Picha za matukio kama hivi, hazipigwi juu. Zinapigwa chini. Kamera inakaribia kugusa udongo ili upate eneo lote katika uhalisia wake. Ina maana hata hamuoni wenzetu wanavyopiga?
Kila siku jina la yesu kristu ni nvuvu imara jamani tena na mutupiy maua kwa kazi ya musalaba kisha utasikiya watu wanadharau kanisa acheni utani yesu ni Mungu mzima
Yesu ni Mungu sasa kwann Mungu amekufa kwa jili ya dhambi zenu na kama amekufa kwajili ya dhambi zenu haina haja ya kwenda kanizani kuomba maana hamna dhambi nyie
Hao wazee wamgeukie Mungu wa kweli waachane na mila Mungu hachanganywi na mila hamjiulizi kanisa limebaki Mungu ni Mungu wa miungu yote
Ndo mjue Mungu anaweza ifuta dunia kwa dkk1
Poleni Sana ndugu zetu mungu aziweke mahala pens peponi
Pole sana ndugu jamaa na marafiki ya Mungu hayazuiliki ata siku moja
Jaman polen mungu awape wepes
Duh Poleni sana Ndugu zetu..Nendeni hapo kanisani mkaweke Hifadhi kwa Muda
Poleni sana .Ila acheni mambo ya matambiko ni ya shetani mnamuabudu mabaali shetani .Muabuduni Mungu aliye Hai .acheni matambiko na dhambi zote .
K vant kubwa
Wanaotambika si wakazi wa hapo,wanatoka mbali 😳
Mungu ni mkubwa sana
poleni sana hatuna jinz twashukuru mungu kwa yote awajalie mema na kutia nguvu 😂😂😂😂😂😂😂
Polen sana ndugu zetu
Poleni sana
Kwali binadamu tumekuwa wavivu wakufikili tunampongeza mungu kuliacha kanisa kuuwa watu sasa kanisa bila watu ibada nani atafanya
😂 waambie halafu kwa mujibu wa bible kanisa sio jengo ni mkusanyiko wa watu
Kwani watu wameisha wote? Hao waliobaki ndio wataabudu
Mungu hahitaji wingi watu ambao ni chukizo Bora abaki.hata mmoja
Tumrudie mungu wetu maana yeye peke yake ndiye anayejua mwisho wetu poleni sana
Poleni san Wana nchi wa hanang
Picha za matukio kama hivi, hazipigwi juu. Zinapigwa chini. Kamera inakaribia kugusa udongo ili upate eneo lote katika uhalisia wake. Ina maana hata hamuoni wenzetu wanavyopiga?
Hii ndiyo inaitwaulikuja kwa mavumbi utarudi kwa mavumbi.Ni fundisho la Mungu kwetu sote.
Huyo mwandishi anauliza maswali ya kishenzi kbs, ivi amesomea hiyo taaluma au ameokotwa mtaani tu
MUNGU AWABARIKI WANANCHI WA HANANG KWA MAAFA MAKUBWA😭😭 YALIYO TOKEA 🙏🙏🙏
Makam nae hajafika na hatujui kama yupo hai
Polen San ndugu zetu
😭😭😭😭😭
Kila siku jina la yesu kristu ni nvuvu imara jamani tena na mutupiy maua kwa kazi ya musalaba kisha utasikiya watu wanadharau kanisa acheni utani yesu ni Mungu mzima
Yesu ni Mungu sasa kwann Mungu amekufa kwa jili ya dhambi zenu na kama amekufa kwajili ya dhambi zenu haina haja ya kwenda kanizani kuomba maana hamna dhambi nyie
Kule msikit umeingiwa na tope lakn kansa lmeachwa