Sana Ina upango Sana very nice voice bless you good work congratulations very powerful song fire to fire up up bless you
Ashukuriwe Mungu.... Sifa zina yeye Milele
Good job My brother 🤝🤝🙏🙏💪💪
A mon DIEU j'aime bcp tous l'album de la groupe le santinelle si je l'écoute les ciel s'ouvre directement bénis tous les serviteur de la groupe par les nom puissant de Jésus-Christ de Nazareth
Ubarikiwe Sana mtumishi
Wakupele muya, hongera sana mtumishi ubarikiwe kwa kazi nzuri
Wow a very great song my dear brother
Wow! Wow,, sisemi kitu,, hakika mnapendeza Sana.. Mziki umepangwa Sawa.. Be blessed
Neema inatosha baba.... Ubarikiwe pamoja na kikundi chako mnafanya kazi nzuri
Kazi nzuri sana mtumishi, neema na izidi kuwa juu yako
Hongera Sana mtumishi kwa kazi nzuri
Barikiwa Sana mtumishi wa mungu kazi yako jema Sana 💯
Barikiwaaaaaa Sanaa Songa mbeleee 🎧🙏
Sifa zimu rudi yesu🙏🤝🤝
Hakika barikiwa Sana mtumishi wa mungu daah nyimbo tam Sana mtumishi barikiwa Sana
Wakupelemuya, hongera Sana mtumishi ubarikiwe
Haleluya wimbo nzuri kabisa sifa kwa Yesu
Amen hapa ni mziki bila Jasho. Barikiwa mtumishi
Mungu azidi kukuinua
Awesome 👏👏 Dancing all the way 💃💃
Glory to lord
God bless u
So Nice 🥰✌🏽✌🏽✌🏽✌🏽🔥🔥🔥🔥
Kazi nzuri papa . You are blessed. Nimemiss huduma Yako sana mtumishi.
Mungu akutendeye mema siku baada ya siku, naona unaimba na kuchaza cha nyumbani
Asante bro Ibrahim kwa kuwa wa baraka kwa wengine.Mungu wa mbinguni akubariki zaidi, akupe nguvu na hekima unapomtumikia
je benis Dieu qui te fais Maitre dans le domaine.je suis heureux de te voir briller a la gloire de Dieu avec les memes valeurs et plus de profondeur.Leza akwesele lolo
Hallelujah, Nice song I like it
Nyimbo nzuri sana
Zimejaa mafuta,Mungu akuzidishe
Na kukuongeza🔥🔥🔥🔥🔥
Amen amen
Félicitation pour la meilleure chanson de tes œuvres .prophète Giresse Aristote !
Wooooooooo this is more 🔥 my brother Kaseya, aki Uinuliwe saaaaaana mtumishi mwenzangu .
Amen amen maman Caroline
God bless you watumishi, kazi mzuri.
Wimbo tamu Sana, You're blessed
Amen.. kazi nzuri Sana watumishi
Ubarikiwe Sana mtumishi kazi nzuri Sana
Mooooooooooooto 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💃💃💃💃💃💃 Tooooooooooooota Mwana Leza 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🔥🔥🔥
Ooh hallelujah.. beautiful song.. keep it up
Ubarikiwe sana wimbo mzuri unabariki
Glory glory glory glory glory glory glory glory glory glory glory to Jesus Christ Aleluiah alleluia wimbo ya mafuta bless you
Nice one brother,,keep the fire burning.. And be blessed...
Barikiwa Sana mtumishi wa mungu kazi jema Sana kaka
God bless you brother Ibrahim for this powerful song
Lelelelelele 🙌🏻🙌🏻🙌🏻, ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu ,Tooooooooooooooota
Amen amen my sister
Hii NYIMBO nzr KWELI imenibariki SANA
Mziki mzuri Sana Papa Ibrahim.... Mumwamulu....nabarikiwa sana na hii kazi...hata kama siskii lugha yenyewe.... Lakini naskia tu kuitazama tena na tena... Barikiwa sana Papa
Amen amen ubarikiwe piya
QUE DIEU BENISSE LE GROUPE LA SENTINELLE
Nice song
Am blessed
God bless you my Dear brother
👏👏👏👏👏👏👏👌👌
Amen amen maman Joyce
Wimbo huu ni moto🔥🔥
Baba Mungu akubariki sana na kukuinua zaidi unaimba vizuri sana
Âmen mtumishi wa MUNGU
Very nice song my brother, the creativity I'm the video is 🔥🔥🔥. Very nice video
Momwakulu momwakulu Tika mubana leza amen nzambe apambolayo mingi
Hallelujah. This is super awesome
Barikiwa Mutumishi na mungu akuinuwe
Waimbaji mmbarikiwe Sana, good vocal
Nice n powerful song.,ooh hallelujah
The song of the season 2021 good work congratulations very powerful song very powerful video clips good work Aleluiah alleluia wimbo ya mafuta bless you very powerful message
This is a good song. God bless you.
Good video wauuu love it
..
Nimeipendaaaaa💕💕
More grace to you as you serve God in music
Good song I love the video too ..nimedance sana😂
Alleluia Aleluiah alleluia wimbo ya muzuri Sana Ina upango Sana very nice voice bless you good work congratulations very powerful song fire to fire up up bless you
Amen amen Man of GOD
Amen
Nice song, am blessed
Lesa mwamujulu Aleluiah very powerful song I like video congratulations
Thanks à lot Man of GOD
Barikiwa sana mtumishi 🤗
I love this..Be blessed man of God
Powerful love this🔥🔥🔥🔥
Wimbo mzuri sana nimebarikiwa mno
Amen nimebarikiwa sana
Beautiful song there.
GOD Bless you
Kazi nzuri kaka uinuliliwe zaidi
Smart sana hii song ni fireeeeee
Glory glory glory glory glory glory glory glory glory glory glory to Jesus Christ Aleluiah alleluia wimbo ya mafuta bless you 💯💯💯💯💯💯
Belle chanson homme de Dieu
Que Dieu vous benisse
More grace savant
Halleluyah.may God uplift you more
Great song there. God bless you.
Mitindo za nguo ni more 🔥
Alléluia, asante sana maman Caroline
Kazi njema though sielew lugha
Perfect, wonderful song 🙏
Hallelujah 💃💃💃 more grace to you brother as you serve God in music ministry
nice song 🙌🙌🙌🔥🔥🔥🌷👌
Wimbo mzuri sana atakama sielewi
Numebarikiwa ya yote
Barikiwa Sana watumishi wa Mungu
More grace 👏👏👏
Amina dda wimbo mzuri.
Amen amen. Mungu akubariki
Mbarikiwe Sana wapakwa mafuta wa bwana
C'est super 😘😘😘😘🔥🔥🔥🔥✌🏽✌🏽
Courage frère.
Félicitations au groupe servez Dieu de tout coeur.
God bless your ministry
remember when I was young God bless you sister
Une très belle chanson mon grand frère, je suis trop fière de vous
Merci beaucoup mon frère
Une bonne chanson leza mukomokomo kibawana kya leza
Ubarikiwe Sana
Gloire gloire à notre Dieu, et felicitations a vous homme de Dieu.
Amen amen merci beaucoup
Nice Song barikiwa
Good work blessed
Na Mungu kukupa Neema na kibali
Beautiful song mwana less
Que Dieu vous bénisse papa et qu'il vous comble encore sa grâce🔥🔥🔥🔥
Wonderful 👏👏
Ubarikiwe Mtumishi
Beautiful song ❤️
Lovely song, more grace to your ministry 🙏