We are in sad where a woman thinks before a man approaches her ,he should evaluate her "monetary" value first. sad times indeed. Find a job b!tch relationship is not financial opportunity
LEO KIPINDI KIMEZIDI KUWA KIBOVU, TUMEWAZOEA NA UBORA, ILA NOWADAYS MUNAZINGUA.. VIPINDI KAMA HIVI, UBORA WA SAUTI NDO KITU MUHIMU KULIKO KILA KITU, KWASABABU KUNA WENGINE SISI, HATA HATUANGALII TUNASIKILIZA TU.. ILA LEO NIMESHINDWA HATA KUMALIZA KIPINDI, MANA LEO NI KAMA MUKO BENJAMIN MKAPA, MUNAANGALIA MPIRA WA SIMBA VS YANGA.. FUJO NYINGI KAMA MUKO KARIAKOO.. ECHO😢
Hi 5 Mzee Lymo!
Wachagga uzungu unatufikishaga mbali sana...very understanding and very mindful 🎉🎉🥳🇺🇲🇺🇲
You killed it guys
Haita tokeaa kama hiii 🙌🙌🙌🙌
Show kali lakn punguzeni zogo
Finally . Happy news year all 2025 .. another excellent show .. my guy is back 🌶️🌶️📌♨️♨️🏴
Khaa nimeisubiri sana 🙌🙌
best show in TANZANIA so far
Nilikua nasikiliza vizuri mlipo Anza ukabila machame mmeniboa kinyama
MAMNISHI
umetishaaaaa sana mwanngu matukioooo😂😂🔥🔥🔥🔥🔥🔥
bonge la show 😂🎉
The junction leo moto big up jol mastor🫡
Nimeisubiri hii podcast Kwa muda mref sana
bonge la show mzee 😂
Ni nomaa👍
20:20 Ndo maaaaanaaah😅😅😅😅
Jol kamuuliza uyu dada anamuona kama nan?? Sijaipata, aloipata anisaidie
unyamaaa mwingi🤣🤣🤣🤣
The echo on the sound was a bit off .. but it’s all good otherwise
for sure😂
Exactly
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
We are in sad where a woman thinks before a man approaches her ,he should evaluate her "monetary" value first. sad times indeed. Find a job b!tch relationship is not financial opportunity
Kaka kuna echo
sauti kaka haiko pw
🔥🔥🔥🔥
LEO KIPINDI KIMEZIDI KUWA KIBOVU, TUMEWAZOEA NA UBORA, ILA NOWADAYS MUNAZINGUA..
VIPINDI KAMA HIVI, UBORA WA SAUTI NDO KITU MUHIMU KULIKO KILA KITU, KWASABABU KUNA WENGINE SISI, HATA HATUANGALII TUNASIKILIZA TU..
ILA LEO NIMESHINDWA HATA KUMALIZA KIPINDI, MANA LEO NI KAMA MUKO BENJAMIN MKAPA, MUNAANGALIA MPIRA WA SIMBA VS YANGA..
FUJO NYINGI KAMA MUKO KARIAKOO.. ECHO😢