Star Wetu: Cyprian Musiba amwaga machozi katikati ya Interview

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 31

  • @joelegbert4343
    @joelegbert4343 5 ปีที่แล้ว +4

    Musiba unafanya kazi nzuri sana kwa sababu unagusa jamii au maisha ya watu, watoto unawasaidia madawati, visima vya maji, nyumba za walimu nk. Utafika mbali sababu ndio Mungu anataka au anaonekana maeneo hayo, hautabaki kama ulivyo!!

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 11 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe Msi b a🎉

  • @adamwoiso2180
    @adamwoiso2180 2 ปีที่แล้ว +4

    Kumbe ndio sababu kwenye serikali iliyipita ya mwendazake mlikuwa mnasaport watu wenye mawazo tofauti na nyie wauliwe na kupotezwa ili mbaki nyie sasa kimeumana

    • @paschalmartin9598
      @paschalmartin9598 4 หลายเดือนก่อน

      Aliuliwa nani mbona uko na unafiki sana

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 2 ปีที่แล้ว

    UBALIKIWE SANA KAKA DAAA

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 2 ปีที่แล้ว

    MUNGU AKUSIMAMIE BROTHER. NA AKUANGAZIE KWA MOYO HUO

  • @julianamwamgogwa
    @julianamwamgogwa 3 หลายเดือนก่อน

    Ooo musiba pokea vidonge vyako.utibiwe loho mabaya

  • @petermachambile3149
    @petermachambile3149 2 ปีที่แล้ว

    Musiba nakukubali siku zote,ulijitoa sana kum-support jpm,mm nashangaa sana,baadhi ya watu wanaokushambulia wewe wanamuunga mkono jpm sasa tuwaiteje?,wewe ni mtu safi sana kwa ustawi wa nchi yetu,hata km unachokifanya kinalenga maslah binafs lakn angalau mm naona kinatutia matumain kuwa unaweza kuwa kiongoz wa watu km jpm

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 2 ปีที่แล้ว

    Lilisha feli vibaya sana maskini wa mungu! Mtumishi gani anastaafu akiwa na miaka kumi na tano? Miaka kumi na tano ni mtoto bado hata la saba hazamaliza, Lione! Haya yoote ni baada ya Mungu wake kufariki!

  • @hidayasaidi7872
    @hidayasaidi7872 8 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏🙏❤️

  • @januarysila1569
    @januarysila1569 3 หลายเดือนก่อน

    mhnnn

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 หลายเดือนก่อน

    Msiba mbona kuna mdada wa estii wazalendo anakuzalilisha

  • @ElishaMwita-v2z
    @ElishaMwita-v2z 7 หลายเดือนก่อน

    Msiba Kiko wapi Sasa

  • @evaemil856
    @evaemil856 2 ปีที่แล้ว

    Hii clip ni nzuri sana aisee Musiba umejitolea sana sasa inakuwaje hao viongozi wanakuwa hawawezi kusaidia hizo shule? Inakuwaje hao viongozi wa serikali na wabunge hawafanyi mema walikotoka? Kwa nini haya makabila hawalearn kutoka kwa wachaga? Wachaga wanajitolea sana na pia makanisa na waumini wao wanajitolea sana. Naomba mazuri tucopy na sisi kujitolea zaidi.

  • @JohnNgambeki
    @JohnNgambeki 2 หลายเดือนก่อน

    Ilijamaa silipendi kabisa

  • @julianamwamgogwa
    @julianamwamgogwa 3 หลายเดือนก่อน

    Hakuna acha ayanywe yanayo mtairi kunywa kama avyo watakia wengine mabaya nae yamkute zaidi yahayo.

  • @valentinemtei3588
    @valentinemtei3588 2 ปีที่แล้ว

    Kalamuyetu, uandishi ni upelelezi, Askofu akifanya aliijituma na akasifiwa vya kutosha, siku akikengeuka ule ukengeufu hufunika yoote aliofanya, usilazimishe watu wapende wasichotaka. Inawezekana ukapenda wimbo, chakula fulani, na ukasifia, wengine wakakuona eidha mwehu , ndo maana hata leo ukienda baa utakuta watu wanakunywa vinywaji tofauti tofauti,

  • @MarwaWambura-l7u
    @MarwaWambura-l7u หลายเดือนก่อน

    Ndio maana umekoza malezi ya baba huheshimu watu kuchonganisha watu

  • @MkJj-m7g
    @MkJj-m7g 8 หลายเดือนก่อน

    Umeshalipa fidia ya membe?

  • @yusuphbura950
    @yusuphbura950 2 ปีที่แล้ว +1

    Hakuwa mwanaharakati alikuwa anatumika kutetea uendawazimu

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 11 หลายเดือนก่อน

    Ninakuheshimu sa n a Msiba

  • @evaemil856
    @evaemil856 2 ปีที่แล้ว

    Fisadi, mla rushwa na mwizi akinyongwa hadharani then nani atakuwa wa kwanza kunyongwa? Tutakuwa na viongozi gani? Ebu tusiende huko kabisa...

  • @omaryrashid4675
    @omaryrashid4675 2 ปีที่แล้ว

    Huyu ni culterlist hamna mtu hapo mpenda sifa

  • @kahwarwosile7831
    @kahwarwosile7831 2 ปีที่แล้ว

    Wewe ni mjinga kabisa tena wewe utaendelea kupata tabu sana unajinasifu tu eti mwanaharakati huru ,ulijipendekeza ili akupe kacheo

    • @danieljoseph1610
      @danieljoseph1610 2 ปีที่แล้ว

      Fala sana huyu jamaa! Analia amejenga kijijini lakini wazazi wake hawapo, Kwa nini hakuwajengea bado wakiwa hai? Lijinga sana!

  • @kahwarwosile7831
    @kahwarwosile7831 2 ปีที่แล้ว

    Unadanganya eti kumusemea raisi wewe ni nani kwanza

  • @nixonjohnson4908
    @nixonjohnson4908 2 ปีที่แล้ว

    Yaani ujinga uliokukaa kwa kufanya lolote ili umjengee mama yako ulienda kufeli kabisa .. kutengeneza uadui na watu wote ili tu wewe upate ..ni loooose