Magoli yote | Fountain Gates 3-2 Coastal Union | NBC Premier League 13/12/2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 6

  • @AsmaAmeir-c6r
    @AsmaAmeir-c6r 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Yule striker wa singida fountain Gate suleiman mwalim kauzwa au majeruhi

  • @mavinyajosia
    @mavinyajosia 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    ewaaaaa sema kuna namna magolikipa wanafungwa magori sio mtu anafungaje nguzo yako

  • @ngadumbishi1405
    @ngadumbishi1405 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Yani sijui kwann mwamuzi akishatoa penalty kwa timu mojawapo basi kutoa penalti na kuwapa wale wa kwanza inakuaga ni lazima japokuwa mechi chache sana unakuta zinaisha kwa penalti kwa timu moja kupewa

    • @mavinyajosia
      @mavinyajosia 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      sema kwa leo ziko clear mnoo

    • @ngadumbishi1405
      @ngadumbishi1405 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Yeah uko sahihi​@@mavinyajosia

    • @Samalextz
      @Samalextz 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Ni mojawapo ya kiashiria cha refa asiyejiamini