Full France, niite James Kaswahili aka Mtupoa wa Yoma Somanda Bariadi Tanzania Prince Bockson nakubali sana kazi zako bro ila hujanipatia mabanga au vp. Mimi ni fan wako wa nguvu kutoka pande izi, kama vp nipe ngoma mpya ya Anthony Angbepa Mumba Koffi Olomide Famie nimesikiliza ni Rhumba tamu sana. Awali nilikuwa nakuomba Miriam moleka ila hujanipatia bro, nadhani ni majukum tu, tuko pamoja sana. Merci
Full France, niite James Kaswahili aka Mtupoa wa Yoma Somanda Bariadi Tanzania Prince Bockson nakubali sana kazi zako bro ila hujanipatia mabanga au vp.
Mimi ni fan wako wa nguvu kutoka pande izi, kama vp nipe ngoma mpya ya Anthony Angbepa Mumba Koffi Olomide Famie nimesikiliza ni Rhumba tamu sana. Awali nilikuwa nakuomba Miriam moleka ila hujanipatia bro, nadhani ni majukum tu, tuko pamoja sana.
Merci
Safari hii utapata