Rasmi Yanga Sc Yatangaza Majina Ya Wachezaji 8 Wanaotemwa Dirisha Dogo

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ธ.ค. 2024
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 163

  • @emmanuelnicklass9579
    @emmanuelnicklass9579 4 ปีที่แล้ว +1

    Ni kweli kabisa GSM mnatufanyia mazur saana pia kocha wetu Cedric kaze n kocha wetu tunaemuamin saana, lakin tunaomba jaman cc kama wanayanga na mashabiki wa timu yetu hii toka moyon hao wote mlo wataja kocha unaweza ukaachana nao lakin, narudia tena lakin HARUNA NIYONZIMA tunaomba utuachie na aendelee kubak katika kikos, pamoja na yote sisi kama mashabik na wanayanga kwa ujumla tunatambua mchango wake katika club yetu, hvyo NIYONZIMA abaki tu jaman 😢🙏🙏

  • @ruqaiyaabdallah9967
    @ruqaiyaabdallah9967 4 ปีที่แล้ว +1

    Haruna Niyonzima baba mzazi babaa abaki jaman

  • @emmanuelbonifas3517
    @emmanuelbonifas3517 4 ปีที่แล้ว +1

    Mtajuana

  • @kenedlaurent1256
    @kenedlaurent1256 4 ปีที่แล้ว +1

    Haruna niyonzima asalie

  • @fatumandemanga281
    @fatumandemanga281 4 ปีที่แล้ว +1

    Niyonzima na Yacouba wangesalia.Wapewe muda was kujitathmini Tena.

  • @mabawamaguta9609
    @mabawamaguta9609 4 ปีที่แล้ว +6

    Yakuba Na yeye wampe match za kucheza Mimi namuona yuko bora zaid ya hata sarpong

  • @palanawemwamgunda6071
    @palanawemwamgunda6071 3 ปีที่แล้ว +1

    Yanga itashinda gori moja

  • @zephaniahndaki6463
    @zephaniahndaki6463 4 ปีที่แล้ว +1

    Waziri Junior angebaki kikosini.

  • @zaidyabdalah3691
    @zaidyabdalah3691 4 ปีที่แล้ว +1

    Tabu ya timu zetu zinasajiri wachezaji kwa mihemuko na mbwembwe nyingi badala ya kuchunguza kwa kina, sasa kiko wapi? Hao wachezaji wa nje wengi wao ni zero tu na ndiyo maana timu yetu ya taifa haifanyi vizuri sababu wenyeji hawapewi nafasi kwa sababu eti kaja Mkameruni, Mnigeria, Mburkina faso nk.

  • @harunathabit1032
    @harunathabit1032 4 ปีที่แล้ว +1

    Wanakosea kumacha haruna

  • @petermniko4522
    @petermniko4522 4 ปีที่แล้ว +1

    Haruna nyonzima bado tunampenda mashabiki wa yanga africa

  • @meshackngaiseri385
    @meshackngaiseri385 4 ปีที่แล้ว

    Haruna niyonzima ni mchezaji mzuri sana aendelee kuitumikia Yanga

  • @godfreymapunda6148
    @godfreymapunda6148 4 ปีที่แล้ว +3

    Niyonzima abaki ndio mlezi wa tim

  • @adamukitola8808
    @adamukitola8808 4 ปีที่แล้ว +2

    Kawamie nyonzima abaki

  • @rojababa301
    @rojababa301 4 ปีที่แล้ว +4

    NIYONZIMA kwa upande Wangu naomba afikiliwe kubaki

  • @mwinyiherymohamed5308
    @mwinyiherymohamed5308 4 ปีที่แล้ว +2

    Kwa yacouba hapo sijakubaliana nao kama ni kweli. Hio ni mashine

  • @yahayamxanya8366
    @yahayamxanya8366 4 ปีที่แล้ว +2

    Mm nataka haruna niyonzima abaki na yacouba abaki ni hao tu ndo naona wakibaki wanaweza kutusaidia cc wananchi

    • @josephatbosco9334
      @josephatbosco9334 4 ปีที่แล้ว

      Niyonzima tunamhitaji Sana wengine timueni kabisaaa.

    • @maryamhaji1574
      @maryamhaji1574 4 ปีที่แล้ว

      YACOUBA BONGE LA STRIKER TWENDENI AIRPORT KESHO TUKAMPOKEE .

  • @nyakusumanyakusuma7421
    @nyakusumanyakusuma7421 4 ปีที่แล้ว +1

    Nisawa , mana hakuna haja yakuenderea kuwa na mchezaji wakti hapti nafas namchango wake mdgo, haswa wachezaj km wa kitaifa tumewachukua kwa pesa nyingi, xn afu hamn kitu, bado kuna wengine km 3 wazd kupunguzwa. Ilii tupate watu sahh wenye uwezo mkubwa wakufanya jambo tunalitarajia ,

  • @eliasmachaku3936
    @eliasmachaku3936 4 ปีที่แล้ว +1

    Yacuba na Nyonzima hapana

  • @ghalusjoseph3968
    @ghalusjoseph3968 4 ปีที่แล้ว +1

    Acheni zenu

  • @Bongo1Media
    @Bongo1Media 4 ปีที่แล้ว +1

    Balaa zitooo bloody

  • @geofreymatembo8518
    @geofreymatembo8518 4 ปีที่แล้ว +1

    Baba mzazi baba aendewap

  • @lomnyakikivuyo9626
    @lomnyakikivuyo9626 4 ปีที่แล้ว +1

    Niyonzima aende wap jmn....?? Akiondoka nami naihama hii team hata ikishinda ligi kuu siitaki tena mbwa nyie Niyonzima bado ni mzur sana msijitie ulimbukeni muonekne mmebadili wachezj please tumieni akili viongozi wa Young Africans

  • @mariammwambepa4352
    @mariammwambepa4352 4 ปีที่แล้ว +1

    Umjitaid kutudanganya

  • @malelefrancis2052
    @malelefrancis2052 4 ปีที่แล้ว +3

    Niyonzima abaki

    • @estorykadewele3691
      @estorykadewele3691 4 ปีที่แล้ว

      Hivi huyo mtoa habari huwa anaambiwa na nani au anatumwa acha ujinga wewe mwandishi mpumbavu hutumii akili

  • @yahayab4u614
    @yahayab4u614 4 ปีที่แล้ว +3

    Nionzima kaisha aondoke pancha

  • @petertungulu2088
    @petertungulu2088 4 ปีที่แล้ว +1

    Haruna Niyonzima abaki na wala asitolewe kwa mkopo.

  • @stevendavid3876
    @stevendavid3876 4 ปีที่แล้ว +3

    Haluna afikiliwe upya

  • @deomkanula7983
    @deomkanula7983 4 ปีที่แล้ว +1

    Niyozma na yakuba wabaki na wazili

  • @festomwizarubimwizarubi8187
    @festomwizarubimwizarubi8187 4 ปีที่แล้ว +1

    Nionzim

  • @immatadei2441
    @immatadei2441 4 ปีที่แล้ว +1

    Weeeee kima kiaz kweli ww huyo cendric ana mamlaka gan pumbavu

  • @annadotto2429
    @annadotto2429 4 ปีที่แล้ว +1

    Jaman !chonde chonde Haluna mtuachie

  • @samwelsimon9278
    @samwelsimon9278 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwani vigezo gani mna angalia mbona niyonzima nimchezaji mzuri ila wasaidizi wa kocha ndiyo wa bovu panga lipite huko yakuba apewe mda

  • @velusleonis1930
    @velusleonis1930 4 ปีที่แล้ว +2

    Nionzima asiachwe jamani

  • @charlessimon7518
    @charlessimon7518 4 ปีที่แล้ว +4

    Niyonzima nimchezaj mzur ningependa amfikilie

  • @mabawamaguta9609
    @mabawamaguta9609 4 ปีที่แล้ว +2

    Niyozimaa Na Yakuba wabaki Na hata kama wakiwatema watakuja kuwakumbuka2 mbonaa

    • @eliudjoery8750
      @eliudjoery8750 4 ปีที่แล้ว

      Yakuba haondke2 ana maajabu km ype uyo

    • @nasibumpoma3492
      @nasibumpoma3492 4 ปีที่แล้ว

      Niozima na kocha ziivi

  • @filbetkalembe2806
    @filbetkalembe2806 4 ปีที่แล้ว +1

    Kalos aondoke

  • @eliaskashindye2908
    @eliaskashindye2908 4 ปีที่แล้ว +2

    Haluna hambaki

  • @mabawamaguta9609
    @mabawamaguta9609 4 ปีที่แล้ว +3

    Niyozimaa abakii Na apewee match zakuchezaa

  • @khamisaddallah5345
    @khamisaddallah5345 4 ปีที่แล้ว +1

    Yakuba anakiwango kikubwa Sana nokosa kubwa kumuacha tsubiri atafanya kitu kikubwa Yong,

  • @lwidikombembati2935
    @lwidikombembati2935 4 ปีที่แล้ว +1

    Maoni yangu,Haruna Niyinzima,abaki nia ya kuichezea klabu anayo na akielekezwa ni rahisi kusikiliza na kufuata taratibu,pia mataitizo aliyoyapata isiwe sababu ya kumuadhibu mchezaji huyu.

    • @onesmolupyana9970
      @onesmolupyana9970 4 ปีที่แล้ว

      Waziri junia anakiwango kikubwa naomba apewe mda atatisha hivi mposawasawa kweri? Hamuoni turiowaacha walikoenda wanafanya vizuri?

  • @abasamasadique4608
    @abasamasadique4608 4 ปีที่แล้ว +2

    Tupo pamoja lakini kwangu binafsi niligependelea katika wanaoachwa pia agekuwepo na calinhos au wanaona amesajiriwa kwa pesa nyingi? Huyu sio mchezaji wa kubaki Yanga,

  • @nicholausnassoro930
    @nicholausnassoro930 4 ปีที่แล้ว +1

    Yacub abak yanga atoke sapong

  • @nyakusumanyakusuma7421
    @nyakusumanyakusuma7421 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwa mchezaji km nyonzima bado Anamcgango mkubwa ndani ya yanga sema tu matatzo yaliyomkuta, yamechangia kutokuwa sawa.

  • @juliusmwaijumba7101
    @juliusmwaijumba7101 4 ปีที่แล้ว +4

    Nionzima apewe muda

    • @furahakawogo9660
      @furahakawogo9660 4 ปีที่แล้ว +1

      Nionzima kipenzi cha wana yanga. Pia bado yupo vizuri apewe mda bado ni msaada yanga.

  • @paskaziaalstion4860
    @paskaziaalstion4860 4 ปีที่แล้ว +1

    Aluna niyonzima nikifaa bado

  • @emanuelmasandeko4165
    @emanuelmasandeko4165 4 ปีที่แล้ว +2

    Niyonzima abaki Jamani mbonaaa anaweza xana

  • @daudivicent2711
    @daudivicent2711 4 ปีที่แล้ว +3

    Nionzima abaki anamsaada yakuba sawa nahao wengine

  • @sayinyenye6369
    @sayinyenye6369 4 ปีที่แล้ว +1

    Naona watoke tu hao wengine isipokuwa niyonzima,

  • @dungakagirita3571
    @dungakagirita3571 4 ปีที่แล้ว +1

    Mnikweri wachezaji walio tajwa waende lakini kwa upande wa Haruna niyonzima kocha aangarie mara mbie mke nimshamuriaji mzir bado ,by phiribert l kasera wa kamera kyerwa mabira

  • @damianmakala2913
    @damianmakala2913 4 ปีที่แล้ว

    Yacuba hajapewa nafasi apewe nafasi mi naamini ni bora kuliko sarpong , makame atolewe kwa mkopo , niyonzima anatakiwa abaki , paul godfrey akitolewa mbadala wake ni nani ? Paul godfrey anatakiwa kubaki , akiumia Yasin nani atachukua nafasi yake adeyum anatakiwa kubaki ! Kocha anatakiwa kumpa nafasi yacuba

  • @yassinphonyogo2347
    @yassinphonyogo2347 4 ปีที่แล้ว +2

    We fara we sio msemaji wa tm

  • @hamzajuma5598
    @hamzajuma5598 4 ปีที่แล้ว +3

    Nionzima aback

  • @abasamasadique4608
    @abasamasadique4608 4 ปีที่แล้ว

    Hivi huyu calinhos anafanya nini mpaka hata kutajwa hatajwi kuacha hivi wanamuona nzuri au km zamani ni mchezaji wa kiongozi? Hapo ndani wanatajwa wachezaji kama yacuba Ninzima na paul hawa sio wazuri? Lakini wanatarajiwa kuachwa huyu Carinhos anauchezaji gani wa kubaki Yanga?tuelezane km kunajambo lipo

  • @goodluckmasala6192
    @goodluckmasala6192 4 ปีที่แล้ว +1

    Niozima abaki maana anauwezo binafisi za kimpira

  • @ivensiusnyilawila7599
    @ivensiusnyilawila7599 4 ปีที่แล้ว +1

    Niyonzima asitoke maana anaumuhimu wake

  • @sabrikhvuai2327
    @sabrikhvuai2327 4 ปีที่แล้ว +1

    Maoni yangu kumamamayo

  • @piusthobias880
    @piusthobias880 4 ปีที่แล้ว +1

    Tumbana

  • @lalguskilewa2356
    @lalguskilewa2356 4 ปีที่แล้ว +1

    Nionzima na yacuba wabaki

  • @anthonysimonje4847
    @anthonysimonje4847 4 ปีที่แล้ว +1

    Niyonzima abakishwe mzoefu w ligi kuu Tz n mpira anao mwingi

  • @edwardcharles863
    @edwardcharles863 4 ปีที่แล้ว +2

    Nyonzima abaki mjin huyo ni fundi xana

  • @iblahimulipepea7612
    @iblahimulipepea7612 4 ปีที่แล้ว +1

    Haluna habaki

  • @felt.jelemiahkamjonh4889
    @felt.jelemiahkamjonh4889 4 ปีที่แล้ว

    Jaman jaman viongoz wa yanga muacheni niyonzima abaki yanga Baba mzaz

  • @mamboeliazery8196
    @mamboeliazery8196 4 ปีที่แล้ว +1

    Wasituletee upuuz niyonzima asiondok mana waliwatoa yikpe na molinga halaf wakatuletea yacuba na sarpong ambao mpk xx wana magoli manne kwel

  • @tusajigwekanemela4784
    @tusajigwekanemela4784 4 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji hujitambui kabisaaaaaaaa

  • @eligiusreymondi6944
    @eligiusreymondi6944 4 ปีที่แล้ว

    Niynzim na yakoba wabaki Bora katika nafasi izo wakutoa waubganishe said makapu pamoja na surpong lakn niynzima na yakoba wabaki labda nashauri wawp nafasi wacheze Kila wakati kwasabab wanamsaada mkubwa

  • @kabadomakungu5331
    @kabadomakungu5331 4 ปีที่แล้ว +2

    Aruna abak

  • @dogracfalijala3051
    @dogracfalijala3051 4 ปีที่แล้ว +2

    Ivo aya maneno yaukwel au

  • @nehemialikatage7378
    @nehemialikatage7378 4 ปีที่แล้ว +2

    Hakuna niyonziima abakie

    • @abasbekwa8136
      @abasbekwa8136 4 ปีที่แล้ว

      Asiondolewe haruna niyonzima nikiuongo bora san

  • @emtisalramadhani8904
    @emtisalramadhani8904 4 ปีที่แล้ว +1

    Boxer,yacouba & niyo tutawwakumbuka wenyewe

  • @ledslausdaniel2523
    @ledslausdaniel2523 4 ปีที่แล้ว

    Ladislausi danieli naomba wafungaji

  • @edwardtungu8710
    @edwardtungu8710 4 ปีที่แล้ว +1

    Yakumba abaki

  • @leonardmadelemo9104
    @leonardmadelemo9104 4 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe hamna uhakika na mnachoongea

  • @fredrickjamesjanuary3716
    @fredrickjamesjanuary3716 4 ปีที่แล้ว +1

    Niyonzima abaki wakimutoa watafanya vibaya sana viongozi walifikirie ilo kwakwel

  • @daudimanyerezu2001
    @daudimanyerezu2001 4 ปีที่แล้ว +2

    Nani kama haruna niyonzima jamani viongozi wa yanga nawaombeni niyonzima abaki ndo tegemeo letu wanayanga bora karinyo ndo aende.

  • @mchunguzedward4819
    @mchunguzedward4819 4 ปีที่แล้ว

    Niyonzima baba mzazi abakie

  • @mariammuhamedi5210
    @mariammuhamedi5210 4 ปีที่แล้ว

    Nio na yakb awastil kuachwa

  • @yes_yes1310
    @yes_yes1310 4 ปีที่แล้ว +1

    Bado na sapongi hana msaada pia

  • @fahimuwaziri5968
    @fahimuwaziri5968 4 ปีที่แล้ว

    Niyonzima na yacoube songne wabaki wanachango mkubwa yanga

  • @senseiamazing1823
    @senseiamazing1823 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakama viongozi wa yanga watafanya hivyo basi ntaamini kua viongozi wa yanga watakua wapigaji wa pesa kupitia usajili so timu yote ipo vizuri so acheni ujinga nyie viongozi msiwe wajinga wakupenda kuaribu aribu pesa

  • @jamesjonas9477
    @jamesjonas9477 4 ปีที่แล้ว +1

    nionzima abak please

  • @paulojohn4338
    @paulojohn4338 4 ปีที่แล้ว

    YACOUBA Abaki

  • @kosovoawadh1771
    @kosovoawadh1771 4 ปีที่แล้ว

    Wachezaji wakicheza yanga au Simba maringo ndio sababu zinawadhuru

  • @maryamhaji1574
    @maryamhaji1574 4 ปีที่แล้ว

    Yanga (a.k.a UTOPOLO) karibu mtaanza kutimuana subirini wenye ligi yao WATAPOREJEA RASMI ktk VPL kuanzia ROUND 15 .

    • @jumahusein5612
      @jumahusein5612 4 ปีที่แล้ว

      Kocha akimpoteza Yakubu atapata shida

    • @jumahusein5612
      @jumahusein5612 4 ปีที่แล้ว

      Ubola wayakubu anamiliki mpila natim inapanda

  • @salinamethusel8288
    @salinamethusel8288 4 ปีที่แล้ว +1

    Mm kama mm namuona haluna nnyozima abaki

  • @lucycastory1650
    @lucycastory1650 4 ปีที่แล้ว

    Yacouba na baba mzazi wabaki yanga

  • @abdallahramadhani5566
    @abdallahramadhani5566 4 ปีที่แล้ว

    Nyonzima abaki Jamani bado mzuri hajapata nafac tu

  • @rajabuwilliam9976
    @rajabuwilliam9976 4 ปีที่แล้ว

    mtangazaji mjinga kwer haruna nionzima aende wp bdo tunampenda na anaweza acheni ujinga

  • @saidmganda9282
    @saidmganda9282 4 ปีที่แล้ว

    NionZima badoana muhimu kubakiyanga

  • @abdallahkinyogori8700
    @abdallahkinyogori8700 4 ปีที่แล้ว +1

    Jacob Sognes

  • @johnbernad6806
    @johnbernad6806 4 ปีที่แล้ว

    Chonde chonde jamani niyonzima asiondoke yanga

  • @kelvinmkoma7590
    @kelvinmkoma7590 4 ปีที่แล้ว +3

    Bola waondolewe tu ila baba mzazi huyu wamuache kiungo bola sana kwayanga

    • @everinimgaiwa5133
      @everinimgaiwa5133 4 ปีที่แล้ว +1

      Niyozima abaki

    • @issalyambaku6747
      @issalyambaku6747 4 ปีที่แล้ว +1

      Naomba yakubu na niyonzima wabaki kwani ni wazuri tusiwe na haraka haraka tu ya kuwatimua

  • @mwanaidizumo6364
    @mwanaidizumo6364 4 ปีที่แล้ว

    M

  • @saddamkhaji386
    @saddamkhaji386 4 ปีที่แล้ว

    Karuna nyionzima abaki kikosini jamani mtaharibu bure

  • @salumumalenga7002
    @salumumalenga7002 4 ปีที่แล้ว +1

    Acha unazi,mpira ndio ulivyo,Simba imefungwa mechi2 na droo 1,halkadharika Azam,nn kinashangaza kwa yanga?

    • @mabawamaguta9609
      @mabawamaguta9609 4 ปีที่แล้ว

      Yanga inahitaji ubingwaa ww

    • @japheseustace3625
      @japheseustace3625 4 ปีที่แล้ว +1

      Kwan sale ndonin mbona ni matokeo ya kawaida tu

  • @hallexwire8688
    @hallexwire8688 4 ปีที่แล้ว

    Yacub na Haruna wabaki naona wananafasi

  • @inyas1058
    @inyas1058 4 ปีที่แล้ว

    Nyunzima na pendekeza abaki yanga anauwezo mkubwa sana ukilinganisha na wachezaji wakitazania ni mm eliasi kutoka Dodoma asante

  • @calvinpaul2686
    @calvinpaul2686 4 ปีที่แล้ว

    nyozima boxsa mahadhi wabakai

  • @mariammohhamed5247
    @mariammohhamed5247 4 ปีที่แล้ว +1

    Mim naitw jr ni mshabik wa yanga mim naon hakun sababu ya kumuach niyonzim

  • @nassonsimwanza1437
    @nassonsimwanza1437 4 ปีที่แล้ว

    Nyozima angeachwa asiondolewe