#MarubaniExclusive
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ย. 2024
- #Urubani #ATCL #Ndege @Daily News Digital
Kutana na Baba na Mtoto Arif Jinna Rubani Amour Arif hawa ni wanafamilia wa kipekee ambao wanarusha ndege za Air Tanzania.
TUFUATILIE KWENYE KURASA ZETU ZA MITANDAO YA KIJAMII:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-1769382496709093
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: ...
SpotiLeo: ...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: Ha...
Mansha Allah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Maa shaa Allah
Kaz nzuri🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Kijana safi sana Mungu akutunze
Masha Allah, soroti is my home town am proud of you congrats Captain 👍🌹💐🌹🙏🙏🙏
Hongera! Feel proud for you guys. Good Job!
Asanten sana maruban wetu
Vyema sana kwan maisha ndivyo inavyo takiwa kama maisha unako pta baba kuna mafanikio japo yafaa na mtoto nae kumuelekeza na kulis mikoba kwan inapendeza sana cyo mtu unakuja kustafu kaz ekesha unalud mtaan hujawezesha vijana wako ukaanza kuwalaumu
Fahamu historia ya maisha yao, namna walivyojikuta ni marubani
Mashaalah mungu awabariki ishaalah
Masha Allah tabaraka Allah
Hongereni baba na mwana nimewapenda
Amazing
Vizuri sana
Mungu awalinde katika kazi zenu
Masha Allah
Safi sana mungu awalinde wote kwa pamoja
Kizungu chakupiga chenga bro soma zaidi hujui ya kesho uwanaweza pata kazi ndege za kimataifa kama captain utaongea na abiria vipi na broken English
Mashaallah ongera
Hongereni
😊😊😊😊
Nenda ukasome zaidi
Congratulations 🍾 patriotic citizens
Mashallah tabarakallah barakah fikumm 👍🙏allah awalinde na shughly zenu za safarii za anganii yarab daimaa am prud of u brother and your son 👍❤👌🙏🙏
Ni kwel Am
Wazur wenyew
Wanalusha pamoja🤔
Napenda uruban hata kaka yangu napenda awe ruban nilimwambia amchaguwe na mwenyew Ana akil Kuna mchungaj alisema uyu mbona atakuwa ruban aliona picha yake. Nikamwambia alivyokuwa mdogo alikuwa akilala ananyosha mikono juu nikaona kama kashika binduki vile mama akasema atamlis babu yake upolis alikuwa afisa wa magereza mwenyew alivyokuwa anasema nikiwa mkubwa nataka niwe mwanajesh nikasema tulishaona dalili Lakin mchungaj alusema atakuwa ruban yeye mwenyew Alisema mwanajesh au mfanya biashara wa magar
Kama wazanzibar hawa
Siyo comment za kupongeza tu. Msidhani ni bahati tu, huyo baba kwanza malezi kwa mtoto ni mazuri, pia dogo anajielewa. Ko anastahiri
Tupo pamoja.
hongera sana
Du hadi raha
Basi siku mwezi mwaka wa kuzaliwa kijana huyo sawa na mwanangu wa kwanza
Tunaomba aende shule maana atakuwa na thamani ya maisha ya wanadamu, hata kama ni ndoto yake. Don't joke with people's life
Really unafikiri angekuwa hajaenda shule angepata hiyo kazi au angeruhusiwa kuwa pilot.
U-pilot ni kozi ya kawaida tu mbona, sio lazima uende shule kwa mfumo huu wa kawaida
Amazing