"HATUMTAKI HUYU MWENYEKITI"WANANCHI ARUSHA WAANDAMANA KUMPINGA MWENYEKITI WA CCM"WATULETEE MWINGINE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @PeterRas-o7d
    @PeterRas-o7d 12 วันที่ผ่านมา +6

    Kiongozi haliye Chaguliwa Ni Wachadema hawamtaki Wa Ccm

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 10 วันที่ผ่านมา

    Safi sana mzee marambo hekima nyingi

  • @noelbryson7840
    @noelbryson7840 12 วันที่ผ่านมา +5

    Mtajua wenyewe na Maviongozi yenu yaliyopita kwa dhuluma…Uongozi usiokuwa na baraka hautakaa usimame..😢

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 11 วันที่ผ่านมา

    SERIKALI IPI.VIPI MTU AU WATU,AU SERIKALI IPIGE.MKOSA IPO SERIKALI APELEKWE..

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 10 วันที่ผ่านมา

    Kwanini unataka wafiche wasitoe mtandaoni . Kuna kitu nyuma ya pazia ilimsijulikane wengine waliotutumia ubabe kama huo wasijulikane dunia hii haina siri. Na watu wameelimika san sasa hivi.

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 12 วันที่ผ่านมา +1

    Ccm bila wizi hawashindagi Arusha

  • @gidongailo7174
    @gidongailo7174 12 วันที่ผ่านมา +1

    Haya ndiyo madhara ya kudharau uhuru wa wananchi kujichagulia viongozi wanaowataka na kuwaamini. Ubabe umetawala na kusababisha yote haya na mengine. Na bado sana😂😂😂

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 11 วันที่ผ่านมา

    HIVI KILA KITU LAZIMA MTOE MITANDAONI?? KIONGOZI WA WOTE,HIVYO MKAE NYOTE MYAONGEE KAWAIDA TU..KUNA HOJA? semeni kiundungu na Kimapenzi.MTAKUWA NI WENYE HEKIMA NA HESHIMA ❤

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 11 วันที่ผ่านมา

    Ikiwa ni daqa hizo,kawaida ni miaka tangu kuzaliwa katika utawala wa MWALIMU dawa hizo za kawaida tu kupatikana dukani.hii kumrahisia mtu apate haraka na nafuu

  • @stevenngussa9334
    @stevenngussa9334 11 วันที่ผ่านมา

    😢😢😢mbombo ngafu

  • @FREDYMBUGHI-q5k
    @FREDYMBUGHI-q5k 11 วันที่ผ่านมา

    Matunda yameanza kuvunwa ya kupita Kwa aslimia 99

  • @AmosJohhn-f1l
    @AmosJohhn-f1l 12 วันที่ผ่านมา

    Mabomu yanayotengenezwa na serikali ya ccm yameanza kufanya kazi

  • @abdulmajidmageja6562
    @abdulmajidmageja6562 12 วันที่ผ่านมา +1

    Hekima gani itumike nyie munapoiba kura munatumia busara wazi wakubwa nyie ccm hamuna hata aibu

  • @elizabethsaibo3658
    @elizabethsaibo3658 12 วันที่ผ่านมา

    Mmmmmmm this is Tanzania watu hatujui haki zetu

  • @Peterchipemba
    @Peterchipemba 11 วันที่ผ่านมา

    Mmejitambua watanzania,,mnaletewa tu,,hata hamchagui

  • @MuhammadHassan-xp6dc
    @MuhammadHassan-xp6dc 11 วันที่ผ่านมา

    serekali jamani kuweni makini inchi yetu amani hakuna sasa

  • @jumarajab5316
    @jumarajab5316 11 วันที่ผ่านมา

    hii ni aibu kwa chama

  • @AmosJohhn-f1l
    @AmosJohhn-f1l 12 วันที่ผ่านมา

    Diwani jibu swali bana

  • @LoitushulYamat
    @LoitushulYamat 12 วันที่ผ่านมา +1

    Matokeo ya viongozi wanaopatikana kwa bao lamkono.

  • @LoitushulYamat
    @LoitushulYamat 12 วันที่ผ่านมา

    Wananchi wapeleke kesi mahakamani ya kumkataa kiongozi huyo.

  • @justardzelphine6526
    @justardzelphine6526 12 วันที่ผ่านมา

    Nyie wakinga sana

  • @LoitushulYamat
    @LoitushulYamat 12 วันที่ผ่านมา

    Ni cvm yenu anawaletea viongozi badala ya nyie kuchagua viongozi wenu.

  • @davidmsemo8892
    @davidmsemo8892 12 วันที่ผ่านมา

    Bado watageukana tu sana

  • @PaschalKimboka
    @PaschalKimboka 12 วันที่ผ่านมา

    Tz mnaomba sn toweni msimamo siyo kila kitu mnaomba

  • @davidmsemo8892
    @davidmsemo8892 12 วันที่ผ่านมา

    Mshahara wa dhambi ni mauti
    Bado watasalitiana tu

  • @DavidChambala-hp6ge
    @DavidChambala-hp6ge 12 วันที่ผ่านมา

    Misijaelewa uyo kiongoz wa kuteuliwa au kuchaguliwa

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 12 วันที่ผ่านมา

    Km hamjui story fungeni domo,Kwa nn mtu apigwe?

  • @HajjiMohammed-t4s
    @HajjiMohammed-t4s 12 วันที่ผ่านมา

    Kwani lazima ufuatwe wewe

  • @AmosJohhn-f1l
    @AmosJohhn-f1l 12 วันที่ผ่านมา

    Alichaguliwa na nani?

  • @JumamusaOmar
    @JumamusaOmar 12 วันที่ผ่านมา

    Sasa inamahana ccm awamtaki kachaguliwa na chadema?

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 12 วันที่ผ่านมา

      Kachaguliwa. Na tamisemi