Mbali Kule "Gloria in excelsis Deo" | Kwaya ya Mt. Yohane Paul II - Kurasini, DSM.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Kwaya ya Mt. Yohane Paul II ilianza rasmi kuhudumu Kanisani Tar. 21, October. 2018 chini ya usimamizi wa Viongozi wa Vijana Parokia ya Mt. Maurus (VIWAWA). Tafadhali Subscribe kuendelea kufuatlia kwa karibu huduma ya Uimbaji inayofanywa na Kwaya ya Mt. Yohane Paul II kutoka Parokia ya Mt. Maurus - Kurasini, Jimbo Kuu la Dar es Salaam; Tanzania.
    Mawasiliano:
    Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam
    Parokia ya Mt. Maurus - Kurasini
    Kwaya ya Mt. Yohane Paul II
    S.L.P 50095
    DSM - Tanzania.
    Mwenyekiti wa Kwaya: +255 828 953 / +255 755 313 833
    Katibu wa Kwaya: +255 692 773 973
    Katibu Msaidizi: +255 766 057 022
    Raha ya Utume Kushirikiana

ความคิดเห็น • 1