HOUSE GIRL EP 16 | S4 | LOVE STORY 💞💕

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 329

  • @mwanakombopopo5117
    @mwanakombopopo5117 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +48

    Kai hajafika nyumbani kwake ila ni mawazo ya zuu tu kama wakubali weka like

    • @JeannetteManirambona-o6m
      @JeannetteManirambona-o6m 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

      Bado hajafika

    • @agnessezekiel
      @agnessezekiel 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Make hata izo nguo kaziacha kwamchepuko kaja nazingine me niulize swar Hao watt wanawatoaga wapi make hata hawawanyonyeshi😅😅😂😂😂​@@JeannetteManirambona-o6m

    • @samuelnthia8858
      @samuelnthia8858 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Like

    • @UriaMkula
      @UriaMkula 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Nawakubali sana

    • @jacktonemusumba785
      @jacktonemusumba785 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Reverse back

  • @bayubaheallydelly-rn2zv
    @bayubaheallydelly-rn2zv 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +41

    Namkubali Tasha umeonesha wanamme wake jmn wanoamini ilo gonga like hapa

    • @benjamin-o1f5j
      @benjamin-o1f5j 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      mimi

    • @RizikiZiki
      @RizikiZiki 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MadamOrida
    @MadamOrida 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +33

    Jamani aliye umizwa na maneno ya Kai kwa zuu gonga leak hapa maskini 😢😢😢 zuu poleee😢

    • @EveKaari-r7r
      @EveKaari-r7r 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Ni mawazo

    • @EsterWilla
      @EsterWilla 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Nimawazo yake tu

    • @EsterWilla
      @EsterWilla 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Nimawazo yake tu

    • @Rakosore
      @Rakosore 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @MwanamisiMunnah-x3v
    @MwanamisiMunnah-x3v 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    House girl ni thamthilia pendwa..mulipotea sana ila tulijuw tu ni mitihani ..na saii mumerudi mungu awafanyie wepesi muendelee kutupa burudan bila kikomo..tunawapenda kwaajili ya Allah wana Busat ❤

  • @BilhaNato-kf9uz
    @BilhaNato-kf9uz 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +29

    tupo ndani haraka sana yaani tunafanya tyming tu team strong gonga like tukisonga team jedder

    • @Mtembori
      @Mtembori 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Wapi team Riyadh

    • @LlilianKageha
      @LlilianKageha 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ❤❤❤

    • @LlilianKageha
      @LlilianKageha 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​mm hapa@@Mtembori

  • @BintmohamedNasiri
    @BintmohamedNasiri 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Zatiti mama tumbo imefika kifuani hiyo😂😂😂😂😂badala ya kushuka chini 😂😂😂😂

  • @PhilbertHabonimana-o1z
    @PhilbertHabonimana-o1z 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

    Tasha nakupenda sana umesimama kama mwanaume kabisa

  • @Asma-hn1jk
    @Asma-hn1jk 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Tasha hongera swa nmependa hio🎉❤❤ Allah akupe Shifaa uweze kuona ❤

  • @MwanamisiMuna
    @MwanamisiMuna 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Doh kwa kwel mwaka mpya mambo mpya si kwa utamu huo 🎉🎉🎉yenu nisiwe mchoyo nao

  • @RinnahVany
    @RinnahVany 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +13

    Zuu unazngua ungemuelewa Kai mwanzo yasingemkuta hayo yote. wanawake wote hapo tujifunze Kuna kanamna 🤔🤔

    • @mejumaabaraza3989
      @mejumaabaraza3989 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kabisa umeongea daa

  • @HadijaVinyu
    @HadijaVinyu 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Pole zuu ndoa ndivyo zilivyo😢

  • @sayunimnguruta98
    @sayunimnguruta98 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Zuu hapo anaota maana kai nguo hizo zilifuliwa na yy hospital alikuwa na nguo nyeusi ila dah! Ndoa hizi Mungu awatete shetani asitawale na Tasha apone ❤

  • @dalilaabdulkarim4458
    @dalilaabdulkarim4458 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Tasha huko sawa sio kama Kai ❤❤❤

  • @NeemaMichael-j9d
    @NeemaMichael-j9d 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +10

    Ad kwa staili hii muv aiwez kuisha inabid kama kuna watu wakubadilik wabadilike wakupona wapone na wengn waendelee na furaha yao asa naona ndio machung yanazid kama unaamini coment au weka like kwa sapot

    • @celestinemakolo3954
      @celestinemakolo3954 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Tuletee movie yako nzur ikiisha hii Tuione na kama unataka iishe si uache kufatilia uangalie unazopenda

  • @CarolyneMalala-o6x
    @CarolyneMalala-o6x 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Jamani sipejapenda kiona Tasha na Zuu wakiwa kwenye hali hiyo, Zuu unaumia sana, ila hayo makosa ya Kai usieke kwa mtoto uache aliye hivo si vizuri dadangu

  • @RoseBahati-q8r
    @RoseBahati-q8r ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jaman msikatishe hii mov❤❤

  • @ChristinaKihwele
    @ChristinaKihwele 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Bibi Zuu tafadhalili saidia kai arudi Kwa Zuu najua inawezekana kwako

  • @NoorEesa
    @NoorEesa 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    😅😅😅😅huyo mchumba wa Sania mtumeee 😆😆😆😆😆

  • @RehemaSalim-m8s
    @RehemaSalim-m8s 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nawapenda sania na candy mko vizuri mwanzo huyo chizi wetu candy❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @NgendakumanaAnnemarie
    @NgendakumanaAnnemarie 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Jamani leo nimejitahid kutoka burundi nipeni lik hatangap

  • @EvarliniWanja
    @EvarliniWanja 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Mbina house girl umeazia kumboa sana sija penda vile Kai anafanyia zuu

  • @fatumaselemani3807
    @fatumaselemani3807 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mashallah ❤❤❤❤❤mungu abaliki sana kazi zenu

  • @Najmahnyangasi
    @Najmahnyangasi 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kazini kuna kazi kweli ❤❤❤❤❤moto sana

  • @FatumaHajj-h6m
    @FatumaHajj-h6m 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Sania na ww bhana yani ishu zako za muhimu wamwambia chizi ivi atakushauri nini 😢😢😢

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mr Tasha Mashallah TabarakaRahman 🎉🎉🎉 wangekua wanaume niwajuao mm wangeungana na kai in the name of kusaidiana

  • @NeemaEli-wl1dz
    @NeemaEli-wl1dz 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kazi zuri sana wanabusati mnatupa mambo mazuri sana

  • @AnethStraton-c6j
    @AnethStraton-c6j 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Zuu unalia sana unaharibu punguza kulia

  • @SomyaS-q9t
    @SomyaS-q9t 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Alhamdulillah nimerauka Leo basi acheroho za korosho nipeni like hata kumi nami nijidai

  • @tigejuma9865
    @tigejuma9865 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +13

    Eti mangi nipe sukari robo.. bila shaka candy atakuja mchamba Sania na mpenz wake mpya...wa sukari robo😅😅😅

    • @BigirimanaDiamante
      @BigirimanaDiamante 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Whallah mupenzi wa sania ni kichekesho

    • @tigejuma9865
      @tigejuma9865 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @BigirimanaDiamante afadhali kichekesho kituko haswa....alafu ndio wameenda uko n candy....bila shaka atazengua.....hatatosha kichmbo cha mma krish

  • @celinaFoya
    @celinaFoya 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    ❤❤❤❤KAZI nzuri busat TV

  • @khafidamkambeKhafidamk-dq7nj
    @khafidamkambeKhafidamk-dq7nj 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Jamani kai mbona unakaa ivi acha kumsingizia cedy sema kweli umetokavjwq belina

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Ally manyanya fundi wa game la dunia hii akaunt yangu tuko pamoja house girl 👧

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    😂😂😂😂😂Munajuwa nimeceka nini Candy jamani Kay ndonini ivo sasa unavyo mufanyiya Zuu😢sijapenda ujuwe ataka alikosea sio umuzalilishe kiasi iko nakipi'di umesha musaliti kweli😮

  • @AituniMose
    @AituniMose 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Wa kwanza naombeni like ata moja

  • @elizabethmahenzo7220
    @elizabethmahenzo7220 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nice movie 🎥❤❤🎉

  • @AngelArthur-p1v
    @AngelArthur-p1v 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hakika hiki kipande Cha zuu na Kai kimenigusa Yan ni maisha niliwahi kupitia na mtoto mdogo kabisa maumivu yake usikie tu 😭😭

  • @RehemaJuma-o3r
    @RehemaJuma-o3r 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Wa kwanza kutoka marekqni 😂😂😂😂😂

  • @ShamimShamy
    @ShamimShamy 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mama Tasha ❤❤ nampeda zatiti nimpole Na nimvumilivu pole Tash, alaf zuu unajua madhara ya kulia Na mtot Analia sjapenda

  • @افااقع
    @افااقع 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Hii ndoa ya kai vipi mbona inanitoa machozi mimi😢😢😢😢

  • @FelistusAdhiambo-o3p
    @FelistusAdhiambo-o3p 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    ❤❤woow Tasha nimependa sana huo ushauri wako

  • @SwabrinaamoohSwabrinaamooh-e3r
    @SwabrinaamoohSwabrinaamooh-e3r 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    😭😭😭😭😭zuu pole nimeumia ndoa hizi hapana kwakwel

  • @mwanakombo8008
    @mwanakombo8008 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nawapenda Sana ndugu zang kazi nzur ❤❤❤

  • @ashuramuhammed3257
    @ashuramuhammed3257 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

    Huyu jamaa wa Sania msungo sauti kama msenge wa buza acha kusema sauti iyo ww mwanamme bro $

  • @AryonWambui
    @AryonWambui 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Chiku amenifanya nipate funzo la muhimu zaidi kumjibu khai ukiwa na shinda kwa ndoa unakimbilia kuswali au kanisani sio kulewa

  • @IshimweAisha-x6z
    @IshimweAisha-x6z 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Zuuu kayatimba😅😅😅

  • @zuenampandeni3347
    @zuenampandeni3347 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wamnaipoozesha san̈a. Housegirl imepoteza ladha ile speed yake ya mwanzo mmeiua. Kila siku filam mpya mara mchepuko mara my mother mmengeachana nazo mmelize hii moja

  • @SalumMathias-bt2us
    @SalumMathias-bt2us 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Jmn Kai kawaje tena jamn😢😢Belina ndyo kakufanya umchukie Zuu jmn tena unamtaja x wako kwel jmn na umekosea siyo sawa bhna

  • @MunaMuna-d4b
    @MunaMuna-d4b 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    🤣🤣🤣mchumba wa sania kameme million 4 zenyewe mpaka kiramba atowe mahari🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @SabihaHassani
    @SabihaHassani 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Sasa apo kai kanichosha maneno alompa zuu. Bora angenyamaza tu dahh

  • @Haleema-dg5bo
    @Haleema-dg5bo 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Sania mm nilidhania utapata yule ustadh mwenye alitaka kufungisha ndoa daa masosi kumbe unaenda kuokota chizi kweli jamani 😂😂😂

  • @HhUhh-io8ix
    @HhUhh-io8ix 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Weeeeeee kazi safi

  • @MetrineNelima-i4w
    @MetrineNelima-i4w 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂😂Hila candy kweli

  • @SalmaKenyatta-cn8tg
    @SalmaKenyatta-cn8tg 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Kwan Mtoto Anyonyiiii😂😂😂

    • @IshimweAisha-x6z
      @IshimweAisha-x6z 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂

  • @elvinakalu6991
    @elvinakalu6991 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Zuu pole sana mwanya

  • @RAHMAAMOUR
    @RAHMAAMOUR 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Dah funzo kubwa walio kweny ndoa 😢😢😢

  • @SamsonRandu-h9u
    @SamsonRandu-h9u 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Kma mumechoka kuigiza bci acheni mbna kla siku zuu ndo analia ntie acheni😢😢😢😢

  • @shamimtv254
    @shamimtv254 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tu grow pamoja guza nami niguze yako

  • @FarhhFarhh
    @FarhhFarhh 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wakwanzn❤❤❤❤❤

  • @MahupaMwajuma
    @MahupaMwajuma 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mmh nilichokiona ni zuu anaota au ni kweli Kai kamwambia maneno yale😢😢😢 makali yanachoma mmmh yaan anaambiwa zuu naumia mm😔😔

    • @IrenShirima-f8l
      @IrenShirima-f8l 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ni kweli anaota sio maneno ya kazi bwan

  • @WemaNathan
    @WemaNathan 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Jaman mwenye makosa ni zuu ye mwenyewe mwanamke mpumbavu sana wanawake hatunaga mambo ya hasra

  • @MasauShida
    @MasauShida 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kazi nzuri sana team Busati tv🇹🇿

  • @PhilisNabalayo-i6u
    @PhilisNabalayo-i6u 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mama chress na tamaa jamani 😂😂😂😂❤

  • @GinaFaruqueFaruque-e6j
    @GinaFaruqueFaruque-e6j 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Duuuh pole sana zuuuh unapitiyaa wakate mungu kiukwely

  • @LightnessDickson-x6h
    @LightnessDickson-x6h 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Jamaniii nimekuwa wa kwanxa naombe like zenu vipenziii 😘😘

  • @GloriaNahimana-x8p
    @GloriaNahimana-x8p 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Walio subili kwa hamu tujuane naco ona nimwotooo 😂😂

  • @JonasBlez
    @JonasBlez 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    nimekua wa kwanza leo like za kutosha

  • @SdFft-j5g
    @SdFft-j5g 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hii house girl imeanza kubore kabisaa,inakosa ladha kabisaa

  • @Officialmoyo-l1d
    @Officialmoyo-l1d 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Sema kuumbuka hicho kidada kimbea😂😂😂😂😂😂

  • @JoselineJuma-r7o
    @JoselineJuma-r7o 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Candy ata akiwa chizi hawezi sahau na hela😂😂😂

    • @NasrahMoses
      @NasrahMoses 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Eti jmn 🤣

    • @Teresia-bg9dt
      @Teresia-bg9dt 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      😂😂😂😂

    • @MynessMsopole
      @MynessMsopole 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂 kend jaman

  • @ESHAMWAKIVUMBA
    @ESHAMWAKIVUMBA 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Zuli pole Kwa mitihan ila tafuta suluhisho kulia hakutakusaidia kitu dadangu. Najua unaumia hata mimi nilipita najua ni maumivu gani uliyonayo lakini jipe moyo alafu pambania ndoa yako. Nakupenda sana zuli

  • @fatumakushonda4277
    @fatumakushonda4277 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    We Kai tema mate chini mbwa ww 😂😂😂lote n haya hilo likua huna lakusema,Tasha kakuruka heeeeee😂😂😂😂

  • @HanifaHabibo
    @HanifaHabibo 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Shani kafumwa vibaya😂 kumchomea mwenzake apate YY kumbe Zuu anaweza tuu kuwa Kai amtamjibu utombo masikini tunaemuombea Zuu na Kai wayamalize like tujuwane Tasha hataki kusapoti ujinga😅 safy sana

  • @hoseanguvumojamiboki4827
    @hoseanguvumojamiboki4827 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Zuu utaisoma namba Sasa kwa kai 😂to 😂😂😂😂

  • @FlolidaNkano
    @FlolidaNkano 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    jaman kai anacho fanya atajuta badae wanao ungana na mm nipe maua

  • @DianaBlaison-u7s
    @DianaBlaison-u7s 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sania kabadilika had nmkupenda Bure cend anamimba lakini daaah 😂😂😂

  • @yvettefuraha122
    @yvettefuraha122 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hapo hakuna kitu tena😅😅😅

  • @NeemaFranc-e7y
    @NeemaFranc-e7y 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Shida story inaanza kuchosha kipande kimoja kinakaaa mda mrefu hadi inaboa

  • @oman1oman179
    @oman1oman179 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤❤busat tv

  • @Esperance-uw7lf
    @Esperance-uw7lf 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Munafanya kazi nzuri

  • @aisha770
    @aisha770 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nani mwengine ambae ywangalia saii km mm😂😂😂

  • @FaudhiaNgoya-k3i
    @FaudhiaNgoya-k3i 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kai umezingua kaka

  • @FelistusKimanzi-f2g
    @FelistusKimanzi-f2g 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nice one

  • @NuriatyHamisi
    @NuriatyHamisi 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Kai Kwan kushikwa n wazim gan😮

    • @bishakadhi9307
      @bishakadhi9307 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kai anaboa sai 😢hafanyi poa kbsaaa

  • @Gloriazawad
    @Gloriazawad 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hawa wanaume et mtu umsalit mkeo halaf unasingizia shetani ulipokuwa unatoa nguo siulikuwa naakili zako timamu 😔😔😔😔😔au shetan kakushika mkono kakwambia vua nguo 😏😏😏😏mimsiwapendi

  • @HoHo-l1r
    @HoHo-l1r 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Sasa kai umefanya nini tena hata kama zuri alikukosea hata wewe umemkosea sass mbona wamchamba tena jmn😢😢😢

  • @nasraAl-b1w
    @nasraAl-b1w 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ila mjomba somoye bana😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @NsabiyumvaEvelyne
    @NsabiyumvaEvelyne 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Kay pore sana kwamatatizo

  • @OmanBd-s7z
    @OmanBd-s7z 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Leo mmetupiga 😂😂😂 sana busat tv kwann hamjatuonesha kai katokaje

    • @EuniceKayila
      @EuniceKayila 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hapo umenena

    • @RizikiZiki
      @RizikiZiki 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Apo sasa ingebidi tuone

    • @UmayyaMunisi
      @UmayyaMunisi 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Hawa washatuchukulia viazi mbatata😂​@@EuniceKayila

    • @OmanBd-s7z
      @OmanBd-s7z 55 นาทีที่ผ่านมา

      Hahahahahha😂😂😂😂😂😂😂viaz mbatata

  • @Malombok-c9x
    @Malombok-c9x 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Jameni zuu😢😢😢😢

  • @shamyalley2091
    @shamyalley2091 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Siku izi mnajifanya mumekua ma super star mnajichelewesha

  • @jacquelinesibomana2551
    @jacquelinesibomana2551 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hapo kai amenikera

  • @NoorEesa
    @NoorEesa 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tasha congratulations 👏👏👏

    • @busatitv
      @busatitv  15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ahsante sana

  • @ElianeNininahazwe
    @ElianeNininahazwe 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mr Tasha 🎉🎉🎉

  • @gracenyevu8082
    @gracenyevu8082 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Much love from Kenya 🇰🇪

  • @KelvinBaraka-b9w
    @KelvinBaraka-b9w 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    🎉🎉🎉🎉kai pga bongo kaka😊😊😊😊😊
    Unsafely wapi

  • @JacksonKahindi-d8u
    @JacksonKahindi-d8u ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kai ulizingua mwana ume hasitahili kuambia mke wake ivyo ata kama hunipendi

  • @MwanashaMwinyi-j9n
    @MwanashaMwinyi-j9n 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kipindi nikikiona Kendi na sania huwa nafurahi sana😂😂nawapenda san❤

  • @AminaDibwe
    @AminaDibwe 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hatima hatima ya ndoa yetu 😂😂😂😂 zuuh na kaiii

  • @DivineMukarukundo
    @DivineMukarukundo 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nashukuru Mungu kayi yikosalama

  • @ZuhuraAbdallah-u9o
    @ZuhuraAbdallah-u9o 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kai sijapenda