TARI YAHIMIZA WADAU KUTEMBELEA BANDA LAO SABAASABA KUJIFUNZA TEKNOLOJIA ZA KILIMO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ม.ค. 2025
  • Watafiti kutoka Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) wametoa wito kwa wadau mbalimbali wa kilimo na biashara kutumia fursa ya Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (SabaSaba) kutembelea Banda lao ili kujifunza teknolojia mbalimbali za kilimo kuanzia afya ya udongo hadi uongezaji thamani wa mazao.
    Wito huo umetolewa na watafiti kutoka TARI, ambao wapo katika Maonesho ya Sabasaba yanayoendelea Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, yenye Kaulimbiu ‘Tanzania:Mahali Sahihi pa Biashara na Uwekezaji.’ TARI ikiwa inapatikana katika hema la Wizara ya Kilimo lijulikanalo kama hema la Katavi.

ความคิดเห็น •