MOVIE YA MWISHO YA MZEE JENGUO( MZEE NGORE FULL MOVIE) --MZEE JENGUO,MWALUVANDA,MTANGA,BAMBO,

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 34

  • @Me-bv4gc
    @Me-bv4gc 3 ปีที่แล้ว

    He was so talented we did love him all the way from kenya.

  • @samiaarimkonekonko5096
    @samiaarimkonekonko5096 4 ปีที่แล้ว +4

    Kifo chako mzee jenguwa nimeumia sana mungu akuraze maarapema peponi🙏🙏😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @sheilamdachi9346
    @sheilamdachi9346 4 ปีที่แล้ว +2

    Yani uyu mzee nilimpenda sanaa toka moyoni kabisa,,ila ndio ivyo dunia tunapita pumzika kwa amani mzee jengua..nitamumiss daima

  • @zubedatatu7852
    @zubedatatu7852 4 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah bless

  • @iddikapala8966
    @iddikapala8966 4 ปีที่แล้ว +3

    R.i.p Mzee Jengua Mungu Akupokee Kwa Amani Huko Uendako Mbele Yako Nyuma Yetu Sie.

  • @mamafatuma138
    @mamafatuma138 4 ปีที่แล้ว +2

    Innah lillah wainnaillah raajiun Allah akureem mzee yetu 😭😭😭😭😭😭😭

  • @shafeqal-mahbashi5057
    @shafeqal-mahbashi5057 4 ปีที่แล้ว +3

    Inna lillah waina rajiun mzee wetu tulikupenda ila Allah kakupenda zaidi

  • @masungamrefu1660
    @masungamrefu1660 3 ปีที่แล้ว

    tutakukumbuka mzee wetu

  • @nuruheartaman3466
    @nuruheartaman3466 4 ปีที่แล้ว +1

    Dah movie nzuri . R.I.p mzee jengua

  • @pesspesa6202
    @pesspesa6202 4 ปีที่แล้ว +8

    Inalilah wahnahrajiun jengua

  • @salmaabdillah9293
    @salmaabdillah9293 4 ปีที่แล้ว

    Inna lillahy wainna ilaihy rajiuna. Huyu mzee alikuwa ni mzuri sana kwenye kuigiza.Allah amsamehe makosa yake

  • @mwitajames6254
    @mwitajames6254 4 ปีที่แล้ว +1

    mungu aiweke rohoyake mahali pema amen

  • @ZakiaAbby
    @ZakiaAbby 4 ปีที่แล้ว +2

    Hii movie mzee anaonekana kabisa hafya yake imebadilika hats sceen zake za ukali achangamki kama zile za mwanzo Pumzika kwa Amani Dady Msalimie kanumba muambie Pengo Lake Bado Alijazibika bado pia Jitaidi Ukutane na Sharo millionaire muambie Tume Umisi Sana Ubunifu Wake Asa Asa Zile Style zake za Uongeaji Na Muvu menti Zake alafu nikuombe kitu kingne Fanya ufanyavyo Ukutane na Mzee Wako Majuto Muambie Bado Tunampenda Sana Pia Ametuachia Kijana ambaye Anaitwa Mkojani Anatupa laza Zake Lakini Lile Chako Lake Ndio atutolipata Tena

  • @graceerick8190
    @graceerick8190 3 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @sharifaalazri5096
    @sharifaalazri5096 4 ปีที่แล้ว +2

    yani michezo mingine sio ya kuekty kabisa. wa waallah mungu atunusu lakin mtihana. kavunja nazi kamdondosha kweli

  • @samiaarimkonekonko5096
    @samiaarimkonekonko5096 4 ปีที่แล้ว +4

    Arikuwa ameshabadirika masikini mbere yako nyuma etuu😭😭😭😭😭

  • @mwakaathumani4793
    @mwakaathumani4793 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akulaze mahali pema peponi mzee wangu haki

  • @maimunakassim3327
    @maimunakassim3327 4 ปีที่แล้ว +2

    Inna lillah wainnaa ilayhi Raajiuun

  • @mwanah3643
    @mwanah3643 4 ปีที่แล้ว +1

    Innallah wairallah rajiun

  • @munirahassan8578
    @munirahassan8578 4 ปีที่แล้ว +2

    Yan at ongea yake tu na saut aisee mke wang alilia san baada ya kupat taarifa za kifo cha huyu mzee daaah!!!

  • @abelsiyame7863
    @abelsiyame7863 3 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂mtanga

  • @asmarajabu5786
    @asmarajabu5786 4 ปีที่แล้ว +2

    Mbavu zangu mie

  • @mwakasmwakas295
    @mwakasmwakas295 4 ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭😭😭😭🙏🙏

  • @halimasulaiman3229
    @halimasulaiman3229 4 ปีที่แล้ว +1

    Innalillah wainaillah rajiun

  • @loica7555
    @loica7555 4 ปีที่แล้ว +2

    R IP MZEE

  • @sahlamussa8538
    @sahlamussa8538 4 ปีที่แล้ว +1

    Ok ila hp akishazaa kuchok

  • @dullahkiko4086
    @dullahkiko4086 4 ปีที่แล้ว +3

    Rest in peace father

  • @alliamza4678
    @alliamza4678 4 ปีที่แล้ว +1

    ikopw

  • @alidyabdalla9217
    @alidyabdalla9217 4 ปีที่แล้ว +2

    RIP

  • @reginajustin2432
    @reginajustin2432 4 ปีที่แล้ว +2

    Jmn R , I p