#TBC1
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
- Kipindi hiki kinakuletea kwa undani Mradi mkubwa wa uwekezaji wa kongani ya viwanda 200 unaojengwa Kwala mkoani Pwani wa SINO TAN INDUSTRIAL PARK.
Mtangazaji: Vumilia Mwasha
Mtayarishaji: Neligwa Mgittu
Mdhamini: Azania Bank
Fuatilia habari na matukio mbalimbali kwa saa 24 kupitia tovuti yetu, www.tbc.go.tz au App yetu ya “TBC Live” inayopatikana
Play Store (Android): bit.ly/3kYnnsr
App Store (iOS): apple.co/31Yxjta
Tufuatilie pia kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii;
Twitter: / tbconlinetz
Instagram: / tbc_online
Facebook: / tbconlinetz
Huyu Kyarara sector ilikuwa inamtosha hiyo, kamfanya nini mama akaondolewa kwenye machimbo hayo?
TANZANIA KUNA VIWANDA, AJABU VIBARUA KWA SIKU WANALIPWA ELFU TANO
Jamanii na jiji la mwanza lengepewa wawekezaji wa utalii jaman lijengee
Unamawazo kama yangu