Yani huyu mtunzi hajaiva ktk utunzi hajui kabisa inawezikanaje eti mwanaume akuage anahama na mwanamke mwengine urithike* ukweli hakuna mtunzi anayemzidi Edgar Mbogo anajua kutunga simulizi zinauhalisia, zinafanana na mambo ya kweli* Huyu anaboa Salma kasome kwanza iliujue cha kuleta huku TH-cam maana hujui kabisa kutunga ✍️🤦(🐀)
Woow dada ake Salma R 👌😍😍🙏
Salma Rashid hogera na msimuliaji Anko j bravo💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞🤩🤩🤩🤩🤩
Nakaa mkao w kula nimeipenda sn hii shukran z dhathi kwa anko j pamoja n salma
Shukraan Anko J
Mhhh iko poa sana ❤❤
Woouu! Shukuran Ankojay
Ujue ss ivi ni Raha mno
Kitu kipya icho Asante Anko J
Umeonaee! ninavyosumbuka Anko
Njoo na udongo na limao🤣🤣🤣
Sana
Anko jay tunakupenda mpaka nairobi
kuna vyakushea lknso mapenz shukran snaa anko jay pamoja na daa salma🥰😋👌
Alex noma
Dhoruba tamu jamani irudiwe irudiwe 😋😋😋👌🌹
Yani mi nikisikia sauti ya anko j tu mi hoiii asante sana anko j na salma
tunaanza kitu kipya hapa
Alex alizimia ghafla😂😂😂😂😂🙌🙌🙌
Alex noma🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Sitaki udongo mgumu nichaguliye Mlaini 🤣🤣🤣🔥
Waaaaau mashallah
To be continued
Bongo ukiwa na baby ucjitape🙆♀️
🔥🔥🔥🔥👏
❤️❤️❤️
Salma Kama Salma kitu kimya. Uuuuu apo ndo tulipataka
ANAITWA UNCLE J EEEEH....!?
Ashika simu ya mume ataka kufa
Salma iye season 2 ya dada yangu ilikwamia wapi
```🤞KITU KAMA KITUUUUU....!!```
Jamani ankol jay jay sijuwi nije nikubebe hapo ulipo maana nilivyokuwa naisubiri hiii ya sauti jamani piga keleeeeee kwa dhoruba yakeeeeeeee
Hahaha mm vile
😘😘😘😘😘
Ila wanaume nyoko😂😂yani bora awe na mwanamke mbali sio umo umo ndani aisee inauma
Yani huyu mtunzi hajaiva ktk utunzi hajui kabisa inawezikanaje eti mwanaume akuage anahama na mwanamke mwengine urithike* ukweli hakuna mtunzi anayemzidi Edgar Mbogo anajua kutunga simulizi zinauhalisia, zinafanana na mambo ya kweli* Huyu anaboa Salma kasome kwanza iliujue cha kuleta huku TH-cam maana hujui kabisa kutunga ✍️🤦(🐀)
Nimejikuta nikitamani hii maisha mwanzo wa hii simulizi but nimejiketa sina ata amani jamani.kumbe hapa pana Bi mkubwa kaa.nimlaumu nani??
I'm coming slowly ✌
@@surealfredkabasa4518 what baba mtu uko mbali ila tuko barabara moja🤣🤣
@@vero756 SURE
@@surealfredkabasa4518 haya come polepole nitakusubia pale👉👉
@@vero756 okay